NASA INATUCHANGANYA! Je, Ni Kweli Dunia Inazunguka kwa Kasi ya KM 1,600/Saa au Tumeaminishwa Uongo?

ProcrastinatorInChief

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
13,027
Reaction score
29,556
Hivi karibuni, wanasayansi kutoka NASA wamedaiwa kwenda mwezini kutalii na kupiga picha kupitia misheni ya Artemis II, na hatimaye kurudi Duniani. Jambo hili, kama mwanasayansi, nalipongeza sana. Asiyefurahi kwa kidogo hata kikubwa hawezi kupewa; nimefurahi kupata picha kuanzia tukio linaanza mpaka lilipofika hapa.

Lakini, pongezi hizi zinakuja na mashaka mazito. Ikiwa tuliweza kufika na kutua mwezini miaka 60 iliyopita na teknolojia ya "analog," kwanini leo, tukiwa na teknolojia ya hali ya juu kuliko wakati wowote, tushindwe kwenda, kutua, na kutuonyesha kila kitu mubashara (LIVE) bila chenga? Kwanini tunapewa picha za vipande vipande badala ya video inayotiririka kuanzia kuondoka mpaka kutua? na kipi kinawazuia wasiende mwezini wakatembee na kuweka bendera kama wenzao wa Apollo?

Baada ya chombo cha Artemis kuanza safari yake kuelekea mwezini, picha na video zilizotumwa zimezua maswali mengi kuliko majibu. Video hizi zinaonyesha Dunia ikiwa imetulia tuli (Still). Tangu tarehe 2 mpaka leo, picha zinaonyesha upande ule ule wa bara la Afrika kana kwamba Dunia imeganda.

Hii imenileta maka kwenye maswali makuu ya kimantiki:

  • Kasi ya Ajabu Iko Wapi? Tuliaminishwa na kufundishwa tangu shule ya msingi kuwa Dunia inazunguka kwenye mhimili wake kwa kasi ya zaidi ya kilomita 1,600 kwa saa. Kwa kasi hiyo, ndani ya saa chache tu tulipaswa kuona mabara yakipishana na sura ya Dunia ikibadilika kwa haraka. Lakini kwenye video ya NASA, Dunia haisogei, haizunguki, wala haina dalili yoyote ya mwendo.
  • Mawingu Yaliyoganda: Tunajua kuwa angahewa ina upepo na mifumo ya hali ya hewa inayobadilika kila sekunde. Inakuwaje kwenye video hizi mawingu yanaonekana yakiwa yameganda mahali pale pale kwa muda mrefu? Je, ni kweli haya ni mawingu ya asili au ni picha tu ya kutengeneza iliyowekwa nyuma ya chombo?
  • Mvuto wa Centrifugal (Centrifugal) : Sayansi inasema kitu kinachozunguka kwa kasi lazima kirishe vitu nje au kionyeshe mabadiliko ya umbo (bulge). Mbona hapa tunaona duara kamilifu lililotulia kama picha ya ukutani?
Kama mwanasayansi, nakubali maendeleo, lakini siwezi kukubali maswali bila majibu. Ikiwa picha zinatuonyesha Dunia imetulia, na macho yetu hayaoni mzunguko ule wa kilomita 1,600 kwa saa, basi kuna mambo mawili: Ama tulidanganywa kuhusu kasi ya mzunguko wa Dunia tangu awali, au picha tunazopewa na NASA si za kweli (CGI).

hii ni viddeo ya leo ya nasa ambayo upande huo wa Afrika unafanana kama video ya Nasa ya kwanza kipindi wanatoka duniani..
659586013_1493256312169740_2042398293693968717_n.jpg
660763818_1494247112070660_6405606545859782522_n.jpg
660979835_1494247108737327_4281056319876305200_n.jpg
 
View attachment 3568900

hii ni viddeo ya leo ya nasa ambayo upande huo wa Afrika unafanana kama video ya Nasa ya kwanza kipindi wanatoka duniani..
View attachment 3568902View attachment 3568903View attachment 3568904
Wewe nawe unajiita mwanasayansi?

Unajua hata kutumia Google?
 
Huna hoja, umeqnza kuweka assumption kwamba wamwshindwa kutua mwezini wakati hata hujajielimisha vitu vya nsingi kuhusu nini kinaendelea.

