jukwaa

Jukwaa, also known as Dwokwaa, is a town in the Central Region of Ghana. It is the traditional capital of the people of Denkyira and is located in the Twifo-Ati Mokwa District in the Central Region. The Jukwa Senior High School is found in this town.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Ufuatao ndiyo mtiriroko wangu mzima wa Matumizi ya Fedha Nono ya Ushindi wa Jukwaa la Michezo JamiiForums

    1. Nitahesabu idadi ya Moderators wote wataokuwepo Ofisini Siku nitakayoenda Kuchukua Zawadi yangu na Wote watakunywa Soda Mpya, Tamu na niipendayo ya Super Commando kutoka Kampuni ya Pepsi. 2. Nitamtolea Mungu (siyo Mungu wa Mwamposa) Sadaka yake ama kwa kuitoa Kanisani au kuwapa Zawadi Watoto...
  2. Stephano Mgendanyi

    Uzinduzi wa Jukwaa la Uwekezaji Wanawake Kiuchumi Kata ya Makongo

    UZINDUZI WA JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI KATA YA MAKONGO Mbunge Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dar Es Salaam na Mwanzilishi wa taasisi ya Tisha Mama Foundation, Mhe. Mhe. Janeth Elias Mahawanga amekuwa mgeni rasmi katika kuzindua rasmi Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Kata ya...
  3. M

    Nahitaji mpenzi

    Habari wakuu, nahitaji la kuwa mpenzi, hivyo binti alie tayar anaweza Kuni pm tukayajenga. Sifa zangu Age 23 Elimu: bado nipo chuo Rangi: black, Dini: mkristo Vigezo, Age 20-25 Elimu, sio issue sana. Dini, mkristo kama ni si mkristo awe tayar kubadili. Mengine ni ziada
  4. R

    Askofu Mwamakula Asimulia mazito akiwa Jukwaa la Tangayika Law Society

    Wakuu kule youtube kwenye Channel ya Jambo Tv nimekutana na kisanga cha kutisha, kwanza ukisikiliza unaogopa na kutetemeka. Ni Askofu Emmaus Mwamakula akiwa amealikwa ku-address mkutano wa wanachana wa chama cha Mawakili Tanganyika yaani TLS. Sikiliza mwenyewe hapa.
  5. M

    Wana MMU wenzangu tutumie jukwaa letu vizuri maana Rais huwa anapita huku

    Tujenge hoja vizuri maana Rais kasema nae huwa anaperuzi JF. Sasa hajasema ni jukwaa gani, huenda ni jukwaa hili pendwa. Tulitumie vizuri, tuweke hoja zenye mashiko.
  6. Stephano Mgendanyi

    Janejelly Ntate aibukia jukwaa la uchumi la wanawake

    MHE. JANEJELLY NTATE AIBUKIA JUKWAA LA UCHUMI LA WANAWAKE Mbunge wa Wafanyakazi Taifa anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mh. Janejelly James Ntate aibukia Jukwaa la Uchumi la Wanawake Mwanamtoti, Kata ya kijichi Dar es Salaam kuwaelezea umuhimu wa kumpongeza Mh. Dkt Samia Suluhu Hassan Kwa...
  7. M

    Dkt. Slaa ahutubia mkutano wa CHADEMA. Asema sasa imekomaa kuongoza nchi

    Je, amerejea CHADEMA? Tusubiri tuone Aliyewahi kuwa Katibu wa CHADEMA Taifa na baadaye Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt. Wilbrod Slaa kwa mara ya kwanza jana Jumapili amehudhuria mkutano wa Chadema Wilaya ya Karatu na kuahidi atashirikiana na chama hicho kudai Katiba mpya. Dkt. Slaa...
  8. Roving Journalist

    ILO imeandaa Jukwaa kwa Wadau Kujadili uboreshaji wa Changamoto na Uhamaji wa Kutafuta Fursa katika Nchi za Afrika Mashariki

    Mkutano huu wa siku mbili unafanyika Zanzibar kwa muda wa siku mbili, Januari 24 na 25, 2023 ambapo lengo kuu ni majadiliano ya Wadau mbalimbali kuhusu mazingira ambayo wanakutana nayo wanaotafuta ajira kutoka sehemu moja kwenda kwingine, hasa wakilengwa zaidi vijana. Wanaoratibu mjadala huu ni...
  9. K

    Alichozungumza Rais Samia Kwenye Jukwaa la Uchumi, Davos nchini Uswisi

    Rais Samia Suluhu amehimiza sekta binafsi kuwekeza Afrika katika uzalishaji wa nishati jadidifu ili kuhakikisha upatikanaji wa uhakika wa nishati hiyo. Ametoa wito huo akichangia mada katika mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Uchumi Duniani unaofanyika Davos, nchini Uswisi.
  10. GENTAMYCINE

