kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. RMK Freelance services

    JE, WEWE NI FREELANCER NA HUPATI KAZI FIVERR?TUNAWEZA KUKUSAIDIA KUPATA MTEJA WAKO WA KWANZA FIVVERR!

    Habari, Je, wewe ni freelancer mwenye ujuzi wowote ambae umejisajili na kutumia platform ya fiverr lakini hujapata kazi mpaka leo? Karibu tukusaidie. Competition ni kubwa Fiverr, You need a good Fiverr gig; we are here to help! Tunaweza kukusaidia kwa kukutengenezea a good fiverr gig yenye...
  2. Dear_me_

    Natafuta kazi, Vipimo na viwango wa viwandani, pia Quality assurance na calibration of Measuring instruments

    Habari Member wa Jf Kwa Majina naitwa Deo Mariwa (24 years) nina degree ya vipimo na viwango ( Metrology and Standardization) Ninaomba mwenye connection ya kazi au mwenye kutoa ajira katika category ya manufacturing; Pia nina uzoefu katika field zifuatazo -Calibration of measuring...
  3. Pascal Mayalla

    Zijue Sababu za Kwanini ni Wasira?, He is The Right Man at The Right Time & The Right Place. It Is A Project!, Ikikamilika, Atang'atuka, Kama Kinana!

    Wanabodi, Nami niko hapa Dodoma Jiji kuhudhuria Mkutano Mkuu wa CCM. Rais Samia katupiga bonge la surprise ya mwaka kututeulia Stephen Wasira kuwa M/Mwenyekiti CCM Bara!. Wakati Comred Kinana aking'atuka, aliomba kupumzika, na kutoa sababu ni kupisha vijana, damu changa, damu chemka...
  4. Rorscharch

    Funzo kwa Wazazi: Kumlipia Mwanao Ada English Medium bila juhudi zako binafsi kumchochea kujifunza nyumbani ni kazi bure kwa asilimia kubwa

    Je, mafanikio ya elimu hutegemea ada kubwa ya shule au mshikamano wa familia katika kukuza juhudi binafsi za mtoto? Swali hili linaibuka mara nyingi, hasa tunapojadili tofauti kati ya shule za English Medium na zile za kawaida, maarufu kama Saint Kayumba. Wakati wengi wanaamini ada kubwa na...
  5. Official Metson

    Binti anatafuta kazi ya pharmacy, yupo Dar

    Binti mwenye umri wa miaka 20 Ana Certificate ya Pharmacy ame-postpon mwaka wa tatu wa dimploma anatafuta kazi ya Ufamasia yupo Dar Namba 0781239520
  6. M

    Ni haki DCC kukamata toyo za kuchaji, kuzipiga faini na kulipisha Tsh 50,000 ya maegesho kila mwezi?

    Niaje niaje, lengo la uzi wangu sio kubishana na mamlaka za serikali bali naomba kupata ufafanuzi. Nimelileta hapa jukwaani suala la DCC kukamata vile vitoyo vya kuchaji na kuvipiga faini kwa kupaki mjini na kuvilipisha parking ya tsh 50,000 kwa kila mwezi. Je, ni sawa kulipisha hiyo pesa? Ipo...
  7. chizcom

    Hawa koluna na wahalifu wengine nchi ya congo kwa sheria walizowekewa kuna siku watakimbilia nchi jirani kuendeleza kazi zao.

    Waziri wa sheria wa kongo Constant Mutamba.Kupitisha sheria ya kunyonga na kukamata wahalifu kongo kuna weza kusabisha asilimia kubwa au ndogo wengi wakaenda kufanyia nchi jirani. Ili swala nimekumbuka vikundi vya panya road hapa tanzania baada ya kuzibitiwa na mwisho wa siku vilikimbilia nchi...
  8. Manfried

    Kimodoi (Juston) Unafanya kazi kubwa sana , naomba uje ugombee Ubunge Bukoba Mjini.

    James Kimodoi Njoo uchukue Jimbo Bukoba mjini. Kijana kimodoi kutoka Texas nchini Marekani tunakuomba uje uchukue Jimbo Bukoba mjini . Tunahitaji Kijana Mzalendo na mchapa Kazi na anayejitambua. Wananchi wanakuhitaji wewe tu
  9. LIKUD

    Wanaopinga " New World Order" ni vichaa

    Wanapinga kitu wasicho kijua. Nimefanya utafiti WA Kina kuhusu New World Order . Nimesoma vitabu ishirini kuhusu " New World Order" . Ninasema hivi dunia hii Ina ihitaji New World Order Kuliko unavyo weza kufikiria. Mngejua New World Order mngetamani ianze hata kesho. Mnadanganywa sijui...
  10. Gabeji

    Prof. Mkenda na Mchengerwa mbona hamko serious na kazi zenu?

    Mtaala mpya, Silabus mpya No vitabu shuleni No walimu semina Wakuu wa shule hawaelewi Wanafunzi form one wameripoti mashuleni, walimu hawaelewi cha kufanya, mbona kama hamko serious na elimu ya watanzania ? Kuna haja gani kuanzisha mtaala mpya wakati vitendea Kazi hamjaviandaa, leo ni siku ya...
  11. M

    Ukiwa na hii skills ni ngumu kukosa kazi au michongo .

