jukwaa

Jukwaa, also known as Dwokwaa, is a town in the Central Region of Ghana. It is the traditional capital of the people of Denkyira and is located in the Twifo-Ati Mokwa District in the Central Region. The Jukwa Senior High School is found in this town.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Uwepo wa Afrika kwenye kundi la G20 ni hatua muhimu kwenye kuongeza sauti ya Afrika kwenye jukwaa la kimataifa

    Umoja wa Afrika umekuwa mwanachama rasmi wa kundi la G20, baada ya kilio chake cha muda mrefu cha kutaka kuwa na sauti kwenye majukwaa ya kisiasa na uchumi ya kimataifa. Tangu kundi hilo lilipoanzishwa mwaka 1999, likiwa na nchi wanachama 19 + Umoja wa Ulaya, wakati wote mambo yanayohusu mambo...
  2. Roving Journalist

    Rais Samia ashiriki Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika (AGRF), leo Septemba 7, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki katika Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika (AGRF) inayofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) leo tarehe 07 Septemba, 2023. https://www.youtube.com/live/xAtezYAOGFE?si=qxG0Me86MAnoOkRU...
  3. Mto Songwe

    Maswali ya msingi kwenu Wana Jukwaa

    Nilikuwa na maswali yangu machache ya msingi kuhusu nchi yangu Tanganyika. 1. Wakati yanafanyika makabidhiano ya uhuru kutoka kwa Muingereza kuja kwetu kwa Watanganyika ni masharti gani Muingereza alitoa kwetu Watanganyika kuhusu uhuru alio tukabidhi December 9, 1961? 2. Mali ngapi bado zipo...
  4. MamaSamia2025

    Ukiwezeshwa na kupewa jukwaa la kusemea, je ungetetea au kupinga nini na kwanini?

    Mimi ningepinga uharibifu wa mazingira unaofanywa kwa kisingizio cha maendeleo. Ninakerwa mno na ukataji wa miti ovyo ili kujenga barabara au miradi kama ule wa bwawa la Nyerere. Ningekemea mno uharibifu wowote wa mazingira bila kujali sababu gani imefanya hivyo. Yaani hata miradi yote...
  5. benzemah

    Jukwaa la Wahariri (TEF): Uhuru wa Vyombo vya Habari Umeongezeka Nchini

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amesema uhuru wa vyombo vya habari umeongezeka nchini hivyo ni jukumu la waandishi wa habari kuwaibika na kuzingatia sheria zilizopo. Balile amesema wanahabari hawapaswi kuchafua taaluma yao kwa kutofanya kazi kwa weledi au kutumia vibaya uhuru...
  6. sonofobia

    Watu wanaomba kazi sio masimango, hili ni jukwaa la connection za kazi sio jukwaa la show off

    Unajua vijana hamjitumi kijana una degree unaomba kazi ya hovyo. Ningekusaidia ila ujanifata PM (mtu anaesaidia hana manyanyaso)....ndio maneno yao kila siku na kwa kila mtu. Guys Ili ni jukwaa la kazi yani waomba kazi na watoa kazi wanakutana. Kwa nini utoe maneno ya kejeli kwa mwenzio. Ajira...
  7. Roving Journalist

    Dar: Wanawake wa Kinyerezi wazindua jukwaa lenye lengo la kumuinua Mwanamke kiuchumi

    Wanawake wa Kata ya Kinyerezi Jijini Dar es Salaam wamezindua rasmi Jukwaa la Wanawake ikiwa ni hatua ya kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika kumuinua Mwanamke kiuchumi. Jukwaa hilo limezinduliwa na Lutta Rucharaba ambaye ni Katibu wa Mbunge wa Segerea, Bonnah Kamoli, jana ya Agosti...
  8. Fabian Vitus

    Kitendo cha mzazi kukulazimisha uwahi kuoa husababishwa na nini wana jukwaa tusaidiane hapa?!

    Hali sio nzuri ni Mwaka sasa tangu nimevunja mahusiano kutokana na sababu za kutokua na amani katka mahusiano. Leo tangu Mwaka ulivyoanza hata kabla mzazi wangu wa kike amekua akiforce niweze kuchukua mwanamke nakuweka ndani nikajua au kwakua yupo kizamani zaidi pamoja nakumwelewesha yote hayo...
  9. BARD AI

    Spotify yazindua jukwaa jipya kwaajili ya Muziki wa Afrobeats (Full Details)

    Wakati umaarufu wa muziki wa Afrobeats ukiendelea kukua duniani kote, Mtandao wa Spotify umezindua jukwaa jipya ambalo litakuwa na habari zote za Wasanii na Maendeleo katika aina hiyo ya Muziki. Tovuti hiyo itaangazia mahojiano na wataalam wakuu, video na data zaidi za Spotify na mitindo kuhusu...
  10. B

