kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Quimica

    Dr.Ndugulile angelitakiwa kuanza kazi leo

    Moment of Silence katika Mkutano wa 156 wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kumkumbuka Mkurugenzi Mkuu Mteule wa WHO AFRICA, Marehemu Dkt. Faustine Engelbert Ndugulile. Leo ni siku ya kihistoria, ambapo kama Dkt. Faustine angekuwa hai, angelipitishwa rasmi na kuanza majukumu yake kama Mkurugenzi...
  2. SubTopic

    Je, naweza funga LnB ya dstv kwenye kisimbuzi Cha Azam ama LnB ya Azam kwenye kisimbuzi Cha dstv na ikafanya kazi?

    Je, naweza funga LnB ya dstv kwenye kisimbuzi Cha Azam ama LnB ya Azam kwenye kisimbuzi Cha dstv na ikafanya kazi?
  3. pantheraleo

    Dodoma: NEMC Kanda ya kati, kufanyia kazi Malalamiko kuhusu athari za sauti. Imekagua na kutembelea miradi 603 ya uwekezaji

    Dodoma: BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Kanda ya Kati kwa kipindi cha Julai, 2024 hadi Januari, 2025, limekagua na kutembelea miradi 603 ya uwekezaji katika Mikoa ya Dodoma, Iringa na Singida ikiwa ni asilimia 75 ya makadirio kwa mwaka 2024/25. Kaimu Meneja wa NEMC...
  4. oooza

    Ushauri: Niendelee kubaki Private institution au niende nikafanye kazi ya mtu binafsi

    Habarini wana jamvi. Kutokana na vijana wengi waliopata nafasi za kuajiriwa kwa mikataba ya muda maalum katika mashirika binafsi hujikuta kuendelea kuomba nafasi sehemu zingine huku wakiwa bado wapo katika mikataba yao ya awali. Binafsi nimejikuta nimesomea fani ya Ujenzi nikiwa chuo as a...
  5. Sumu ya nyigu

    Kuhama kituo Cha kazi

    Naomba msaada wa maelekezo jinsi ya kuanzisha mchakato wa kuhama kituo Cha kazi na changamoto zake kwenye mchakato. Ahsante
  6. Mikopo Consultant

    Nawatia moyo JWTZ, kifo ni matokeo yasiyokwepeka kwenye kazi yao; wakiua mmoja, ongeza Battallion moja

    Huo ni mchezo maarufu sana unaojulikana kama Chess. Ni mchezo ambao ukizoea kuucheza sana, utaitengeneza akili yako kuwa mtu wa mikakati zaidi kwa wakati wote. Kuna mafunzo mengi sana unaweza kujifunza kwenye mchezo wa chess, mojawapo ikiwa ni 'sacrifice' and 'trade off'; ili ushinde mchezo...
  7. kwisha

    Canada yakataa kusalimu amri kwa Rais Trump kuhusu ushuru wa 25%

    Rais wa Marekani, Donald Trump, alitangaza kuwa anapanga kuweka ushuru wa 25% kwa bidhaa kutoka Canada na Mexico, pamoja na ushuru wa 10% kwa bidhaa kutoka China. Trump alieleza kuwa hatua hii inafanywa kama njia ya kulinda mipaka ya Marekani dhidi ya uhamiaji haramu na madawa ya kulevya ambayo...
  8. Abraham Lincolnn

    Kama waziri hapati nafasi kuonana na boss wake unaweza kupata picha nia,dhamira na utendaji kazi wa ufalme huu

    Kiongozi yeyote ambaye sio humble, anayejitengenezea ufalme, asiyejishusha kwa watendaji wake wakuu katika serikali yake, hafai hata kidogo! Atajikweza na kujiweka mbali na wananchi wake, Kamwe hatoweza kujishusha isipokuwa wakati wa uchaguzi. Kiongozi anayejisikia, kujiona, kujipa uthamani...
  9. mr mtenya

    Kazi ya udereva(V.I.P grade ||)

    Natafuta kazi ya udereva Dar es Salaam, dereva mzoefu, mtanashati mwenye vyeti vyote vya udereva
  10. Lord denning

    Rais wa Burundi katoa onyo ambalo tumeshalitoa mara nyingi humu. Kazi kwenu wenye mamlaka

    Tumeshaandika nyuzi nyingi sana humu. Sasa kaongea Rais wa Burundi. Nawakumbusha tu. Mkifanya nao mazungumzo kuhusu Goma na wakafanikiwa kituo kinachofuata ni Kagera na wakulianzisha ni Muhoozi K.
  11. Eli Cohen

    Tangu nikute mabinti wamekaa wanashauriana namna ya kujimilikisha mali za michepuko yao ilinifanya niheshimu kazi ya mikono yangu na wanao-istahili

