Na Eleuteri Mangi, WUSM Dar es Salaam
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw Saidi Yakubu ametoa tuzo UNI AWARDS na kusisitiza kuwa Serikali inashirikiana na taasisi za kifedha za benki ya CRDB na NBC na wafadhili wengine ndani na nje ya nchi kupitia Mfuko wa Utamaduni na Sanaa...