katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. Siri ya kibaiolojia katika mwili wa mwanamke ambayo wengi hawaifahamu

    Katika mwili wa mwanamke kuna hormones ambazo haumsaidia katika kuujenga mwili wake na kumfanya kuwa mwanamke imara kibaiolojia. Kuna kitu kipo very common kati ya binti bikra ambaye hajaingiliwa kabisa na mwanaume, House girl ambaye anaweza kukaa hata miaka 3 akiwa kazini bila kufanya...
  2. Mchango wa Tabora Katika Kupigania Uhuru wa Tanganyika (1945 - 1961)

    MHADHARA: MCHANGO WA TABORA KATIKA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA (1945 - 1961) Niko Tabora toka jana usiku. Mwaliko wa Wazee wa CCM Tabora Kuadhimisha Kuzaliwa kwa CCM tarehe 5 February 1977. Nimealikwa kuzungumza mchango wa Tabora katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Mhadhara unafanyika...
  3. Je ni sahihi kwa mtuhumiwa kupigwa Picha na kuwekwa katika mitandao?

    Ikumbukwe kuwa huyu mshtakiwa tu (mtuhumiwa Maana yake anaweza akawa amefanya makosa kweli au Lah, wenye maamuzi ya mwisho huwa ni Mahakama. Nimeona katika mitandao mbalimbali mtuhumiwa kuwekwa picha na tuhuma yake, mfano ya kubaka kuku. Kumbukeni huu ni uzalilishaji. Leo hii mimi...
  4. L

    Tanzania Tumepoteza Wanajeshi Wawili Nchini Congo Katika Mapambano na M23

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa masikitiko makubwa na uchungu mkubwa taarifa zinadai kuwa tumepoteza mashujaa wetu wawili wa JWTZ waliokuwa wakilinda amani Nchini Congo. Vifo hivyo vimetokea kutokana na mashambulizi yaliyofanywa na M23. Tutawajibu kikomandoo na watajuta . askari wetu wamekufa...
  5. A

    Je Serikali imabariki Dar es Salaam Secondary kufukuza au kuhamisha wanafunzi wanaopata daraja la IV katika mitihani ya ndani?

    Naomba mamlaka zinazoshughulika na elimu kuanzia Afisa elimu jiji LA Dar es salaam, Afisa elimu mkoa wa Dar es salaam na Waziri wa elimu, mtupatie majibu sahihi ya hiki kinachofanyika Dar es salaam secondary na baadhi ya shule za serikali kama Pugu secondary na kwa shule za msingi kinatokea kwa...
  6. Athari za Mfumo wa Kichama kwa Idara za Usalama na Ulinzi Kabla na Baada ya Uhuru

    Kutoana na kutoka ukoloni mpaka kuwa watawala kuna utofauti kati ya idara za usalama na ulinzi kabla na baada ya uhuru, hasa katika muktadha wa Afrika na mataifa mengine yaliyojitawala kutoka kwa wakoloni. Kabla ya uhuru, idara za usalama na ulinzi mara nyingi zilikuwa zikitumika kama vyombo...
  7. Jamii ya kinafiki? Kuadhimisha Watu Wenye maadili Mabaya Katika Jamii Yetu.

    Katika dunia ya leo, tunashuhudia hali ya kushangaza sana ambapo watu wanaofanya maovu wanaheshimiwa na kutukuzwa, na wakati mwingine kuwa mfano wa kuigwa, watu ambao maisha na mienendo yao sio yenye staha katika maisha ya kawaida. Hali hii inanifanya nijiulize: Kuna jamii ina haki ipi katika...
  8. Wakuu nilisema simtoi out nibane matumizi Sasa katika nguvu zote zimeisha

    😂😂😂nikija kulia mnipokee wakuu huenda nimepigwa dawa Safari Longoni beach
  9. Kila la heri Simba katika mchezo wa Leo, na hakika mtashinda

    Hii mtaani tusema "Utaoga lakini mjini huendi" Yaani Simba atashinda dhidi ya shoga aje Tabora United ila ubingwa atausilikizia redioni Yanga mkakatu wetu ni kuwafanya mfurahi kipindi hiki ili muache lawama Kwa uwekezaji wa GSM na pia mmuache Mangungu na Mo wale keki Yao hapo Msimbazi Tuna...
  10. Uzingativu wa jinsia: Mfumo dume bado kikwazo katika mitandao ya kijamii

