Kama kichwa cha taarifa hapo juu. Hali si shwari Kongo
====
Kongo kumechafuka, na hali si shwari toka tarehe 2/2/2024, Wakongo hawataki shaba (copper) itoke nchini mwao, gafi yako ikibeba shaba kusafirisha nje inashambuliwa.
Gari hiyo inayoonekana kwenye video inasemekana ni kutoka kampuni...