juma

  1. Mzee Magoma akana kushinda kesi dhidi ya uongozi wa Yanga

    “Siwezi kuelewa mahakama inafanya kazi gani, kwa sababu mimi ndio mstahili wa kupewa hukumu. Hizi ni propaganda. Mimi bado Eng. Hersi ni kiongozi wangu pamoja na bodi yake. Lakini kama itatokea jambo lingine lolote kupitia kwangu, mimi mwenyewe nitaita vyombo vya habari nitaongea navyo. Lakini...
  2. Naomba msamaha Mgunda kwa kujaribu kufananisha na pandikizi David. ndio kocha mwenye CV mbovu zaidi ligi kuu kwa sasa Hafai ata kuwa kocha wa pamba

    Kuna watu wanataka Mo atoke Simba kwa kupigwa na mawe. hivi vituko wanavhosema vinaletwa na Mo mwenyewe ni mtego. Siamini kama kweli Ni viongozi wa Simba ndio waliomleta hiki kiituko na kumpa umeneja. Au kuna watu wa Yanga wamepenyezwa kuiua simba kabisa. Hapa tuwe wakweli hii Timu bora ata...
  3. Juma Mgunda atema mabovu kuhusu Cloutus Chama

    “Ni mchezaji huru, ni mchezaji mwenye kutaka wazo la kwenda kucheza, lazima mjue Chama ni Mzambia na shughuli yake ni kuchez mpira, msubirini chama mumuulize yeye mwenyewe, sisi kama Simba tunazungumzia ya kwetu, Chama anatuhusu nini tena? Unashangaa nini Chama kutoka Simba? Kwani kaziliwa Simba...
  4. Kati ya Shilole (Shishi Baby) na Juma Jux (African Boy) nani mkali zaidi?

    Tumalize huu ubishi ulioenea mtandaoni. Je, kati ya malkia wa bongo fleva Shilole a.k.a Shishi baby na msanii chipukizi (underground) anayeheshimika Juma Jux nani mkali zaidi? Kwa wale wasiofahamu nyimbo zao nimewaandikia ili mkazisikilize huko YouTube. SHILOLE 1. Lawama 2. Nakomaa na jiji 3...
  5. Tukisema kuwa Ligi Kuu ya Tanzania ni ya Samjo Samjo / Ujanja Ujanja mnabisha haya sasa msikieni hapa Tanzania One wa muda Wote Juma Kaseja

    "Niliposajiliwa Yanga, Manji aliniambia, lengo la kukusajili hapa ni ili iwe rahisi kuwafunga Simba" - Juma Kaseja. Chanzo: Kipyenga Extra Eastafricaradio Iwe rahisi kuwafunga Simba SC kwani Juma Kaseja ni Fowadi? Kumbe Siku hizi Makipa nao husajiliwa ili Wakafunge? Tafuteni hii Clip ya...
  6. A Journey My Life, Speeches & Writings Kitabu Cha Maisha ya Juma Volter Mwapachu

    "A JOURNEY" MY LIFE, SPEECHES & WRITINGS" KUTOKA KALAMU YA JUMA VOLTER MWAPACHU Kuna wakati naamini hata William Shakespeare alikuwa anaishiwa na maneno kalamu ikabakia inaning'inia mkononi na wino kumkaukia. Leo nimekitia kitabu mkononi. Kwa hakika nimechelewa kukipata na sababu ni kuwa...
  7. L

    Hongera sana kocha Hemed Morocco na msaidizi wako Juma Mgunda kwa kazi nzuri nchini Zambia

    Stars imeifunga Zambia ikiwa nyumbani kwake, narudia nyumbani kwake.Binafsi, sikuwa na shaka na uwezo wa makocha hao isipokuwa shaka yangu kubwa ilikuwa kwa wachezaji, kwamba wachezaji tuliokuwa nao hasa wale walioanza sikudhania kabisa baadhi yao kama wanaweza kupambana kiasi kile hasa kutokana...
  8. Dkt Mwigulu, Juma Aweso na Emmanuel Cherehani, wameshuhudia utiaji saini mradi wa Bilioni 44 wa maji ya ziwa Victoria

    DKT MWIGULU, WAZIRI AWESO NA MBUNGE CHEREHANI WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MRADI WA MAJI ZIWA VICTORIA WA BIL 44 - USHETU Na Mathias Canal, Ushetu-Kahama Waziri wa Fedha Mhe Dkt Mwigulu Nchemba, Waziri wa Maji Mhe Juma Aweso na Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe Emmanuel Cherehani wameshuhudia utiaji...
  9. T

    Ukiongea ndiyo watu hukujua uelewa wako. Nimemsikiliza Juma Homera RC Mbeya. Makonda na mauza uza yake ya nyuma ni RC bora.