Una uvivu wa kiutamaduni, huna hoja.
Kiranga mara nyingi kwnye mijadala yako naona huwa na una hoja nzuri sana ,ila leo umekuwa very Deflector kwa hoja ndogo tu 😀 😀 😀

Tuache kwanza habari ya uvivu wangu wa kiutamaduni au elimu yangu; turudi kwenye hoja: Una ushahidi gani unaopinga au kuthibitisha hili tulilokuwa tunajadili?

leo umekuwa "Obscurantism" badala ya kujibu hoja, yaani umeanza kufanya Ad Hominem..
badala yya kujibu hoja huoni kama unacreate Logical Fallacies??
 
Dunia ni kubwa sana in kipenyo cha 12,742 km. Inachukua saa 24 kukamilisha mzunguko mmoja

Hivyo kwa muda mfupi dakika au saa chache, mabadiliko ni madogo sana kuona kwa macho au hata kwenye video fupi
hapana mkuu ukiwa ndani ya dunia ni kweli ila ukiwa na Umbali wa KM 396K ni umbali mkubwa sana ulipaswa kuona huo mzunguko
 
Kiranga mara nyingi kwnye mijadala yako naona huwa na una hoja nzuri sana ,ila leo umekuwa very Deflector swa hoja ndogo tu 😀 😀 😀

Tuache kwanza habari ya uvivu wangu wa kiutamaduni au elimu yangu; turudi kwenye hoja: Una ushahidi gani unaopinga au kuthibitisha hili tulilokuwa tunajadili?

leo umekuwa "Obscurantism" badala ya kujibu hoja, yaani umeanza kufanya Ad Hominem..
badala yya kujibu hoja huoni kama unacreate Logical Fallacies??
Hatuwezi kuacha suala la uvivu wako wa kiutamaduni, kwa sababu linakufanya uulize maswali ya darasa la sita ambayo najua una uwezo wa kuyapatia majibu mazuri bila kutuletea ghasia hapa, ukauliza maswali ya level yako kama "mwanasayansi".

Swali kwako,

Mpaka sasa umefanya jitihada gani kujielimisha kwenye hoja hizi ili usiulize maswali ya darasa la sita?
 
Hatuwezi kuacha suala la uvivu wako wa kiutamaduni, kwa sababu linakufanya uulize maswali ya darasa la sita ambayo najua una uwezo wa kuyapatia majibu mazuri bila kutuletea ghasia hapa, ukauliza maswali ya levwl yako kama "mwanasayansi".
"swala lililoulizwa ni jepesi sana la darsa la sita"

ila mpaka sasa hivi hujalijibu unazunguka tu
 
Tuliaminishwa na kufundishwa tangu shule ya msingi kuwa Dunia inazunguka kwenye mhimili wake kwa kasi ya zaidi ya kilomita 1,600 kwa saa. Kwa kasi hiyo, ndani ya saa chache tu tulipaswa kuona mabara yakipishana na sura ya Dunia ikibadilika kwa haraka. Lakini kwenye video ya NASA, Dunia haisogei, haizunguki, wala haina dalili yoyote ya mwendo.

Interesting But here is the Deal.

Tumemezeshwa hivi.

Dunia inazunguka kwa nyuzi 360 ndan ya 24 hrs.
Means Kama ww ukisimama Still/station na kupoint any area kwenye Dunia, bas ile pointed area utaiona tena baada ya masaa 24. Ila mara hii . Utaiona ile pointed area ikiwa haipo kwenye ile position ya awali ya Dunia.

Mfano mrahisi.
Kuna point A na Point B na Point C ....Z.
na ww umekaa kwa mbali . Tuite point 0.(haibadiriki)

kwenye Point A ukauweka mpira. Na ukamark DOT kubwa sehem ya ule mpira na marker pen nyekundu.
Alaf ule mpira ukauzungusha taratibu sana kutoka Point A kwenda Point B. Ww ukiwa kwenye Point 0 Utakuja kuona ile DOT tena mpira ukishafika Point B. Na ndio 360 degree itakuwa imekamilika. na itakuwa imetumia masaa 24.

Kumbuka mpira hautakuwa tena Point A. Sasa Ukipima distance kutoka Point A hadi B (ulipoona ila DOT tena) utapata Km kadhaa, na hizo Km ukigawanya kwa 24 hrs (muda uliotumia mpak kuiona tena ile Dot) ndio unapata distance ya 1,600 km.