    UZINGATIVU WA JINSIA: MFUMO DUME BADO KIKWAZO KATIKA MITANDAO YA KIJAMII Utamaduni wa mfumo dume katika jamii umeelezwa ni mojawapo ya sababu za kutozingatia uandishi wa masuala ya kijinsia katika kuripoti habari wakati huu ambao idadi kubwa ya vijana nchini Tanzania wakitumia mitandao ya...
  11. Namna Ya Kuimarisha Mapenzi Katika Urafiki Wa Kawaida

    Hapa nazungumzia kuimarisha mapenzi katika mahusiano ya kawaida au kwa namna nyingine mahusiano ambayo sio ya kimapenzi Kwanza ni kuonyesha unavutiwa na mambo ya rafiki zako au watu ambao huwa mnakuwa pamoja,nikwambie kitu expert? Hakuna watu ambao hawapendi kujua kwamba upo interested na...
  12. B

    Walipa Kodi Mkoa wa Kikodi kupata huduma katika Majengo ya Diamond Plaza na Mariam Tower

  13. Jicho la tatu ni chakra ya sita kati ya chakra saba katika mwili wa binadamu

    Jicho la tatu ni chakra ya sita kati ya chakra saba katika mwili wa binadamu Ukiweza kufika kituo hiki cha Nishati basi utakuwa na uwezo mkubwa wa kiroho na kupata maono na utambuzi wa mambo mbalimbali Kujifunza zaidi namna ya kufungua vituo hivi vya Nishati basi kalibu sana.
  14. Kizazi cha dhahabu cha watawala nguli katika geopolitics na diplomasia ukanda wa SADC na Africa Mashariki kimefifia sana

    Ukanda wa SADC na Africa Mashariki umewahi kuwa na watawala nguli sana wa geopolitics na diplomasia mwaka 2015 kurudi nyuma. Nyerere, Mandela, Thabo Mbeki, Mkapa, Chisano na Kikwete ambaye ni kama alifunga ukurasa huu walikuwa wanaweza hata kuitisha kikao cha pande zinazogombana, zinazopigana...
  15. Kwanini enzi na enzi wanyama hawa wamekuwa wakihusishwa na allegedly kushirikishwa katika uchawi/ushirikina.

    FISI MAMBA (Maeneo ya Ukerewe) BUNDI NYOKA PAKA NYUKI PANYA Ni siri gani hio ya kiroho inayounganisha viumbe hawa katika utekelezaji wa uchawi au ni stori tu za vijiwe vya gahawa?
  16. Asikudanganye mtu! Rafiki wa kweli katika dunia hii ni hela (pesa/money)!

    Ukipata hela umepata vyote! Ukikosa hela umekosa vyote! Kosa vyote lakini kamwe usikose njia za kupata hela na kuimudu hiyo hela ikae na wewe! Akili kubwa kuliko zote ni jinsi ya kuipata hiyo hela na kuifanya ikae na wewe. Ukishinda huu mtihani basi kila kitu utakachokitaka katika dunia hii...
  17. Kila unaloliona katika utawala wa Rais Samia ni matokeo ya utawala wa Rais Magufuli

    Mimi si muumini wa siasa za CCM, nilichukizwa zaidi na CCM ya Magufuli kuliko utawala wowote ule. •Mambo ya watu kuishi kwa kutegemea uchawa Tanzania tulikuwa hatuyajui lakini kwenye utawala wa Magufuli ndipo uchawa ulipokuwa ajira rasmi. Kulikuwa na watu wao kazi yao asubuhi mpaka usiku ni...
  18. Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mubarak Batenga, amefanya ziara katika vijiji vya Matondo na Itumbi na kugundua changamoto kubwa zinazokabili wananchi

    Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mubarak Batenga, amefanya ziara katika vijiji vya Matondo na Itumbi na kugundua changamoto kubwa zinazokabili jamii katika maeneo haya. Katika ziara hiyo, alikuta hali ya ukosefu wa maji safi na salama, jambo ambalo ni muhimu kwa afya na ustawi wa wananchi. Maji ni...
  19. W

    Huruma Katika Vita: Msaada wa Rwanda kwa Wanajeshi wa Kongo

    Wanajeshi wa Rwanda wanawahudumia wanajeshi wa Kongo wanaokimbilia Rwanda, ambao ni majeruhi wa vita. Jana, walipewa chakula, maji, na juisi. Licha ya yote, hawaonyeshi hasira wala kinyongo kwa kile ambacho serikali yao imewaambia. Rwandan soldiers are treating Congolese soldiers fleeing to...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…