jpm

  1. Askofu Severine: Kwa vyovyote vile MAGUFULI hawezi kusahaulika maana ameacha Alama za utendaji kazi wake mzuri

    Mwenye Macho haambiwi tazama, mwenye masikio haambiwi Sikiaa. Wakati Vyombo vya Habari vikubwa hapa Nchini vikiwa mfukoni Kwa Msoga Gang na Kwa matukio ya kupangwa, lengo ikiwa ni kupambana na JPM. Hata Yesu alisema 'Waacheni wapige kelele, maana Hata Hawa wakinyamaza basi Ile miamba na mawe...
  2. K

    Maadhimisho ya miaka miwili ya Hayati Magufuli na utekelezaji wa ahadi zake

    Kwanza naanza kwa kumshukuru Mungu kwa maisha ya aliyekuwa rais wa JMT hayati JPM. Lakini pia nimpongeze rais wetu wa sasa mama yetu kipenzi SSH kwa kutimiza miaka miwili ya kuliongoza taifa letu. Mama anatuongoza vizuri sana. Katika kutekeleza ahadi zote za mtangulizi wa rais wetu, mama...
  3. Kumbukumbu ya kifo cha Hayati Magufuli kwa upande wangu

    KUMBUKUMBUYA KIFO CHA JPM KWA UPANDE WANGU. Ilikuwa saa 5 usiku 17 March 2021. Nilikuwa ndani ya kuta za gereza la Ruanda mkoani Mbeya selo namba 16. Nikasikia kelele nyingi selo zingine ukizingatia kelele haziruhusiwi usiku mpaka kuwe na tatizo. Maana kelele ndio alarm ya kuwaita askari...
  4. JamiiForums YouTube Video ya Kadinali Pengo kaburini Kwa Hayati Magufuli ina watazamaji 54K, kwenye Trending ni ya 15

    Huyu Mtu anaishi, Amekufa Kiroho tu ila ila Anaishi. Haya ni Maajabu Ndugu zangu, maajabu kabisa. Ingieni YouTube tafuteni Habari ya Kadinali Pengo kutembelea Kaburi la JPM, Channel zote maarufu maarufu Zina watazamaji kuanzia 5K na kuendelea! Maajabu ya Mwaka, Rais Samia na Jukwaa lake la...
  5. T

    Nimependa maadhimisho ya miaka miwili ya kifo cha Hayati Magufuli

    Leo ilikuwa ni siku ya kumbukumbu ya siku iliyotangazwa kifo cha mpendwa Rais wetu Hayati Magufuli ukweli wa kilitokea lini tuachane nayo. Kilichonifurahisha leo ni namna ambavyo siku hiyo imeadhimishwa kwa misa maalum ya kumuombea badala ya kufanyika kiserikali kitu ambacho kingejaza wanafiki...
  6. Kumbukizi ya miaka 2 bila Hayati Magufuli inazidi kuchangamsha 2025

    Kuna mdahalo mkali sana unaendelea kuhusu kumbukumbu ya miaka miwili bila JPM. Kumeshaibuka pande mbili za wanaomkumbuka.Magufuli. upande wa kwanza ni wale wanaomuomboleza wakikumbuka mema yake. Na upande wa pili ni wale ambao wanashangilia kifo chake. Serikali inayoongozwa na CCM imekaa kimya...
  7. VIDEO: Hayati Magufuli tutaishi naye moyoni mpaka kizazi cha tatu na cha nne

    Performance za kibabe za huyu Mwamba hakuna mtu anayeweza kutia Maguu. Jamaa ni Legendary, ngoja mda wetu wa kuchukua madaraka ufike tutaelewana tuu, wacha wazee wataabishaji waishe kwanza.
  8. S

    DC Mstaafu Simon Odunga akosoa vikali jinsi Kumbukumbu ya Hayati Magufuli ilivyofanyika

    Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Simon Odunga amekosoa kitendo shughuli ya kumbukumbu ya kifo cha Hayati JPM Serikali kutuma mwakilishi kwenye tukio hilo. Kupitia ukurasa wa Instagram wa Waziri Bashungwa Mkuu huyo wa Wilaya Mstaafu amesema nanukuu "Suala la JPM halikuwa na hadhi ya kutuma mwakilishi...
  9. S

    Waziri Innocent Bashungwa amwakilisha Rais kwenye kumbukumbu ya Hayati Dkt. Magufuli

    Waziri wa Ulinzi, Innocent Bashungwa amemwakilisha Rais Samia Suhulu Hassan kwenye misa ya kumuombea Hayati Dk. John Pombe Joseph Magufuli leo Machi 17 2023 nyumbani kwa Hayati Magufuli Chato mkoa wa Geita. Nanukuu "Nimepata heshima ya kumuwakilisha mhe. Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  10. Nimeshangazwa kutowaona wakina Kabudi, Makonda, Hapi Bashiru na wengine huko Chato. Hongera Waziri Bashungwa

    Bila shaka ni watu ambao kwa namna moja au nyingine aliwabeba na kuwapa nafasi ya kuongoza, kujifunza na kupanda kisiasa Aliziba masikio kelele za watu wengi dhidi ya baadhi yao na hata kukataa ushauri wa watu wa karibu na wataalamu juu ya kuwaweka pembeni, alifikia hatu kusema 'yeye ndio Rais...
  11. N

