NASA INATUCHANGANYA! Je, Ni Kweli Dunia Inazunguka kwa Kasi ya KM 1,600/Saa au Tumeaminishwa Uongo?

NASA INATUCHANGANYA! Je, Ni Kweli Dunia Inazunguka kwa Kasi ya KM 1,600/Saa au Tumeaminishwa Uongo?

"...Ikiwa wewe upo kwenye gari linalotembea, na pembeni yako kuna gari lingine linatembea, lazima utaona mabadiliko ya mazingira. Inakuwaje chombo kinasafiri umbali wa maelfu ya kilomita kuelekea Mwezini, lakini kamera yake inaendelea kuona Bara la Afrika katikati tu? Je, Dunia na Chombo vyote vimegandana?"

Mfano tupo sambamba barabarani , na kila mtu ana gari yake , ukipiga picha gari yangu au ukiichukua video , hiyo video ukiitazama utaweza ngamua mwendo wa gari yangu?
Mkuu, mfano wako wa magari mawili barabarani nimeupenda ila sidhani kama utakuwa sawa hapa ,kwa sababu rahisi ya kifizikia..
ngoja niuchambue.. Magari yako barabarani yanakwenda upande mmoja (Parallel), lakini Dunia na Artemis zina mienendo miwili tofauti.
  • Dunia inajizungusha (Rotation) Dunia inazunguka kwenye mhimili wake kwa kasi ya km 1,600/hr. Huu ni mwendo wa duara (circular motion).
  • Chombo kinasafiri (Trajectory) ila Artemis II haipo barabarani; inasafiri kuelekea Mwezini kwa kasi ya zaidi ya km 5,000/hr mpaka km 30,000/hr ya Escape velocity. Huu ni mwendo wa kwenda mbele (linear motion).
Hoja yangu ni hii Ili video ionyeshe gari lako halitembei (stationary), ni lazima mimi na wewe tuwe na kasi sawa na tuelekee upande mmoja.

Sasa, inawezekanaje Dunia inayojizungusha (Spinning) na chombo kinachokwenda mbele kwa kasi ya ajabu kuelekea Mwezini (Projected motion) vikaonekana vimegandana upande mmoja wa Bara la Afrika kwa saa kadhaa?
  • Je, Artemis nayo inajizungusha angani kwa kufuata mzunguko wa Afrika kwa kasi ileile ya km 1,600/hr?
  • Kama chombo kinazidi kwenda mbali, 'angle' ya kamera lazima ibadilike na kuonyesha sehemu nyingine ya Dunia.
Kwenye mfano wako wa magari, ukipunguza spidi kidogo tu au ukichepuka, sura ya gari langu itabadilika kwenye kamera yako. Kwenye video ya NASA, Zero Motion (mwendo sifuri) inaonyesha kuwa hakuna mzunguko unaofanyika kwenye hiyo sayari, au picha tunayopewa ni 'Static Image' (picha iliyoganda) ambayo haina uhusiano na mwendo wa chombo."

Kingine Kumbuka, hata kama magari yanakwenda spidi sawa, mazingira ya nje (miti, milima, barabara) yataonekana yakipita kwa kasi. Kwenye video ya NASA, mazingira ya nje ya Dunia (nyota au anga) hayabadiliki, na mazingira ya ndani ya Dunia (mawingu na mabara) hayabadiliki.
 
Sawa, unadai mabadiliko ni madogo. Lakini kihisabati, Dunia inageuka nyuzi 15 kila saa.
Ikiwa video ya NASA ina urefu wa saa 3 au zaidi, Dunia inapaswa kuwa imeshageuka kwa nyuzi 45 .

Nyuzi 45 ni karibu nusu ya robo ya duara! Hiyo ni nafasi kubwa sana kiasi kwamba bara la Afrika linapaswa kuwa limeshaondoka katikati ya picha na kuelekea pembeni kabisa. Mbona kwenye video ya Artemis, bara lipo palepale kama limepigwa gundi?"

Wacha tuachane na mzunguko wa ardhi. Mawingu yanatembea kwa kasi tofauti na ardhi (Wind speeds). Katika video yoyote ya kweli ya sayari, mawingu yanatakiwa kuonekana yakibadilika umbo (evolving) na kusogea. Kwenye video hizi za NASA, mawingu yanaonekana kama yamechorwa kwenye picha (static overlay). Je, unataka tuamini kuwa hata upepo wa Dunia nao umesimama kwa sababu tu 'Dunia ni kubwa'?"

