Jukwaa, also known as Dwokwaa, is a town in the Central Region of Ghana. It is the traditional capital of the people of Denkyira and is located in the Twifo-Ati Mokwa District in the Central Region. The Jukwa Senior High School is found in this town.
Kuna hizi kazi za tenda wanatangaza sana halmashauri, ya kufanya usafi na kuzoa taka ngumu na kwenda kutupa dampo.
Kazi hii kiuhalisia sio ngumu lakini ugumu unakuja kwenye malipo yaani wanataka pia ukusanye ushuru wa taka na 30% ulipe halmashauri inayobaki ya kwako, issue ngumu hapa ni kudeli...
Inaelekea komredi Polepole Washamjulia!! Akiwa na njaa hupiga Sana makelele ya "uzalendo" kisa ni kuwatikisa wakubwa wamkumbuke.
Wanaokumbuka makelele ya Polepole kwenye vuguvugu la kudai katiba mpya akiwa moto wa kuotea mbali enzi za jukwaa la katiba.
Mzee wa msoga kamchekiii kaona hamna...
Habar yako usomaye Uzi huu matumaini uko sawa.
Nirejee kwenye Uzi
Niko na mdogo wangu wa kike Yuko good mno kiakili binafsi namkubali
Sasa alifaulu form 6 pcb 2021 kwa 2.10 Sasa lengo lake lilikuwa MD Ila ikigoma sababu ya cutpoints kusababishwa hata kozi baadhi za afya alizoomba...
Naona ni fursa ya kujiajiri kupitia kutoa huduma ya kuonyesha mpira, masumbwi, tamthilia pamoja na michezo mingine pia hata matukio mbalimbali, Je mchanganuo wa mtaji wake upoje?
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mimi kijana wa kitanzania kupitia ukurasa huu nilipata mchumba aitwae _ _
jina naliweka kapuni maana ni maalum kwangu tu, hakika mwanzo sikuamini kama kupitia jukwaa hili unaweza kupta mchumba au marafiki
Rakini leo naomba nithibitishe kuwa jukwaa hili...
Tovuti ya gazeti la Marekani “Los Angeles Times” tarehe 19 mwezi huu iliripoti kuwa vifaa vya kisasa vya kiteknolojia kwenye Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing vinawavutia watu wengi duniani, ikiwa ni pamoja na mgahawa unaotoa huduma wenyewe, roboti ya usimamizi kwenye hoteli na...
Kwa ufupi sana
Humu jukwaani kuna mchanganyiko wa matukio. Kuna matukio ya aibu, ya kutendwa na stori nzuri za kuhamasisha.
Shida inakuja kwenye matukio mabaya ima ya aibu au ya kutendwa. Wadau wengi wakiandika matukio haya hujifanya kama ni tukio lisilomuhusu, yaani limemtokea jamaa yake au...
Kwa ufupi sana
Humu jukwaani kuna mchanganyiko wa matukio. Kuna matukio ya aibu,ya kutendwa na stori nzuri za kuhamasisha.
Shida inakuja kwenye matukio mabaya ima ya aibu au ya kutendwa. Wadau wengi wakiandika matukio haya hujifanya kama ni tukio lisilomuhusu,yaani limemtokea jamaa yake au mtu...
Endapo upo ndani ya chumba au nyumba yako,nyakati za usiku ukawa unahisi maluwe luwe as if kuna mtu kaingia ndani but you don't see anything lakini timbwili zinazidi Fanya hivi kesho yake,japo ni hatari sana endapo muhusika atakuwa ni ndg yako
- Fagia chumba vizuri sana kila pembe kusanya taka...
habari, nimewaza nikaona uhitaji mkubwa wa walimu wa nje ya mkoa wa kilimanjaro wanaotaka wa kubadilishana nao ndani ya mkoa wa kilimanjaro, na waliopo ndani ya mkoa wa kilimanjaro wanataka kutoka nje ya mkoa wa kilimanjaro. . Kama wewe ni mwalimu au unaukaribu na mwalimu aliepo mkoani...
Wasalaam wanajukwaa!
Nimekuwa msomaji mkubwa katika hili jukwaa, Ila nimeona ni vema nikawa Mwanafamilia mwenzenu Rasmi. Naombeni ushirikiano.
Natanguliza shukurani!!
Rais Samia: Nakushukuru Waziri wa Maendeleo ya Afya, Jinsia, Wazee na Watoto pamoja na Uongozi wa baraza la Mashirika yasiyo ya kiserikali kwa kunialika kwenye mkutano huu wa mwaka wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali nataka nikiri kuwa nimefurahi sana kushiriki katika mkutano huu.
Rais Samia...
Habarini Wadau!
Hili jukwaa limevamiwa, uyanga na usimba umetawala na kupoteza ladha ya jukwaa la sport. Kila siku yanga na simba, mara oh Manara, gsm, mo n.k.
Ukiingia tu jukwaa la (Sport) lazima ukutane na matapishi ya UYA na USI, mwanzo mwisho, ni nadra muno kukutana na International sports...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.