Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
hapana mkuu ukiwa ndani ya dunia ni kweli ila ukiwa na Umbali wa KM 396K ni umbali mkubwa sana ulipaswa kuona huo mzunguko
Kwenye Geog tulisoma kuwa kipenyo cha Dunia ni km 12,742
Dunia inazunguka nyuzi 360 ndani ya saa 24
Hiyo ina maana:
Saa 1 = nyuzi 15
Dakika 10 = nyuzi 2.5 tu
Ina maana hata NASA wakikupa video ya dakika 10 yaani uone mzunguko wa nyuzi 2.5 ni ndogo sana kuona mabadiliko kwa macho bila kulinganisha picha mbili kwa makini
Macho yetu huwa hayaoni haraka kwa sababu hayapimi nyuzi za mzunguko, yanaona mabadiliko ya haraka ya vitu
Kwa hiyo ndani ya dakika chache hauwezi kuona tofauti inayoonekana wazi
Ndani ya saa kadhaa ndio utaanza kuona mabadiliko
Ndani ya masaa 24 mabadiliko ni makubwa utaweza kuona mchana kwenda usiku
Swali ni je, utaweza kukaa uangalie video ya masaa 12 au 24 ili uone mabadiliko hayo?
Ndio maana NASA huwa wanarekodi vipande na kuviunganisha na kuviongezea speed (time lapse) ili watazamaji waweze kuona mabadiliko