Mpira utaendelea hivyo hivyo kwa Point C na D nakuendelea.

Na Ule mpira ukiwa unazunguka vile utachukua muda kidogo kurud tena kwenye Point A.
Na siku Mpira ukifika tena Poing A bas huo muda utakuwa ni siku 365.
A Year.

Kwahiyo Spidi 1,600 km/hr sio ya kuon haraka haraka kwa macho kama gar linavyotembea.
 
Hivi karibuni, wanasayansi kutoka NASA wamedaiwa kwenda mwezini kutalii na kupiga picha kupitia misheni ya Artemis II, na hatimaye kurudi Duniani. Jambo hili, kama mwanasayansi, nalipongeza sana. Asiyefurahi kwa kidogo hata kikubwa hawezi kupewa; nimefurahi kupata picha kuanzia tukio linaanza mpaka lilipofika hapa.

Lakini, pongezi hizi zinakuja na mashaka mazito. Ikiwa tuliweza kufika na kutua mwezini miaka 60 iliyopita na teknolojia ya "analog," kwanini leo, tukiwa na teknolojia ya hali ya juu kuliko wakati wowote, tushindwe kwenda, kutua, na kutuonyesha kila kitu mubashara (LIVE) bila chenga? Kwanini tunapewa picha za vipande vipande badala ya video inayotiririka kuanzia kuondoka mpaka kutua? na kipi kinawazuia wasiende mwezini wakatembee na kuweka bendera kama wenzao wa Apollo?

Baada ya chombo cha Artemis kuanza safari yake kuelekea mwezini, picha na video zilizotumwa zimezua maswali mengi kuliko majibu. Video hizi zinaonyesha Dunia ikiwa imetulia tuli (Still). Tangu tarehe 2 mpaka leo, picha zinaonyesha upande ule ule wa bara la Afrika kana kwamba Dunia imeganda.

Hii imenileta maka kwenye maswali makuu ya kimantiki:

  • Kasi ya Ajabu Iko Wapi? Tuliaminishwa na kufundishwa tangu shule ya msingi kuwa Dunia inazunguka kwenye mhimili wake kwa kasi ya zaidi ya kilomita 1,600 kwa saa. Kwa kasi hiyo, ndani ya saa chache tu tulipaswa kuona mabara yakipishana na sura ya Dunia ikibadilika kwa haraka. Lakini kwenye video ya NASA, Dunia haisogei, haizunguki, wala haina dalili yoyote ya mwendo.
  • Mawingu Yaliyoganda: Tunajua kuwa angahewa ina upepo na mifumo ya hali ya hewa inayobadilika kila sekunde. Inakuwaje kwenye video hizi mawingu yanaonekana yakiwa yameganda mahali pale pale kwa muda mrefu? Je, ni kweli haya ni mawingu ya asili au ni picha tu ya kutengeneza iliyowekwa nyuma ya chombo?
  • Mvuto wa Centrifugal (Centrifugal) : Sayansi inasema kitu kinachozunguka kwa kasi lazima kirishe vitu nje au kionyeshe mabadiliko ya umbo (bulge). Mbona hapa tunaona duara kamilifu lililotulia kama picha ya ukutani?
Kama mwanasayansi, nakubali maendeleo, lakini siwezi kukubali maswali bila majibu. Ikiwa picha zinatuonyesha Dunia imetulia, na macho yetu hayaoni mzunguko ule wa kilomita 1,600 kwa saa, basi kuna mambo mawili: Ama tulidanganywa kuhusu kasi ya mzunguko wa Dunia tangu awali, au picha tunazopewa na NASA si za kweli (CGI).

View attachment 3568900

hii ni viddeo ya leo ya nasa ambayo upande huo wa Afrika unafanana kama video ya Nasa ya kwanza kipindi wanatoka duniani..
View attachment 3568902View attachment 3568903View attachment 3568904
Kuna kitabu kinaitwa "fuctfullness" ukikisoma utagundua vitu vingi ni uongo mfano swala kwamba duniani watu wapo wengi anasema watu wote duniani wanaweza kuwekwa kwenye jimbo moja tu la marekani na wakaenea bila wasiwasi yule mwandishi ni mfnayakazi wa zamani wa WHO kwa hyo hata haya mambo ya kwenda mwezini ni story za uongo tu .
 