Tunajua kuwa vituo vya anga (kama ISS) vipo karibu na Dunia na vinaonyesha ardhi ikipita kwa kasi sana. Sasa, unapotoka nje zaidi kuelekea Mwezini, ni kweli 'field of view' inaongezeka, lakini mwendo haupotei (motion doesn't disappear, it just scales). Ikiwa kamera imefungwa (fixed) kwenye chombo kinachokwenda Mwezini, na Dunia inazunguka, lazima kuwe na 'relative motion'. Kutokuwepo kwa mwendo wowote (Zero Motion) siyo swala la 'ukubwa wa dunia', bali ni swala la picha isiyo na uhalisia."
Kamera kwenye Artemis haichukui dunia nzima inachukua sehemu ndogo ya uso wa dunia

Kwenye Artemis kamera inaweza kuwekwa track point katikati ya Dunia

Hii inafanya Dunia ionekane palepale katikati, hata ingekuwa ikizunguka nyuzi 45 au zaidi
​

Hivyo mwendo unaonekana static kwenye video, ingawa kihalisi Dunia inazunguka

Hata ikiwa Dunia ingegeuka nyuzi 45, kama zoom ni kubwa, mabadiliko yanayoweza kuonekana kwenye fremu ni madogo sana

Hii hufanya bara kubwa kama Afrika ionekane palepale
​
 
ikiwa wametukuta tunaishi mporini wakatupa haya
  1. wakatupa namna ya kuvaa nguo
  2. wakatupa namna kujitibu madawa tunawategemea wao
  3. mawasiliano ni yao wkatuletea
  4. mfumo wa elimu wakatupa ndio tunatumia mpaka leo
  5. wakatupa na uzazi wa mpango wakaleta mpaka dini
  6. mpaka na majina wametupa saizi tunatumia john ,joseph,tukaacha kujiita ngombe na kondoo
sasa wanapofanya majaribio yao tunapata wapi nguvu ya kuhoji wakati kila kitu wametupa ss ambacho tumefanikiwa labda kuloga
 
Kamera kwenye Artemis haichukui dunia nzima; inachukua sehemu ndogo ya uso wa dunia

Kwenye Artemis kamera inaweza kuwekwa track point katikati ya Dunia

Hii inafanya Dunia ionekane palepale katikati, hata ingekuwa ikizunguka nyuzi 45 au zaidi
​

Hivyo, mwendo unaonekana static kwenye video, ingawa kihalisi Dunia inazunguka

Hata ikiwa Dunia ingegeuka nyuzi 45, kama zoom ni kubwa, mabadiliko yanayoweza kuonekana kwenye fremu ni madogo sana

Hii hufanya bara kubwa kama Afrika ionekane palepale
​
kamera haichukui dunia nzima ??? uko sawa kweli yaani uko nje ya dunia kwa km 380km halafu haichukui dunia nzima dah haya bhana 😀😀😀, haya na hiyo video na picha wamepiga wapi?
 
Na utaonaje mzunguko wa Dunia ukiwa kwenye mwezi
Unataka useme hata tuwe umbali kiasi gani nje ya uso wa Dunia, hatuwezi kuona kama Dunia inazunguka?,... maana tukiwa Duniani tunaambiwa hatuwezi kuhisi wala kuona kama Dunia ipo kwenye mwendo kwa kuwa tupo ndani yake na tuna move nayo,..
 
Dunia ni duara utachukuaje video au picha ya dunia nzima kwa wakati mmoja?
kwani mkuu umeelewa hoja zangu zinahusu nini ?? 😀 😀 :HAHAHA: :HAHAHA:
sasa mimi nazungumzia mzunguko na sijaongelea kuonekana kwa picha ya dunia yote..

fikiri una mpira unazungusha unategemea kila upande utaonekana
 
Ikiwa video ya NASA ina urefu wa saa 3 au zaidi, Dunia inapaswa kuwa imeshageuka kwa nyuzi 45 .

Ikiwa ni kweli video ya Nasa ina masaa 3 na zaid. Inatakiwa kuona upande mwingne wa Dunia.

hata Video ya Lisaa 1 ya wao kwenda any Direction ingetosha kuonyesha point tofaut za Dunia.

Nina aamini picture na video nying zinakuja.
 