    Hodi kwenye Ulimwengu wa Mahaba. Ninaachana na jukwaa la Siasa kwa muda

    Hodi hapa, nitakuwapo kwa muda na pakinipendeza nitabakia hapa. Kule kwenye siasa naona kichwa kinaenda mbio. Nimerudi iliko mioyo. Leo nimekutana na kisa. Hiki kisa cha leo kimenifanya nije hapa kujua kama na wengine mmeshakutana na hili. Mara zote nikiwa na miadi na mwanamke mpya huwa siwezi...
  11. Kyambamasimbi

    Uzi wa kuwatafuta waliopotea humu jukwaa la JamiiForums

    Salaam, wanajf, napenda kuwatafuta wadau muhimu katika jukwaa hili la jf. Baadhi ya Ni Kama 1. TO YEYE 2. KICHWA KICHAFU 3. FAIZA FOX 4. SKY ECLAT 4. MPWAYUNGU 5. WA STENDI Jamani, watu Hawa mko wapi mpate uteuzi?
  12. R

    Jukwaa la kwanza liliwapa raha sana mahasimu wa Chadema, sasa shangilieni na hilo

    johnthebaptist sherehekeeni na hili jukwaa la miti la pili. Mlidhani kuwa wataacha kushabulia kama nyuki kwa kejeli za jukwaa, NEVER, kazi moto moto!
  13. Idugunde

    Jukwaa alilopanda Mbowe ni kiwango cha chini na halifai

    Haya majukwaa mbona yanatia aibu! Kha. Mnatumia mamilioni kukodi chopa halafu mnashindwa kufanya logistics ya majukwaa? Ndio mnataka kusema mlimtendea vyema Kamanda Lissu kisa tu mwamba nae yupo jukwaa kama hili?
  14. Kamanda Asiyechoka

    WanaCHADEMA tuwe makini juu ya usalama wa Kamanda mwenzetu Lissu. Jukwaa kama hili linaweza kuanguka na kuleta madhara

    Hii ni hatari!
  15. JamiiForums

    Namna ya kuweka andiko lako ndani ya jukwaa la Stories of Change

    Jinsi ya kushiriki Shindano la STORIES OF CHANGE Kama tayari una Akaunti ndani ya JamiiForums.com, fungua Kivinjari chako (Browser) kisha ingia jukwaa la Stories of Change 2024 Bonyeza 'Start Discussion' halafu chagua 'Stories of Change 2024' itafunguka sehemu ya kuweka Tittle au Kichwa cha...
  16. M

    Ahsanteni wadau wote wa jukwaa hili

    Nitoe shukrani zangu zote kwa wadau wote wa jukwaa hili. Kupitia elimu ya humu nilizingatia maoni ya wadau jinsi kutoboa au kupata kazi serikalin kupitia utumishi. Hatimae leo naenda kuchukua barua utumishi Dodoma nikaripoti kazini mungu awabariki sana.
  17. Rwetembula Hassan Jumah

    Kwanini Jukwaa kama hili hakuna wazee wa busara maana uku kuna vijana wa ovyo, malezi zero

    Mambo yanabadilika kila kukicha kuhusu malezi, mpaka malezi kubadilika kuna sababu. ..Kipindi cha nyuma malezi yalikuwa bora tena sana japo watoto watukutu hawakukosekana. 👇 Lakini ukichunguza vizuri hao watoto watukutu wanatokea familia za aina gani ? utagundua familia hizo ni za walevi au...
  18. L

    Ziara za viongozi wa nchi kubwa za magharibi zaonesha umuhimu wa China katika jukwaa la kimataifa

    Katika siku za hivi karibuni viongozi wa nchi za magharibi wamekuwa wakifanya ziara kadhaa nchini China, wakitafuta njia mbalimbali za kuhimiza ushirikiano kati ya nchi zao na China. Mwishoni mwa mwaka 2022 Chansela wa Ujerumani Olaf Scholz aliongoza ujumbe mkubwa kwenye ziara yake ya kwanza...
  19. Mwl.RCT

    Mwanachama bora wa 2022 | Jukwaa la Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

    Mimi kama mwanachama wa Jamiiforums, nimepokea zawadi kwa mikono miwili na nimefurahi sana kwa kupata heshima hii. Hii imenipa motisha zaidi ya kuendelea kuchangia katika mijadala mbalimbali ya JF. Hili ni jambo la kipekee kwangu kwa sababu hii ni mara yangu ya kwanza kupata heshima hii tangu...
  20. M

    Tatizo la Sakho ni hulka yake ya kutaka kucheza na jukwaa!!

    Sakho asipoangalia ataozea kwenye benchi la simba. Anapenda sana kucheza na jukwaa kwa hiyo mara nyingi hupoteza mpira akiwa kwenye harakati zake za kucheza na jukwaa!!! Uwezo wake wa kupaka rangi mpira ni mdogo.
Back
Top Bottom