Nipo hapa kuomba fursa ya ajira au connection ya Kazi hasa kuhusu kitengo cha mazingira, Afya na usalama mahara pa kazi
Kuhusu Mimi
Mimi ni : ME
Umri : 26
Elimu : Degree of Geography and Environmental studies, na OSHA (NOSHC 1)
Napatikana : Morogoro
Sifa zangu...
https://www.instagram.com/p/DFScSN8C6Ko/?igsh=dmNjZ21lb2tscnJj
Wangesema tu kusiwe na kazi kwa siku 2 kuepusha purukushani. Maana kiuhalisia itakuwa ni mateso tu katika swala zima la usafiri.
Kufuatia Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati utakaofanyika Januari 27 na 28 hapa nchini, Serikali imeelekeza watumishi wa umma katika Mkoa wa Dar es Salaam wafanyie kazi nyumbani isipokuwa watumishi ambao mazingira ya kazi yanawataka kuwepo katika vituo vya...
Kwa sie watu wa pwani ukiona mwanaume mwenzio anakupa asset au kitu cha thamani juana yeyekuna siku atakuja kukuomba kitu.
Yaani mwanaume mwenzio akupe gari ya mamilioni???utaolewa
Sasa bodaboda au Bajaj hawaruhusiwi hata kuonyesha pua mjini maeneo maalumu yaliyotengwa.
Ukipenyapenya kwa ujanja ujanja ukidakwa utajuta kwanini ulizaliwa.
Oyaa tafuteni kazi nyingine.
Kufa kama nzi mnakufa
Bima ya afya hamna
Michango kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii hamna .
Amkeni.
Katika hatua iliyoshangaza wengi, Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa agizo maalum la kuwekwa hadharani kwa taarifa za siri zilizofichwa kwa miongo kadhaa.
Kuhusu mauaji ya Rais John F. Kennedy (JFK), mdogo wake Robert F. Kennedy (RFK), na kiongozi mashuhuri wa haki za binadamu, Martin...
Watanzania wengi hawapendi kujua ukweli. Nadhani hulka hii inatokana na wananchi kufungiwa nchini mwao na hivyo kukosa nafasi ya kuona jinsi nchi zingine zilivyoendelea.
Kuna siku Lema alisema bodaboda sio ajira, watu walikuja juu na kusema kuwa kawakosea watu na ni kama anadharau ajira za...
Mimi ni mgonga ulimbo mwenye matumaini tele wakati wagonga ulimbo wenzangu wakiwa addicted na porn na betting.
Basi mimi niko addicted na page & website za sekretarieti ya ajira maana nina imani nao sana tu baada ya mgonga ulimbo mwenzangu kutoka kule Inyalikungu kulamba shavu kwenye moja ya...
Na Mwandishi Wetu
-Asema Tanzania inaingia kwenye historia nyingine ya kuwa mwenyeji wa Mkutano mkubwa wa Marais wa Afrika
-Atoa taarifa ya kufungwa kwa baadhi ya barabara siku chache ambazo ugeni utakuwa katika Mkoa huo
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Januari 25, 2025...
Sitaki salamu, naingia kwenye mada moja kwa moja. Wahenga walisema akutukanaye hakuchagulii tusi na asiyekutaka hakuambii toka bali atakutoa kwa visa ovu dhidi yako.
Kabla ya kwenda mbali kwanza naomba ku declare intrerst kuwa mm ni mwanaCCM kindakindaki na juzi nilikuwepo ndani ya ukumbi kule...
Habari mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu UDSM natafuta kazi ya kufundisha majumbani (tuition), kuanzia shule ya msingi mpaka kidato cha sita masomo ni English, kiswahili na History kwa mawasiliano zaidi 0785935414, ahsante.
Wanahitajika walimu wa masomo yafuatayo;
1. BOOK-KEEPING/ ACCOUNTANCY na COMMERCE - ngazi ya shahada ( Awe amesoma ualimu au Course za uchumi na Account Lakini mahiri wa kufundisha
2. PHYSICS-MATHEMATICS
awe amesomea ualimu au shahada ya Engineering na mwenye uwezo wa kufundisha masomo hayo...
Kazi ya kusafisha mazingira
Huu ni Mradi maalum kwa ajili ya kampeni ya USAFI WA MAZINGIRA & AFYA YA JAMII
Mshahara ni lak 3 kwa mwezi ukifikia lengo la kampuni
Kazi inahitaji mtu mwenye bidii na kujituma 0718408733 hii namba ni Whatsapp tu usipige
Nafasi hizi ni bure kabisa usikae nyumbani...
Binafsi nimpongeze Lema kwa kazi nzuri aliyofanya, najua kapitia mambo mengi katika huu uchaguzi ila kawa imara mpaka ushindi umepatikana .
Viva Tundu lissu, Mungu ibariki CHADEMA
Wadau mwenye Kujua ama kuelewa juu ya binti anayefaa Kwa Kazi Za ndani ama house girl umri 15-25 basi tuwasiliane.
Mahali Ni DAR Ila malipo ama mshahara Ni suala la maafikiano ya Pande mbili
Kwa mawasiliano nicheki Mie 0743699591
Habari ( Salesperson Needed )
NB: Tunaitajii watu 5 kwa ajili ya kutafuta masoko ya bidhaa za umeme
Eneo : Kibamba
Mshahara:: 800,000/= Kwa mwez
Call / Text : 0614502969 Kwa maelezo zaidi
kijana wa miaka 22 pia nnalesen ya udereva class d nimeish form 4 ila nahitaji kazi yoyote kwa sasa ya kujikimu kwa sasa .... natanguliza shukrani zangu za dhati.
Huko Sengal na Gambia kuna tawi la imani ya Kiisalmu lenye umaarafu na ushawaishi mkubwa maeneo hayo linaloitwa "Baye Fall" ambalo lilianza zaidi ya Karne moja iliyopita.
Hawa Waislamu wa Baye Fall walichipukia kutoka kwa sheikh mmoja aitwaye Ibrahima Fall wa mrengo wa Kisufi miaka ya 1880's...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.