Mkuu nasa wameanza kutoa video na picha tangu tarehe 2 mpaka leo tarehe 7 ila bado picha inaupande mmoja ndo sababu yangu kuja hapa kutaka wajuzi wanieleweshe
 
Sawa, hoja yako ya mpira na DOT inaeleweka na nisifiche iko perfect sana..

Lakini kumbuka, mpira wako unasema DOT itarudi palepale baada ya saa 24. Sasa, kwanini kwenye video za NASA, tunapoangalia kwa saa 3, 5, au hata 10, ile DOT (bara la Afrika) bado ipo katikati ya picha? Ikiwa Dunia inazunguka nyuzi 15 kwa saa, baada ya saa 6 tu, Afrika inapaswa kuwa imeshapotea upande wa pembeni na bara lingine lianze kuingia. Kwanini picha inabaki ileile masaa nenda rudi?"

Pia "Unaposema 1,600 km/hr siyo spidi ya kuona haraka kama gari, unashau kitu kimoja: Chombo cha Artemis kiko maelfu ya kilomita angani. Kwa umbali ule, 'field of view' (eneo ambalo kamera inaliona) ni kubwa sana. Ikiwa Dunia ingekuwa inasogea kwa spidi hiyo, tungepaswa kuona 'motion' ya taratibu ya mabara yakisogea (continuous motion). Kwenye video, kila kitu kimeganda—hata mawingu hayabadiliki umbo wala kuelekea upande mmoja. Je, mawingu nayo yanasafiri kwa 1,600 km/hr bila kubadilika?"

Ikiwa kamera ya Artemis imeelekezwa Duniani na chombo kinasafiri kuelekea Mwezini, kamera hiyo haijatulia mahali pamoja (station 0). Chombo kinasogea na Dunia inajizungusha. Katika hali hiyo ya mienendo miwili tofauti, haiwezekani picha ya Dunia ibaki 'Perfectly Centered' na bara lilelile lionekane kwa muda mrefu bila 'displacement' yoyote. Hapo ndipo 'logic' ya mpira inapoanza kufeli."

Hoja yako ya hesabu ni nzuri kwenye karatasi, lakini 'Practical Reality' tunayoiona kwenye video haifanani na hizo hesabu. Hesabu zinasema kuna mwendo wa nyuzi 15 kwa saa, lakini video inatuonyesha nyuzi 0 kwa saa. Swali linabaki: Je, tuamini hesabu za vitabuni au tuamini macho yetu yanachoona kwenye video ya NASA?"
The displacement speed of the Artemis Orion spacecraft in orbit cannot be easily appreciated by an observer—particularly one on Earth—due to the extreme distance, the lack of a familiar frame of reference, and the nature of orbital motion, which is largely tangential rather than a direct visual movement toward or away from the observer. While the spacecraft travels at staggering speeds (over 24,000 mph during certain phases), this speed does not translate to rapid visual movement across the sky in the way an airplane does
 
kwani mkuu umeelewa hoja zangu zinahusu nini ?? 😀 😀 :HAHAHA: :HAHAHA:
sasa mimi nazungumzia mzunguko na sijaongelea kuonekana kwa picha ya dunia yote..

fikiri una mpira unazungusha unategemea kila upande utaonekana
Karudie kusoma swali uliloniuliza kwenye message #46
 
The displacement speed of the Artemis Orion spacecraft in orbit cannot be easily appreciated by an observer—particularly one on Earth—due to the extreme distance, the lack of a familiar frame of reference, and the nature of orbital motion, which is largely tangential rather than a direct visual movement toward or away from the observer. While the spacecraft travels at staggering speeds (over 24,000 mph during certain phases), this speed does not translate to rapid visual movement across the sky in the way an airplane does
mbona unazungumzia tena kuzunguka na observation ya Artemis orion wakati sisi tunazungumzia dunia??
 
Miaka kumi nyuma nlichangia mambo mengi sana kuhusu nasa na ukweli nauongo wa space kwa Jumla, siwezi Kurudia hapa yote lakini pitia hii nyuzi hapa chini kuna michango mingi nimeweka

kamera haichukui dunia nzima ??? uko sawa kweli yaani uko nje ya dunia kwa km 380km halafu haichukui dunia nzima dah haya bhana 😀😀😀, haya na hiyo video na picha wamepiga wapi?

Huo umbali wa Km sio Tija sana.