    Mnaohangaika Kunichafua katika Shindano Jukwaa la Sports nikishinda au nikishindwa bado nitashukuru Mungu

    Kama Wewe hujawa au siyo miongoni mwa Wawania Tuzo na labda Ulitegemea kuwepo huna haja ya Kumalizia Hasira zako Kwangu GENTAMYCINE kwa Kunitukana na Kunidhalilisha. Kwangu Mimi GENTAMYCINE kuwepo tu hapa kwa Wapigiwa Kura ni Ushindi tosha Kwangu na nawashukuru Walionipigia Kura, Watakaonipigia...
  11. Mchochezi

    Nani amelitendea haki jukwaa la michezo kwa mwaka 2022?

    Leo ni Desemba 3, tumeingia mwezi wa mwisho kwa mwaka huu! Ni member gani amenogesha zaidi jukwaa hili kwa mwaka huu? Karibuni
  12. Binadamu Mtakatifu

    Njoo tushirikiane chukua hisa katika jukwaa langu(online community)

    Njoo uchukue share kwenye jukwaa langu TangaTalk kwa Tsh 20,000 ni 50% njoo dm
  13. KAGAMEE

    Simba ikiondoka Mbeya na alama tatu naomba nifukuzwe rasmi Jukwaa la Michezo

    Mashabiki wa Simba jiandaeni kisaikolojia, kwa maandalizi niliyoyashuhudia hapa Mbeya ponapona yenu ni sare. Nyie watu wanajua kufanya maandalizi ya mechi. Nasema hamtoki na "Nguvu Moja" yenu.
  14. P

    Naomba mnisaidie kazi yoyote ya kufanya ili niweze kupata angalau pesa ya kuanzia ukurasa wa maisha yangu

    Natafuta Nazi yoyote ya halali nipo dar.
  15. Execute

    Huyu Mkwepu Jr ni nani? Anatoa likes kwenye mada na komenti za kila jukwaa

    Mbona kila komenti na kila jukwaa jamaa anagonga likes? Inawezekanaje mtu akawa amesambaa maeneo yote hayo?
  16. El Chapito

    Mashindano ya kimataifa yatumike kama jukwaa la biashara kwa vilabu vyetu

    MICHUANO YA KIMATAIFA KAMA JUKWAA LA FURSA YA KIBIASHARA KWA VILABU VYETU NCHINI Kuelekea kuanza kwa michuanao ya kimataifa ngazi ya vilabu barani Afrika mwishoni mwa juma hili Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mashindano ya Klabu Bingwa tutakua tukiwakilishwa na vilabu vya Simba , Yanga na...
  17. Dr Matola PhD

    MMU Leo tuongee watu wazima vijana wajifunze kutoka kwetu, maana jukwaa limejaa utoto mwingi.

    Naongea na wazee wenzangu Leo, let's say hakuna tatizo nyumbani mko powa. Mama ameanza tabia za kulala na Watoto na hakuna ugomvi wowote. Na sometimes una vidume vikubwa kuna wakati mama anaona hah Leo jumamosi kuna wedding somewhere natoka na first born wangu wa kiume baba atasubiri nyumbani...
  18. ryan riz

    Hawa Wabrazil wa Singida Big Starz si wa kitoto

    Hapa nawacheck naona ligi kuwa ngumu sana kule top 4. Wana nguvu speed, wepesi, control na namna ya ukokotaji wa mpira na zile press ni hatari.
  19. N

    HESHIMA KUBWA: Jukwaa la uwanja kupewa jina la Okrah huko Ghana

    Klabu yake ya zamani ya Bechem imempa heshima kubwa sana, katika uwanja wao wanajenga jukwaa jipya kwa pesa zote walizopata za kumuuuza Okrah kwenda simba sc na jukwaa hilo litaitwa kwa jina lake, Augustine Okrah stand.
  20. JamiiForums

    Soma hapa kabla ya kuchapisha andiko lako katika Jukwaa la Stories of Change

    Kwa wote wanaotaka kushiriki shindano la Stories of Change Tafadhali someni kwa makini vigezo hivi. Hakikisha andiko lako limekidhi kabla ya kutaka kuchapisha. Vigezo na masharti ya kushiriki katika shindano hili: Mshiriki anatakiwa kutayarisha andiko linalochochea mabadiliko kwenye nyanja za...
Back
Top Bottom