    Rais Samia: Nitaendeleza mazuri yaliyoanzishwa na Hayati Magufuli

    Leo ikiwa ni kumbukizi ya Hayati Dkt. Joseph Pombe Magufuri, Rais Samia Suluhu amemtakia pumziko la amani na amesema anaendelea kuendeleza yale yote mazuri yaliyoachwa na uongozi wa Awamu ya tano. Miaka 2 tangu magufuri aondoke na ikiwa ni miaka 2 tangu Rais Samia Suluhu ashike madaraka tumeona...
  12. Kumuenzi Magufuli: Tujikumbushe 'spana' za JF zilivyomsaidia Hayati Magufuli na Taifa. Je, Samia pia tumsaidie kwa 'spana' au tumkune tu tusimpare?

    Wanabodi, Leo siku ya Machi 17 ndio siku Taifa tulipotangaziwa kifo cha Shujaa wetu JPM, hivyo katika kumkumbuka, na kumuenzi, mnaonaje tukijikumbusha baadhi ya mabandiko ambayo tulimshauri JPM na ushauri huo ukafanyiwa kazi, kwa kutaja bandiko husika, ulishauri nini, na nini kilikuja kufanyika...
  13. Utabiri: 2025 Upinzani utachomoza na kushinda viti vingi kupitia agenda ya Hayati Magufuli

    Marehemu JPM hadi sasa ndiye kitisho kikubwa kwa mrithi wake ambapo Chawa Fc wanapambana bila kupumzika kuchafua kwa makusudi jina lake na legacy aliyoiasisi. Eneo ambalo kwa haki kabisa marehemu hakulitendea haki ni Haki za Binadamu. Na eneo hilo alikuwa mkali kweli kweli kuanzia kwa watu wake...
  14. Rais Samia yupo Afrika Kusini, kapotezea kumbukizi ya Hayati Magufuli?

    Kesho Machi 17 ni miaka miwili ya kumbukizi ya hayati Magufuli. Rais Samia yupo nje ya nchi, je amekwepa kwa makusudi au bahati mbaya kwenye kumbukizi ya mtangulizi wake? Ikumbukwe mwaka jana waliadhimisha Rais Samia pamoja na Kaguta Museveni huko Chato. Mwaka huu kulikoni?
  15. T

    Kama iko haki ya mtu kuamua kujitenga na Tanzania na kuundwa nchi ya watu wa Jamhuri ya JPM, Mimi namba moja

    Hili ni kutoka moyoni kabisa! Nchi ya watu wa jamhuri ya JPM, haifumbii macho upandaji wa mazao kiholela na kuishi kwa tozo zisizo na kichwa wala mkia, Haina uhusiano kabisa na rushwa, wazembe kule hawatakiwi, mafisadi hawaweki pua zao kule, kule ni HAPA KAZI TU Na kuishi kwa kumtegemea MUNGU...
  16. B

    Hotuba na Ziara za Hayati Magufuli zilikuwa zinafuatilia sana kuliko zile za Mrithi wake

    Asalaam Aleykum wana JF. Nawapenda sana. Nadondoka kwenye mada moja kwa moja. Kulingana na utafiti mfupi nilioufanya, nimegundua kwamba Hotuba na ziara za Hayati JPM zilikuwa zinafuatiliwa na kusikilizwa na Watanzania wengi sana. Hii ni tofauti ukija kwa Hotuba na ziara za mrithi wake ambaye...
  17. Kwanini Walinzi wa Rais Samia hawabebi mabegi kama wale wa JPM?

    Naombeni mnijuze wakuu
  18. R

    Wanachadema wote waliosimama na wananchi wakati wa JPM majimbo Yao yanawasubiri warejeshewe Ubunge wao. Wana CCM waliobweteka mtaa unawasubiri

    Kusimamia Haki kunalipa, kusimama na wanaoonewa kunalipa na siku zote wananchi awafundishwi kuchagua jema na baya Bali wanalazimishwa kuchagua wasichokitaka. Majimbo mengi ambayo wagombea Ubunge WA pande zote walisimama na wananchi hakuna changamoto ya wagombea hao kushawishi Sana wapiga...
  19. Tafiti: Rais Samia amepwaya kudhibiti rushwa, nidhamu ya watumishi wa umma

    Inasaidia nini kupiga soga na kina Mbowe na kuonyesha umma kuwa mnademokrasia wakati mali za umma zinaibiwa na wananchi wanateseka. Hizi ni demokrasia uchwara Sasa hivi akina mama wakienda kujifungua imekuwa biashara. Huko nyuma haya mambo yalikoma. Polisi wanamaliza kesi wanavyotaka...
  20. Uchapakazi wa Hayati Magufuli pamoja na usaliti ya viongozi wa CHADEMA umekimaliza chama

    Ndugu wadanganyika wenzangu, Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA ya mwaka 2015 pamoja na mambo mengine, ilikuwa na mambo yafuatayo; 1. Kujenga reli mpya na kukarabati zilizopo kwa viwango vya kisasa kwa kuzingatia maslahi ya nchi. 2. Kuboresha bandari zilizopo na kujenga mpya kama vitega uchumi vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…