Let say mchezaji X ana kadi mbili za njano alizopata kwenye mechi zilizopita katika ligi .kanuni zinasema ukifikisha kadi tatu za njano,hautacheza mchezo unaofuata.swali,ikitokea mchezaji X akapata kadi mbili za njano na red card kwa mchezo unaofiata ke zile yellow card mbili za awali zotafutika...
Kanuni za biashara na uwekezaji ndizo zilizomlazimisha mo kujiuzulu uwenyekiti simba au ni kwakuwa mo anasafiri sana nje ya nchi?
Wenye ujuzi kwenye hili atudadavulie. Kuwa mwekezaji na kuwa mwenyekiti ni sawa?
Kiukweli watanzania wanamitaji midogo ya kupata sehemu za kujiegesha kwa ajili ya biashara zao.
Lakini wenye nyumba hawa tengenezi aina mifumo ambayo hata yule kijana au yoyote anayetaka kufanya biashara basi hata kuwa na sehemu ambayo ni elekezi na bei nzuri.
Kwa Dar es Salaam naona...
Rais wa Botswana amemsimamisha kazi kwa mwezi mmoja Waziri Msaidizi wa Afya, Sethomo Lelatisitswe, kwa kukiuka taratibu zilizowekwa ili kudhibiti maambukizi ya COVID19.
Serikali Nchini humo ilipiga marufuku mikusanyiko yote kutokana na ongezeko la Visa vya Corona na miongoni mwa mikusanyiko...
Uchambuzi huu unahusisha kanuni zinazotokana na Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOCA) ya mwaka 2010, na unapendekeza kufanyia mabadiliko Kanuni zilizowekwa mwaka 2020.
============
ANALYSIS OF TANZANIA's ONLINE CONTENT REGULATIONS AMENDMENTS(2021) by JAMII FORUMS
MAJOR...
Kutokana na kupungua maambukizi ya CoronaVirus Taifa hilo litaanza kulegeza Kanuni kuanzia kesho Agosti 24 ambapo maeneo ya kufanya manunuzi na nyumba za ibada katika baadhi ya Miji zitaruhusiwa kufunguliwa.
Maeneo ya Ibada na Migahawa itatakiwa kufanya kazi kwa kiwango cha 25% na maeneo ya...
Tukirudi nyuma kabisa historia inawatambua kuwa Simba SC ndiyo klabu pekee
Tanzania.
Tukumbuke ishu ya Singano, Yondani, Chuji na Hassan Kessy hawa wote walisepa pale kwasababu ya changamoto ya kuchezewa mikataba yao na uongozi wa Simba SC
Dirisha hili la usajili wamesha fanya yao. Yaani...
Mambo ni Moto
Katika sakata linaloendelea linalomkabili Ndugu Lengai Ole Sabaya, utetezi wake unaacha watu midomo wazi.
Mimi sio mwanasheria lakini Kwa akili ndogo tuu niliyonayo namuona Ole Sabaya na mawakili wake wakishindwa kutoa utetezi wenye mantiki.
Utetezi wa Sabaya kuwa alitumwa na...
Filosofiasoko pekee Afrika inayokamilishana na UBUNTU kutegua kitendawili mama cha familia za waAfrika tangu mataifa ya Afrika tuanze kupata uhuru (Libya 1951) zaidi ya nusu karne iliyopita .
"Jinsi ya kupunguza ugumu wa maisha na kuongeza amani na furaha ya familia za waAfrika kwa kupata mfumo...
Tatizo la huu mjadala yeyote anayehoji kuhusu Mambo ya kimkataba anaonekani ni Chura au utopolo na kuzimwa ghafla. Wanasimba tumeamua kutia Pamba masikioni kama tuko kwenye honeymoon tukifurahia mahusiano. What about the Dark days?
Tuliambiwa katika kanuni za huu mchakato wa uwekezaji wa Klabu...
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan.
Pamoja na mambo mengine Kamati Kuu imempongeza Rais...
Misingi na kanuni za kilimo bora.
Neno Msingi lina maana ya mwanzo wa kufanya shughuli yeyote inayokusudiwa ili kuweza kufikia malengo. kwa hiyo katika kilimo ipo misingi muhimu ifuatayo:
Kuwa na mipango thabiti inayotekelezeka kabla ya kuanza kufanya kazi yeyote ya maendeleo ni vyema, kuweka...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ametoa siku kumi na tano kwa Wizara ya madini kupitia na kufanya marekebisho ya kanuni za uuzaji na uchakataji wa madini ya Tanzanite.
Ametoa agizo hilo wakati wa hafla ya kuzindua kituo cha pamoja Cha Tanzanite Magufuli (Magufuli Tanzanite One Stop Center)...
Swali kwa Job:
Kwani Wanahabari ni Wabunge mpaka uwapeleke kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge?
Ushauri wangu ni:
Job soma kanuni ya 2 ya Kanuni za Bunge. Kanuni zenu zinatumika kuendesha Bunge na si NCHI. Hazituhusu sisi. Si SHERIA za Nchi.
Bunge si Mahakama. Halina MAMLAKA la kumuhukumu mtu...
Katika kitu ambacho kiliniumiza nafsi ni mechi ya Mei 8 kuahirishwa. Lakini kutokana na msimamo wa ligi ulivyo sasa. Naamini katika ule msemo wa mabeberu "Everything happens for a reason". Hivi ni nani kati yetu alietambua kua furaha ambayo Wanasimba tungeipata Mei 8 si lolote kama furaha ambayo...
Mwigulu Nchemba, ambaye siku zote ametueleza kwamba yeye ni mchumi mbobezi aliefaulu degree yake ya uchumi pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa daraja la kwanza, anakuja kutufafanulia Watanzania kwamba serikali imefanya ufikirio saa katika suala la kodi ya laini ya simu ili isiwaumize...
Wananchi kuhusishwa katika maamuzi ya Kiserikali husaidia kuwajengea uwezo wa kuchukua jukumu katika uundaji wa Sera nzuri na utekelezaji kwa maendeleo ya nchi.
Mbunge wa Momba Condester Michael Sichalwe ametolewa ndani ya ukumbi wa Bunge ili akabadilishe mavazi yake baada ya Mbunge wa Nyangw'ale Hussein Nassor Amar kuomba muongozo wa Spika kuwa kuna baadhi ya Wabunge wamevaa mavazi yasiyo na maadili.
Spika baada ya kumuamrisha kuondoka Bungeni pia...
Maajabu Yanga, kanuni na Kamati ya Saa 72
BILA shaka umeshawahi kusikia Yanga Kampuni na Yanga Asili. Lakini utakuwa umewahi kusikia kuhusu Yanga Katiba na Yanga Ukuta. Hayo ni makundi yaliyowahi kuibuka ndani ya Yanga katika nyakati tofauti kutokana na malumbano na migogoro iliyosababishwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.