katibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Katibu wa CWT adai ana Mkataba wa Ajira ya Kudumu katika Chama cha Walimu Tanzania

    Kufuatia taarifa ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke iliyotolewa na Mkurugenzi Elihuruma Mabelya ikielezea kuhusu Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), kumsimamisha kazi Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Mwalimu Japhet Maganga, ambaye alikuwa ni mwalimu wa Shule ya...
  2. A

    Mwenyekiti wa CCM naomba unipendekeze kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa

    Astrid.
  3. Nimesikia Chongolo amejiuzulu. Katibu Mkuu mpya ni nani?

    Baada ya kukosa thread nzuri ya kusoma,nimeamua kuandika thread yangu. Kwa hiyo Katibu Mkuu mpya ameshachaguliwa au bado mtutano unaendelea? Nampongeza Rais Samia kwa jinsi alivyoweza kuleta amani katika nchi. Naona mabadiliko yanaendelea ndani ya CCM. Jana nimepita Mererani nimekiona Kijiji...
  4. Kitendo cha Katibu Mkuu kujiuzulu udhaifu upo kwa Mwenyekiti

    Kwa uchache Sana, Hii si Hali ya kawaida mwenyekiti jitathmini kama unafaa kuwatumikia Watanzania au haufai. Kwangu Mimi haufai. Fikiria tu huyu ni katibu mkuu wa chama kaandamwa na skendo za namna hii Hadi anaamua kuachia ngazi. Vipi kuhusu mawaziri na watendaji wengine wenye mamlaka ya...
  5. Katibu Mkuu CCM kukaimiwa na Naibu Katibu Mkuu Bara, Anamringi Macha. Ni bada ya Chongolo kujiuzulu

    Tumepokea barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wetu, Ndugu Daniel Chongolo. Tumeridhia. Tunafanya uchunguzi na jambo hili linaweza likachukua muda kukamilika, kwa sababu hiyo Naibu Katibu Mkuu (Tanzania Bara) utakaimu hadi hapo taarifa ya uchunguzi itakapokamilika. (Haya ni maneno ya...
  6. Eti Nchimbi anaweza kuwa Katibu wa CCM? Tumkumbuke Ipyana Malecela

    Kwa wale wahenga watanielewa. Kwamba kuna watu walistahili wapotee kabisa ktk siasa za TZ kutokana na tabia zao na hata tuhuma walizonazo. Mmojawapo ni huyu Nchimbi. Akiwa Umoja wa Vijana, alikuwa mtu hovyo. Akawa Mkuu wa wilaya akapoa kidogo maana wilaya yenyewe, Bunda, siyo ya mzaha Akawa...
  7. Hatma ya Katibu Mkuu CCM kujulikana leo

    Barua inayodaiwa kuandikwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, kuhusu kujiuzulu wadhifa huo, ni miongoni mwa mambo yanayojadiliwa katika kikao cha Kamati Kuu (CC) ya chama hicho leo. Katika kikao hicho kinachofanyika Ikulu ya Dar es Salaam, Chongolo ni miongoni mwa...
  8. Emmanuel Nchimbi anafaa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, anaweza kujenga chama, kudhibiti nidhamu ya chama, akiwemo yule bwana mdogo

    Emmanuel Nchimbi ni mwanasiasa anayemudu mapambano, anayejua historia ya chama na misingi yake. Kwa kujenga chama na kuondoa makundi, ni yeye pekee ndiye ana uwezo mkubwa wa kuishika vilivyo nafasi hiyo. Ni fundi wa mikakati, na Siasa za saiti, hata ikibidi Siasa za mapambano. Namshauri SSH...
  9. K

    Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

    Taarifa zilizotufikia usiku huu ni kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amejiuzulu nafasi yake hiyo. Vyanzo vyetu vilivyo karibu na CCM vimethibitisha kuwa tayari Chongolo amewasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan...
  10. Tabora: Mbunge Jacqueline Kainja katika Mapokezi ya Katibu Mkuu UWT Taifa Ndg. Jokate Mwegelo

    Jacqueline Kainja Andrew, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora katika Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Ndugu Jokate Urban Mwegelo katika Mkoa wa Tabora Wilaya ya Igunga. Pamoja na mwaliko aliopewa na Kanisa Katoliki kuwa Mgeni Rasmi kwenye Kongamano...
  11. S

    Ni yapi majukumu au kazi ya Katibu Mkuu Utumishi?