    Katika skills ambayo watu wengi hawana ni "Communication skills" Asilimia kubwa ya watanzania wanakosa hii skills . Ukiwa hauna uwezo wa kuwasiliana vizuri basi hata hizi Ajira zetu za 300K-500K sio ajabu ukawa unazitafuta Kwa tochi na haupati. Vijana wengi hii kitu imewakosesha Sana fursa...
  12. Nawashukuru Sana

    Binti anatafuta kazi , Elimu yake form four na anajua kutumia computer vizuri sana.

    Habari ya uzima. Yupo binti anatafuta kazi , Elimu yake kidato cha nne, Ila anajua kutumia computer vizuri. Kazi yoyote anaweza kufanya mfano dukani , kwenye taasisi Kama office attendant, n.k Angependa alipwe 200-250K Sifa zake. Umri 24 Mchapaka Kazi Anafundishika. Mtu wa kujituma na kutoa...
  13. L

    Mbowe Akishinda Uenyekiti kazi ya kwanza iwe ni Kumtimua Lissu Chamani ili asiendelee kukivuruga na kukigawa chama

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Mbowe Mwamba na Jabali la Siasa za Upinzani hapa Nchini akipita na kushinda uchaguzi hiyo tarehe 21 mwezi huu .ambapo anatarajiwa kushinda na kupita kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.anapaswa kwa haraka sana na mara moja kumtimua Lissu...
  14. Mwafrika mmoja

    INAUZWA Pikipiki mpya ya kazi unauzwa

    Pikipiki ya kazi na ya uhakika kutoka KINGLION, hii inapita popote na inafanya kazi wakati wowote. Model: 150-9AEngine Capacity: 150ccFuel consumption: 1L/55KM Ukinunua unapata usajili bure, jacket, T-shirt na Helmet 2. Piga simu au WhatsApp: 0683535699
  15. C

    Vijana Wawili kwa ajili ya Kazi ya Ulinzi Dar

    Na uhitaji wa haraka sana wa kijana wa Ulinzi katika ofisi yangu. Vijana wawili watakao kuwa wanaingia kazini saa 3 usiku na kutoka saa 1 asubuhi. Majukumu ni ULINZI wa Mali zinazolala Nnje ziwe salama. Mshahara kwa mmoja ni 150,000 KAma nitapata DEIWAKA wa kulinda kwa siku mbili tatu hizi...
  16. Nyani Ngabu

    Biti la Trump limefanya kazi huko Gaza

    Wiki iliyopita, tarehe 7, Januari 2025, akiwa Mar a Lago, Rais Trump alichimba biti. Alisema kwamba ifikapo tarehe 20 mwezi hao mateka wa Hamas hawajaachiwa, basi huko Mashariki ya Kati patachimbika. Mapema leo/ jana, imetangazwa kuwa Israel na Hamas wamefikia makubaliano ya kusitisha mapigano...
  17. K

    Mwaka 2025 ni mwaka wa kutangaza matokeo ya kazi iliyofanywa na CCM na Rais Samia

    KAZI KUBWA KWA MAENDELEO MAKUBWA. Mwaka 2025 ni mwaka wa kutangaza matokeo ya kazi iliyofanywa na CCM na Rais Samia ambayo ni kubwa sana na itachukua muda mrefu kuielezea lakini hata kipofu anaona kilichofanyika. Kuanzia kwenye ujenzi, ulinzi, usalama, demokrasia hakika kazi kubwa imefanyika...
  18. Mshana Jr

    Madhara jumuishi kuwa na mahusiano sehemu za kazi.. Ofisi moja

    Big up kwa wale wanandoa wote ambao hata kama walikutana ofisi moja lakini wakaamua kujiongeza na mmojawapo kuhama ili kuondoa madhara jumuishi...! Na ni afadhali mkawa wote level moja kuliko mmoja akawa boss ambapo utakapokosea kwenye vikao vya nidhamu na kuwajibishana... Mke/mume wako...
  19. GENTAMYCINE

    Yanga SC walifanyie sana Kazi hili japo wameshajiaminisha kuwa Watamfunga MCA Jumamosi ijayo

    Ukiwa umecheza Mpira au unajua Kuuchambua Mpira au umesomea Ukocha basi nina uhakika wa 100% kuwa utanielewa GENTAMYCINE kwa hili ANGALIZO langu Tukuka kwa Yanga SC kuelekea Mechi yao muhimu na ya Kimaamuzi Jumamosi ijayo. Nawaomba mno Yanga SC hasa Kocha wao Mkuu na Benchi la Ufundi...
  20. Roving Journalist

     DC Busega: Madai ya Mgodi wa Dhahabu kutiririsha maji yenye sumu kwenye mto lilifanyiwa kazi

    Serikali imezungumzia suala la madai ya Wananchi wa Kijiji cha Imalamate katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu kulalamikia changamoto ya Mgodi wa Dhahabu wa EMJ kwamba unamwaga maji yanayodaiwa kuwa na sumu kwenye mto. Mgodi huo ambao unamilikiwa na Mzawa pamoja na raia wa kigeni...
Back
Top Bottom