Kufanya siasa hapa nchini hakujawahi kupungikiwa vitimbwi.
Haki, usawa na ustaarabu vimemilikishwa chama tawala. Mamlaka ikajikita kuhakikisha wengine hawafurukuti.
Yote haya yakifanikishwa kutokana na mapungufu makubwa ya makusudi kwenye katiba ya nchi isiyokidhi zama tulimo.
Pana sheria...
Kununua nyumba ya uwekezaji linaweza kuwa jambo rahisi sana wakati ambapo una mtaji fedha wa kutosha kununua nyumba unayotaka. Lakini kuuza nyumba ambayo huitaki inachukua miezi mingi mpaka miaka kadhaa.
Kwa kutumia kanuni hii ya uwiano ninakuonyesha jinsi unavyoweza kununua nyumba ya uwekezaji...
Mungu si Athumani, maana amekuwa akishusha thawabu zake kwa muda wa takribani miaka mitano sasa tangu nilipoanza kupataa namna ya kujiingizia kipato changu na kumudu gharama za kuishi. Kwakweli niwe muwazi kuwa maisha siyo mteremko sana na wala sipati pesa nyingi sana lakini pesa nazopata...
Rejea mada tajwa hapo juu kwenye heading na ninaomba niende moja kwa moja kwenye mada husika.
UTANGULIZI
Kwanza kabisa unaweza kukubaliana nami kuwa changamoto kubwa zaidi za watu wa maisha ya kati ni kuhudumia matibabu, kupoteza ajira, kuunguliwa na nyumba, misiba na kupatwa na kadhia ya...
Nimesikia Rais ameagiza Waziri kuandaa kanuni za mikutano ya vyama vya siasa na hapa ndipo tunatakiwa kurejea katika historia yetu na kujiuliza tumekuwa na changamoto gani mpaka hapa tulipo na kanuni hizi zilenge kutoa majibu.
Tukirudi katika historia tunaambiwa miaka ya 60 na 70 tulikuwa na...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge kwa kushirikiana na Tanganyika Law Society (TLS) pamoja na Zanzibar Law Society (ZLS) ameagizwa kuandaa kanuni zitakazoelekeza namna ya kufanya mikutano ya hadhara ya Vyama vya Siasa.
Rais Samia ameelekeza hayo baada va kupokea...
Nimesoma uzi wa wanafunzi flani huko Singida wampata msala wa kukamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kuchoma moto pikipiki ya mwalimu na kufyeka shamba la mwalimu huyo baada ya kumpa adhabu mwanafunzi mmoja aliyekutwa na simu.
Mwanafunsi huyo ni wa sekondari, binafsi hata mimi siungi mkono...
#Utadaije tume huru badala ya kubadili mfumo wa ELIMU uliopo?
Point yangu ipo hapa:
Utakuta mtu ametoka job huko hata kunawa hajanawa anaingia kwenye mgahawa ambamo watu wanapata chakula huku akitoka jasho na matope mwili Mzima ,hatukatai unafanya kazi umeshindwa hata kunawa kwenye bomba ndo...
Kansela Olaf Scholz amesema Ujerumani italegeza Kanuni hizo kufuatia Wimbi la Maambukizi kutokana na Kirusi cha Omicron kuonekana kupita kilele chake
Hata hivyo, ameonya Mlipuko bado haujaisha
Kwa upande wa Austria, Kansela Karl Nehammer amesema Serikali yake italegeza asilimia kubwa za Kanuni...
Kanuni kuu ya kuhonga inasema hivi:
" MWANAMKE SIKUPI HELA KWA SABABU NINATAKA UNIPENDE ILA NINAKUPA HELA KWA SABABU
1. NINA KUPENDA
2. NINAJIPENDA.
Kama una mpa Pesa mwanamke ili akupende basi jua kwa hakika kwamba wewe ni mpumbavu Kwa Sababu ni mwanaume mpumbavu peke yake ndio ana amini...
Taifa hilo limeondoa marufuku ya watu kuwa nje kuanzia saa saa sita usiku hadi 10 alfajiri. Vilevile, mikusanyiko ya ndani haitakiwi kuzidi watu 1,000 na ya nje watu 2,000
Pia, Serikali imeashiria kuruhusu uuzaji wa pombe baada ya saa tano usiku, hatua inayotoa ahueni kwa Wafanyabiashara ambao...
Spika Ndugai amewaasa watu waache kulishambulia bunhe kwamba Wanapitisha Sheria za Bunge zisizo faa. Amedai saa nyingine Kanuni za Sheria ndio zinakiwa na tatizo. Baadala ya kulaumu, leteni hizo Kanuni tuzibadilishe. "Wanasema Bunge Ovyo, Wabunge hawana maana, hawajui kanuni za Sheria zinatungwa...
Kanuni mpya za kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya COVID19 yatokanayo na Kirusi cha Omicron zimetangazwa Nchini humo
Waziri Mkuu wa Ufaransa, Jean Castex amesema kuanzia Januari 03, kufanyia kazi nyumbani itakuwa lazima kwa angalau siku 3 kwa wiki kwa wale wanaoweza. Mikusanyiko ya ndani...
Nyumbani kwangu ikifika wakati wa chakula cha usiku (dinner) ni lazima tule pamoja kwenye chumba kimoja,
Sasa kuna mtoto wa shangazi ni kama miaka 20 hivi hapendi kufata sheria ya mda wa dinner. Sheria ya muda wa mlo wa usiku ni kwamba simu hazitakiwi kutumika, simu inabidi ziachww vyumbani...
KANUNI SAHIHI ZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI
Kaya nyingi hapa nchini hujihusisha na ufugaji wa kuku kwa lengo la kujipatia chakula na kipato. Mazao yatokanayo na ufugaji wa kuku ni pamoja na mayai, nyama, mbolea na manyoya kwa ajili ya matumizi mbalimbali.
Mifumo ya ufugaji kuku ambayo...
Simba na NBC ni kama kiuno na mkanda tangu enzi hizoooo jezi la mnyama simba likiwa limechafuka kama kawaida kitendo ambacho siyo rahisi kukuta kwenye team zinazofanya vibaya kuvutia sponsors wa kuchafua jezi.
Pichani ni Mnyama Pawasa akiwa ametinga uzi wenye twiga mwekundu vilevile ni vyema...
Ukisoma sheria ya madini ya mwaka 2010 na marekebisho yake sehem ya VI isemayo ROYALTIES FEES AND OTHER CHARGE. kifungu cha 87(1) inasisitiza royalty ya 6percentum kwenye dhahabu na madini mengine km yalivyoainishwa japo mengine kiwango chake kiko chini ya 6percentum.
Kumezoeleka katika nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.