    Nimefuatila ibada mbashara ya kumuweka wakfu Ask. Robert Pangani wa kanisa la Moravian Jimbo la kusini Magharibi - Mbeya ambapo mgeni rasmi ni Mhe. Rais Dr. Samia ambaye amewakirishwa na Naibu Waziri Mkuu. Mkuu huyu wa mkoa ni mweupe kanisa, hajui itifaki, kwanza amepewa nafasi kumkaribisha...
  10. Wakongwe Filbert Bayi na Juma Ikangaa Vitu viwili tofauti

    Kushoto ni mwanariadha mkongwe wa zamani Juma Ikangaa (280) na kulia ni mwanariadha Mkongwe Filbert Bayi (331); Ukiwaangalia kwa haraka kwenye picha utadhani ni marafiki , Ila wapo tofauti kabisa; Juma Ikangaa ni mpinga rushwa na hapendi vitu vya dhulma swala tano kabisa, ila Filbert Bayi ni...
  11. Juma mgunda ni kocha anaetembelea upepo wa kufukuzwa kwa makocha wenzake

    Katika soka neno tapeli sio tusi, bali hutumika kumbainisha mtu anaejipatia sifa na umaarufu chanya pasipo juhudi na uwezo wake binafsi kama ilivyo kwa kocha juma mgunda gadiola mnene. Kibonge huyu toka Tanga, ni kocha mzuri ila sio kocha wa kiwango wanachokitaka mbumbumbu fc, achilia mbali...
  12. Kauli ya Juma Nkamia Kuhusu Uchawa wake wa kinafiki kwa Magufuli Isibezwe

    Shalom, Mungu alituumba kipekee sana na kila mtu ana uhuru wake wa kufikiria aidha kupata, kupambana upate na kupambana usikose. Juma Nkamia kasema ukweli wake ambao hata katika utawala huu wa Bi Hassan tunayaona mengi sana, yeye mwenyewe alisema ana chawa wake. Wakati wa hatari kuna namna...
  13. Omar Juma Kipanga amewaambia wananchi wa mafia baada ya kimbunga Hidaya

    MHE QS KIPANGA SHIDA ZENU SHIDA ZANGU KIMBUNGA HIDAYA MAFIA KILINDONI MAFIA Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknologia Mhe Qs Omar Juma Kipanga amewaambia wananchi wa mafia kata ya Kilindoni Kijiji Cha kilindoni Vitongoji kumi na moja kuwa shida zao shida zake juu ya majanga ya Kimbunga...
  14. M

    Nitashangaa sana Juma Mgunda akikosa tuzo ya mwezi

    Haihitaji kwenda chuo kikuu kujua kuwa kocha bora wa mwezi ni Juma Mgunda
  15. Juma Mgunda ameridhika kuwasaidia kufundisha Simba SC na kusahau kuwa ana 'profile' kubwa katika Ligi ya Tanzania

    Imekuwa kama dharau kwa mzawa kocha Juma Mgunda kila timu inapopoteana (mwendelezo mbovu) na makocha wa kigeni kutimuliwa timu ya Simba sc huwa inamkubuka Juma Mgunda na kumpa timu tena. Nani asiyejua uwezo wa Juma Mgunda katika ligi hii? Juma Mgunda siyo wakufanya kibarua cha saidia fundi ila...
  16. Sikuona makosa ya Kennedy Juma kwenye goli la pili la Namungo

    Naona kila mmoja anamnyoshea kidole Kennedy Juma kuwa ndio aliyefanya makosa kwernye lile goli. Pengine Kennedy ana nyota mbaya ya kutopendwa na wanasimba lakini kwa goli la jana halikuwa kosa la Kennedy Juma bali ni la kipa Ayoub. Kipa alitoka golini kwake kufuata mpira pasipo mawasiliano...
  17. Omar Juma Kipanga ashiriki ufunguzi wa Mkutano wa sita wa Dunia wa Jukwaa la PASET

    Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknologia Mhe Qs Omar Juma Kipanga akifuatilia kwa UMAKINI Ufunguzi wa Mkutano wa SITA wa Dunia wa Jukwaa la Pertnesship in applied science and engineering technology (PASET) na Reginal Scholarship and innovation fund (RSIF) Katika Mkutano Mkuu wa TVET kuhusu...
  18. Juma Nature: Tunalipa michango ya Ulinzi Shirikishi, kwa nini bado tunaibiwa Mitaani

    Kupitia akaunti yake katika Mtandao wa Instagram, Mwanamuziki Juma Nature amepost Video akizungumzia suala la Ulinzi Shirikishi maarufu kama Sungusungu au Makamanda na Usalama wa Mitaani Nature amehoji kuwa kwanini licha ya Wananchi kuchangishwa fedha za Ulinzi, bado vitendo vya Wizi wa Mitaani...
  19. Juma kuu gumu sana la majonzi na vicheko kwa Klabu za soka za Tanzania

    moja, ni timu bora kabisa barani Africa, Simba S.C. hawa jamaa, wana ijumaa moja ngumu sana kiroho na kimwili. Ijumaa ya kushika moyo, huku jua nalo likififizwa na wingu zito la roho ya itakuaje uwanjani, dhidi ya mafarao wagumu na wabishi sana wa misri, ambao hawapendi kabisa nyavu zao...
  20. Vijana wa 2,000 mnaoanza kutest ganja kirahisi rahisi, sisi Juma Nature alitushauri hivi kwa phrase fupi sana ila yenye maana kubwa sana

    Sir nature alikuwa mfalme wa "the art of street story telling" Katika wimbo wa Jinsi Kijana aliyasema maneno haya na kwa kweli alikuwa sahihi sana kuhusu bangi kutegemeana na asili ya mtu. "Hiyo mibangi tunayovuta ni stimu za kulanduka, kama sio fani yako kwa kweli utaambuka, kijasho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…