Ulikuwa mwema binti mpole, mavazi ya kiafrika kutoka kijijini, ulipofika mjini ofisi ikakuamini ikakupa kazi, ofisi ikakufundisha na mavazi ya kuvaa binti, ukakubali ukaanza kuvaa European style, hukuishia hapo ukafanyika organizational marketing binti wa watu, ukaanza kunawili kwani hukupata...