    Habarini, Hivi ni yapi majukumu ya katibu mkuu utumishi nijuzeni au Kama Kuna PDF ya majukumu hayo nipeni link
  12. Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

    Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika Damu ya mtu ni nzito bana.
  13. S

    Majukumu ya katibu mkuu utumishi

    Habarini, Hivi ni yapi majukumu ya katibu mkuu utumishi nijuzeni au Kama Kuna PDF ya majukumu hayo nipeni link
  14. Kinachonishangaza kwa Katibu Mwenezi na Itikadi CCM Makonda ni kuona leo hii akipinga mabaya aliyowahi kuyafanya

    1. Dharau 2. Uonevu 3. Ubabe 4. Uwizi/ Ufisadi 5. Dhuluma 6. Rushwa 7. Uwongo/ Kudanganya Haya GENTAMYCINE niwatakieni tu Kila la Kheri wale wote wenye Ubongo mfupi na hafifu wanaomuamini na kumsifu sasa wakati kwa Rekodi zake za kimatukio Kipindi chake yuko Madarakani/ Serikalini angekuwa...
  15. Katibu Mkuu CCM Chongolo hala hala baba, Makonda anakuja vibaya!

    Siyo siri ujio wa Makonda ndani ya CCM umekuwa na matokeo chanya. Hapa mama Samia alilamba dume ka karata. Tatizo ni Chongolo, anaonekana kutokomea into oblivion. Makonda anapiga chenga hata za mwili kisiasa. Katibu Mkuu changamka! ==== Pia soma: Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Daniel Chongolo...
  16. Mara pap Bashiru kateuliwa awe Katibu Mkuu wa Chama cha CCM

    Mara pap Bashiru kateuliwa awe Katibu Mkuu wa Chama cha CCM. Alafu Lukuvi arejeshwe Wizara ya Ardhi akakomeshe uporaji wa viwanja uliokithiri. Polepole aende Tamisemi kisha Mchengerwa awe Nishati na Kabudi Katiba na Sheria. Mpina Waziri Mkuu Alaf Bashe Kilimo hapo hapo alipo. GAME OVER.
  17. Katibu Mwenezi Paul Makonda anaelekea Buseresere Muda huu alakiwa na maelfu ya vijana

    📌📌 KISHINDO CHA MAKONDA KATORO NA BUSERESERE - GEITA Maelfu ya Wananchi wa Katoro na Buseresere Wamejitokeza kwa Wingi Kumpokea Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu Paul Makonda wakati akipita na Msafara wake akitokea Chato Kuelekea Geita Mjini Kwenye Mkutano wa Hadhara Leo Tarehe 11...
  18. S

    Ni kipengele gani kinamruhusu Katibu Utumishi kumwamuru PSRS kushughulikia suala la ajira ya mtu?

    Ni kipengele gani kati ya vifuatavyo kinamruhusu katibu utumishi kumwamuru PSRS kushughulikia suala la ajira la mtu? Ni kipengele kipi
  19. Rais Samia afanya Mazungumzo na Katibu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa Anayeshughulikia Masuala ya Kibinadamu na Naibu Mratibu wa Huduma za Dharura

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Katibu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia Masuala ya Kibinadamu na Naibu Mratibu wa Huduma za Dharura Bi. Joyce Msuya, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 6 Novemba, 2023.
  20. Katibu wa CCM Wilaya ya Hai, Kilimanjaro unaonekana Ofisi Za chama fulani cha upinzani Kilikoni?

    CCm iwe macho na makini sana na Katibu wake wa CCM Wilaya ya Hai. Huyu Katibu anakaa ofisini kila siku jumapili hadi jumamosi. Cha ajabu mchana anahudumia Wanachama wa CCM ikifika usiku anahudumia wanachama wa chama fulani cha upinzani ndani ya Ofisi ya CCM. Cha kushangaza zaidi leo jumapili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…