    Sawa mnitukane sina hela. Vibinti tu ya 20+ yrs. Mmoja akawa anampa mfano wa jinsi nyumba aliyekuwa amewekwa rafiki yake na bwana yake (mme wa mtu) alitoka kapa bila ya kupata kitu baada ya huyo mwamba kufariki. So akawa anamwambia kila kitu anachokupa kiwe katika jina lako kisheria pia...
  12. Azoge Ze Blind Baga

    Kwenye connection ya kazi ya delivery agent kwa kampuni za mwanza anishtue au kazi yoyote ndani ya Mwanza

    Wakuu habari ya jumapili Kwa heshima na tahadhima naomba kwenye connection ya kazi ya kufanya delivery ya mizigo kwa kampuni zilizopo Mwanza anishtue au kama kuna kazi yoyote halali mnipe jamani Hali mbaya kitaa Nina leseni ya udereva ninaweza kuendesha gari na pikipiki na nina ufahamu wa...
  13. M

    Kazi za tender za halmashauri miradi ya serikal mashule,zahanati

    Habar wakuu nataka kusajili company niwe naomba tender za kusuply material katika miradi ya hamashauri mashule,zahanati..vip wakuu Kuna ukiritimba wowote wakupata au ndo Hadi uwe na connection na afsa manunuzi,na vip katika malipo Naskia Kuna mfumo mpya wa nest wanadai kuwa hauna urasimu kupata...
  14. Jackson QUECA

    Naomba kazi au connection za kazi

    Wakuu habari za majukumu ya hapa na pale.Naomba kama Kuna mwenye kazi au connection za kazi,mahali popote professional nimesoma ualimu,“Diploma for secondary education ”masomo ya phizikia,pamoja biologia.Pia ambazo siyo professional Kama —⟩Ufugaji wa kuku aina ya broiler. —⟩kilimo Cha bustani...
  15. stabilityman

    Kazi gani haina changamoto tuje tufanye kwa pamoja

    Wakuu tupeane michongo Kazi gani haina changamoto tuje tufanye kwa pamoja
  16. Waufukweni

    Rais Samia aagiza Waziri wa Biashara kudhibiti Wageni kufanya biashara za Machinga, ahoji vijana wetu watafanya kazi gani?

    Rais Samia, amesema haiwezekani wageni kuingia nchini na kufanya biashara za machinga, huku akieleza kuwa vijana wetu (Kitanzania) watafanya nini? na kuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo kuhakikisha suala hilo linasimamiwa ipasavyo ili kulinda fursa za ajira kwa wananchi wa...
  17. Kidagaa kimemwozea

    Nguvu kazi ya Tanzania ni Milioni 25

    Watu wengi hawafuatilii takwimu na hawa ndio wanapiga kelele kuwa Tanzania sii nchi maskini inayohitaji misaada na mikopo. Je unajua kati ya watanzania Milion 65, ni watanzania milion 25.7 pekee ndio wenye uwezo wa kufanya kazi ya kujiingizia kipato? Nikiwa na maana hao wengine wanaobaki...
  18. Miss Natafutwa

    Miss Natafutwa nimeshapata Kazi, Asanteni wote mlionipambania ❤️❤️❤️

    Ila watu wa humu, aiseeee🙌🙌🙌🙌 Anyway, turejee uzi wangu huu https://www.jamiiforums.com/threads/ninapitia-msongo-mkali-wa-mawazo-baada-ya-kusimamishwa-kazi-kisa-vyeti-feki-naomba-ushauri-niweze-kujikwamua.2296429/ Kiufupi wengi walikuwa pamoja nami katika kipindi kifupi kilichopita cha msoto wa...
  19. Binadamu Mtakatifu

    Tangazo la ajira: Graphic designer & digital marketer

    Tunatafuta mtaalamu mwenye ujuzi katika Graphic Design na Digital Marketing kwa ajili ya kujiunga na timu yetu. Mtu anayefaa kwa nafasi hii anatakiwa kuwa mbunifu, mwenye uelewa mzuri wa masoko ya kidijitali, na uwezo wa kuandaa maudhui yanayovutia. Majukumu: Kubuni na kutengeneza nyenzo za...
  20. Teko Modise

    Maafisa waliomfungulia kesi Trump wafutwa kazi

    Huko Marekani hakupoi wala hakuboi. Trump kila kukicha anakuja na jipya. Wizara ya Sheria ya Marekani imewafukuza kazi zaidi ya maafisa muhimu kumi na mbili waliokuwa wakifanya kazi katika timu ya Mwendesha Mashtaka Maalum Jack Smith, iliyokuwa ikimshitaki Rais Donald Trump. Uamuzi huo...
Back
Top Bottom