Kwenye haya maisha hakuna namna kazi zako zote wewe mwenyewe kuzifanya ,soo unahitaji wasaidizi, nimesoma trend ya wafanyakazi wangu aisee kama hakuibii lazima awe ni mvivu, nimeajri sasa nimechoka nimeanza kuajiri watu wasio watanzania ndio at least naona mambo yanaenda japo kwa tabu
Nikiri tu huyu sijui ni dada au mama anayeitwa Hamisa Mobetto nimemsikia muda mrefu sana ila sijawahi kujua anafanya shughuli/kazi hasa iliyompatia umaarufu mkubwa hivyo.
Binafsi sijui vita vya Ukraine itaisha lini, lakini naimani Kwamba Ile vita siku ikiisha tu, kutakuwa na ujenzi mkubwa sana wa miundombinu chini ya ufadhili wa nchi washirika wa Ukraine, ambao ni USA na mataifa ya EU, hivyo manpower kubwa sana itahijika na kazi zitakuwa nyingi sana za ujenzi...
Karibu kwenye mada hii maalum kwa wapenzi wa teknolojia na ubunifu! 🌟 Katika zama hizi za akili bandia (AI), tunaweza kutengeneza picha za kuvutia kwa kutumia teknolojia ya AI.
Katika mjadala huu, tunakaribisha:
✅ Kushiriki picha/video zilizotengenezwa na AI.
✅ Kujadili uwezo wa AI katika...
Wakuu.
Mimi ni mmoja ya watu ambao huwa nafanyia Kazi zangu ndani.
Mimi Kazi zangu ni za masoko kununua na kuuza.
Hivyo huwa natafuta wateja wa bidhaa kipitia online .
So Mimi kwa siku naweza kuigiza wastani wa 100K sawa na mil 3 kwa mwezi.
So Kutokana na jamii kuwa na mtazamo tofauti...
Katika uhalisia mfumo wa kiutawala unachangia kusiwe na uwajibikaji kwa watumishi wa umma nina uwakika kuna zaidi ya aslimia 99% za watumishi wa umma kuwa hawafanyi kazi zinaweza kuzidi hizi aslimia 40% nilizo zisikia.
Kutokuwa huku na uwajibikaji kwa watumishi hao kunaweza kuchangiwa na...
Wakuu katika Kazi ambazo zinalipa ni pamoja na udalali.
Hii inakuhitaji uwe at least unajua kiingereza , mwandiko mzuri na kuwa na ushawishi wa kuongea vyema.
Kiufupi njia ambazo natumia kufanya hii biashara ni kuwa na smartphone nzuri , laptop kali .
Kisha naaanza kutangaza bidhaa mbalimbali...
Katika miaka ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa kikichukua wanafunzi wanaofanya vizuri kitaaluma wahitimu kubaki kusaidia shughuli za kitaaluma (TAs).
Cha kusikitisha vijana Hawa Chuo huwatekeza bila mikataba wala malipo. Kwa mfano, vijana wengi waliohitimu mwaka 2024 na...
Malipo ya kazi ya caregiver hutofautiana kulingana na mambo kadhaa, kama vile:
1. Mahali pa kazi: Malipo yanaweza kutofautiana kulingana na nchi, mji, au eneo la kazi. Kwa mfano, malipo ya caregiver katika miji mikubwa au nchi zinazoendelea kwa kiasi kikubwa yanaweza kuwa makubwa zaidi kuliko...
Kwa manew comers wabongo wapya wapambanaji.
Kazi rahisi kupata nchini Marekani mara nyingi ni kazi za kuingizio (entry-level) ambazo hazihitaji ujuzi maalum au uzoefu mrefu. Hapa ni baadhi ya kazi rahisi kupata:
1. Mhudumu wa Meza (Waiter/Waitress): Kazi ya kuhudumia wateja kwenye migahawa na...
Ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 na elimu ya kidato cha sita. Nilichaguliwa kusoma chuo cha IFM kampasi ya Dar es Salaam. Mwaka jana nilisitisha masomo baada ya kupungukiwa na ada. Ninatafuta kazi yoyote na ninaishi Kigamboni, Dar es Salaam.
Niko tayari kufanya kazi kwa...
Habari ndugu zangu wa Jammi Forum, mimi ni kijana wa miaka 29, mwenye uzoefu wa kusimamia watu na tasisii kwa miaka 7, saizi sina kazi, naomba kazi yoyote ndani ya mkoa wa Mbeya, kazi yoyote nipo tayari. Asante.
Kuna utafiti usio rasmi ambao nimeufanya ila sijauchapisha kwenye jarida lolote,nimegundua wanawake wanaofanya kazi office hizi wana maringo sana na dharau.
1.Crdb branch zote nchini
2.Nssf hasa kinondoni branch
3.psssf nchi nzima
4.Ilala city council
5.Dodoma city council
6.Exim bank
7.USAID...
Unakuta mdada anakuonyesha dalili zote kuwa yupo interested nawewe, sasa ukisema uanze kumzingatia ana step back , anaanza kukupotezea na hatimaye inarudi kama zamani, hii imekaaje wakuu
Wakuu mimi niko Mamlaka ya maji nawafikiria sana TRA, TBS, eGA, TCRA na TANAPA ni ICT afisa, nataka nipambanie uhamisho kwenye hizi taasisi ni ICT afficer II-SOFTWARE DEVELOPER(WEB) hii taasisi haifanyi software development kabsa zote zinafanywa na eGA, naomba msaada wa kiufundi watalam ili...
Habari Wakuu, Kiwanda Kipo Dodoma cha Alizeti kinahitaji wafanyakazi wa ndani ya Kiwanda wenye kujua ku operates Machine mbalimbali.
1. Boiler Operator
2. Refinery Operator
3. Oil Crusher Operators
4. Oil Packaging
4. Forklift Operator
Kama una uzoefu kwenye moja ya eneo hilo naomba tuma CV...
Wakuu habari .
Mimi ni kijana wa kiume
Umri miaka 24
Kwa sasa naishi Tanga (Lushoto)
Nipo hapa kuomba nafasi ya Kazi au ajira katika maeneo yafuatayo.
Elimu yangu ni shahada ya elimu kufundisha kiswahili na kiingereza.
Hivyo natafuta Kazi zifuatazo.
Kufundisha Kama Mwalimu kuanzia primary...
Kama hujaanza ujenzi hasa wa nyumba yako ya kwanza ya kuishi jitahidi sana upate elimu ya kutosha kwenye
Ununuzi wa ardhi/kiwanja
Mafundi wa kila idara
Makisio ya vifaa, ufundi
Muda sahihi wa kuanza ujenzi
Nini cha kuanza kufanya nknk
Fanya utafiti wa kutosha.. Pata makisio ya ujenzi kwa kila...
Mfalme Abdullah wa Jordan na Mwanawe Wamtembelea Trump Ikulu
Mfalme Abdullah wa Jordan na mwanawe wametembelea Ikulu ya White House kwa mazungumzo na Rais wa Marekani, Donald Trump. Mkutano huo uliangazia juhudi zinazoendelea za kubadilisha mwelekeo wa Mashariki ya Kati, hasa kuhusu uhamishaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.