Ila speed ndio ita matter.

Kwahiyo Ukitaka kuchukua Video kuzunguka na inayoonyesha Dunia nzima bas inatakiwa Kile chombo kimove opposite round Direction kwa masaa 12 Kwa spidi ya 1,600 km/hr.

Video itakuwa na masaa 12 😂😂😂🤣 chini ya hapo utaona Mabara yale yale.
 
kwahyo tunakubaliana kuwa dunia iko stil ,kwa sbabu ili kuview mabara inabidi uzunguke wewe kuangalia mabara na sio kustand still na kuchukua picha
 
kamera haichukui dunia nzima ??? uko sawa kweli yaani uko nje ya dunia kwa km 380km halafu haichukui dunia nzima dah haya bhana 😀😀😀, haya na hiyo video na picha wamepiga wapi?
Kwa kuwa nimeona uko interested na teknolojia za upigaji picha na kurekodi video za vyombo vya angani basi kasome vizuri hii kitu imaitwa tracking gimbal system inahusu jinsi camera za vyombo vya angani hufanya kazi​

file_0000000043e0722fab650105a3580588.png
 
kwahyo tunakubaliana kuwa dunia iko stil ,kwa sbabu ili kuview mabara inabidi uzunguke wewe kuangalia mabara na sio kustand still na kuchukua picha

Hapana. Dunia haiko still.

Ni kubwa sana kias kwamba unatakiwa uwe na speed kubwa zaid ili uone changes.

Kile chombo kiwe na speed 1.6k/hr kuona mabadiliko ya point 1 /angle tofaut na kichukue video ndan ya lisaa 1.

Hata ukiwa distance ya mbali.

Pia Ukistand still inabid ukae masaa 24 ili uione tena the same point.
 
Mkuu, mfano wako wa magari mawili barabarani nimeupenda ila sidhani kama utakuwa sawa hapa ,kwa sababu rahisi ya kifizikia..
ngoja niuchambue.. Magari yako barabarani yanakwenda upande mmoja (Parallel), lakini Dunia na Artemis zina mienendo miwili tofauti.
  • Dunia inajizungusha (Rotation) Dunia inazunguka kwenye mhimili wake kwa kasi ya km 1,600/hr. Huu ni mwendo wa duara (circular motion).
  • Chombo kinasafiri (Trajectory) ila Artemis II haipo barabarani; inasafiri kuelekea Mwezini kwa kasi ya zaidi ya km 5,000/hr mpaka km 30,000/hr ya Escape velocity. Huu ni mwendo wa kwenda mbele (linear motion).
Hoja yangu ni hii Ili video ionyeshe gari lako halitembei (stationary), ni lazima mimi na wewe tuwe na kasi sawa na tuelekee upande mmoja.

Sasa, inawezekanaje Dunia inayojizungusha (Spinning) na chombo kinachokwenda mbele kwa kasi ya ajabu kuelekea Mwezini (Projected motion) vikaonekana vimegandana upande mmoja wa Bara la Afrika kwa saa kadhaa?
  • Je, Artemis nayo inajizungusha angani kwa kufuata mzunguko wa Afrika kwa kasi ileile ya km 1,600/hr?
  • Kama chombo kinazidi kwenda mbali, 'angle' ya kamera lazima ibadilike na kuonyesha sehemu nyingine ya Dunia.
Kwenye mfano wako wa magari, ukipunguza spidi kidogo tu au ukichepuka, sura ya gari langu itabadilika kwenye kamera yako. Kwenye video ya NASA, Zero Motion (mwendo sifuri) inaonyesha kuwa hakuna mzunguko unaofanyika kwenye hiyo sayari, au picha tunayopewa ni 'Static Image' (picha iliyoganda) ambayo haina uhusiano na mwendo wa chombo."

Kingine Kumbuka, hata kama magari yanakwenda spidi sawa, mazingira ya nje (miti, milima, barabara) yataonekana yakipita kwa kasi. Kwenye video ya NASA, mazingira ya nje ya Dunia (nyota au anga) hayabadiliki, na mazingira ya ndani ya Dunia (mawingu na mabara) hayabadiliki.
Ili kujua hili inabidi tujue pia na uwezo wa hiyo kamera na jinsi inavyofanya kazi, na zoom yake inaathiriwa vipi na mwendo wa dunia na chombo kwenye orbit
 
Back
Top Bottom