"swala lililoulizwa ni jepesi sana la darsa la sita"

ila mpaka sasa hivi hujalijibu unazunguka tu

Ulipoanzia tu ushaanguka kwa kujionesha wewe ni mvivu wa kiutamaduni.

Nimekuuliza mpaka sasa umefanya jitihada gani kujielimisha kwenye hoja hizi ili usitupe kazi ya kuwa walimu wa darasa la sita bila mshahara?

Hujajibu.
 
Hivi karibuni, wanasayansi kutoka NASA wamedaiwa kwenda mwezini kutalii na kupiga picha kupitia misheni ya Artemis II, na hatimaye kurudi Duniani. Jambo hili, kama mwanasayansi, nalipongeza sana. Asiyefurahi kwa kidogo hata kikubwa hawezi kupewa; nimefurahi kupata picha kuanzia tukio linaanza mpaka lilipofika hapa.

Lakini, pongezi hizi zinakuja na mashaka mazito. Ikiwa tuliweza kufika na kutua mwezini miaka 60 iliyopita na teknolojia ya "analog," kwanini leo, tukiwa na teknolojia ya hali ya juu kuliko wakati wowote, tushindwe kwenda, kutua, na kutuonyesha kila kitu mubashara (LIVE) bila chenga? Kwanini tunapewa picha za vipande vipande badala ya video inayotiririka kuanzia kuondoka mpaka kutua? na kipi kinawazuia wasiende mwezini wakatembee na kuweka bendera kama wenzao wa Apollo?

Baada ya chombo cha Artemis kuanza safari yake kuelekea mwezini, picha na video zilizotumwa zimezua maswali mengi kuliko majibu. Video hizi zinaonyesha Dunia ikiwa imetulia tuli (Still). Tangu tarehe 2 mpaka leo, picha zinaonyesha upande ule ule wa bara la Afrika kana kwamba Dunia imeganda.

Hii imenileta maka kwenye maswali makuu ya kimantiki:

  • Kasi ya Ajabu Iko Wapi? Tuliaminishwa na kufundishwa tangu shule ya msingi kuwa Dunia inazunguka kwenye mhimili wake kwa kasi ya zaidi ya kilomita 1,600 kwa saa. Kwa kasi hiyo, ndani ya saa chache tu tulipaswa kuona mabara yakipishana na sura ya Dunia ikibadilika kwa haraka. Lakini kwenye video ya NASA, Dunia haisogei, haizunguki, wala haina dalili yoyote ya mwendo.
  • Mawingu Yaliyoganda: Tunajua kuwa angahewa ina upepo na mifumo ya hali ya hewa inayobadilika kila sekunde. Inakuwaje kwenye video hizi mawingu yanaonekana yakiwa yameganda mahali pale pale kwa muda mrefu? Je, ni kweli haya ni mawingu ya asili au ni picha tu ya kutengeneza iliyowekwa nyuma ya chombo?
  • Mvuto wa Centrifugal (Centrifugal) : Sayansi inasema kitu kinachozunguka kwa kasi lazima kirishe vitu nje au kionyeshe mabadiliko ya umbo (bulge). Mbona hapa tunaona duara kamilifu lililotulia kama picha ya ukutani?
Kama mwanasayansi, nakubali maendeleo, lakini siwezi kukubali maswali bila majibu. Ikiwa picha zinatuonyesha Dunia imetulia, na macho yetu hayaoni mzunguko ule wa kilomita 1,600 kwa saa, basi kuna mambo mawili: Ama tulidanganywa kuhusu kasi ya mzunguko wa Dunia tangu awali, au picha tunazopewa na NASA si za kweli (CGI).

View attachment 3568900

hii ni viddeo ya leo ya nasa ambayo upande huo wa Afrika unafanana kama video ya Nasa ya kwanza kipindi wanatoka duniani..
View attachment 3568902View attachment 3568903View attachment 3568904
1. Earth rotates on its axis at approximately 1,670 km/h (1,037 mph) at the equator. This rotational speed decreases with latitude, reducing to zero at the poles
2. it is not possible to physically feel the Earth spinning because humans, the atmosphere, and everything on the surface are moving at the same constant speed. Our bodies detect changes in speed (acceleration) rather than motion itself. Earth spins steadily, completing a rotation every 24 hours without significant speed changes
 
Back
Top Bottom