kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Dalali wa mjini

    Msaada sio lazima lakini ukimpa MTU uhakika wa kupata Kazi basi msaidie.

    Moja Kwa moja kwenye mada. Mkuu wee ni MTU mzima Mwenye familia na watoto kama Mimi pengine umenizidi umri au nimekuzidi umri. Umenipigia simu asubuhi ya Jana tumepanga fresh sana mipango na akuniambia kuna Kazi unataka unipe ambayo itanisogeza kimtindo nikakwambia Mimi nipo fresh kabisa...
  2. Yongpalmuel

    Mtu anayeenda kufanya kazi wilaya ya butiama.

    Habari za mchana? Nilikuwa napenda kufahamu kwa ujumla mazingira ya wilaya ya butiama kwa mtu anayeenda kuanza kazi katika wilaya hiyo. Kwenye upande wa mazingira na tamaduni za huko butiama ? Gharama pia za maisha huko butiama zipoje ? Kama nyumba na vyakula. Pia wanajidhughurisha na kilimo...
  3. Ojuolegbha

    Serikali imeendelea kusimamia utekelezaji wa sheria za kazi kuweka mazingira bora ya kazi ambapo imefanya jumla ya kaguzi za kazi 20,637 katika maeneo

    Serikali imeendelea kusimamia utekelezaji wa sheria za kazi kuweka mazingira bora ya kazi ambapo imefanya jumla ya kaguzi za kazi 20,637 katika maeneo ya kazi kwa lengo la kuhakikisha kuwa viwango vya kazi vinatekelezwa ipasavyo. Jumla ya Amri Tekelezi 1,826 zimetolewa kwa waajiri waliobainika...
  4. R

    Kazi nyingi serikalini zinahitaji elimu ya form 4 na training ya miezi 6 tu, ndio maana wapo waliochakachua vyeti huwezi kuwagundua

    Ndio maana hapo zamani watu walihitaji kuishia form 4 unaenda kupiga mzigo, vigezo vya elimu kubwa vinazdi kadri miaka inavyoenda lakini kazi nyingi zinahitaji training miezi 6 tu. Mwanafunzi wa field yupo diploma anaweza kumpokeza kazi mfanyakazi mwenye mwenye masters, ila akiajiriwa elimu...
  5. Loading failed

    Kwanini TRA wametangaza kazi kwenye website yao ikiwa kuna ajira portal (Utumishi)?

    Ndugu zangu. 1: Ni kwanini basi TRA watangaze kazi kwenye website yao na maombi yatumwe kwao direct ikiwa kuna ajira portal ? 2: Na ikiwa kama serikali imewapa mamlaka na kibali cha kuajiri , kwanini haijafanya hivyo kwa mashirika na taasisi zingine zote kufata mfumo huo huo wa kuajiri...
  6. E

    Nafasi ya kazi front desk officer position

    Gdence Auto Spare Parts and Service ni kampuni inayo jihusisha na uuzaji wa vipuli vya magari kutoka German na urekebishaji (Service) ya magari hayo. Ofisi zetu ziko Dar es salaam maeneo ya Sinza na Tandale Tanesco. Tunapenda kutangaza nafasi moja (1) ya kazi nafasi ya FRONT DESK OFFICER...
  7. AmKATRINA

    Jamani natafuta kazi ya UPISHI Nimechoka kukaa nyumbani

    Jamani hali ngumu, Mwenye uhitaji wa Mpishi wa kupika vyakula mbalimbali hebu tupeane connection. Nimesoma Hotel Management pale DDC Kariakoo na kufanya kazi sehemu mbalimbali. Nyumbani kunachosha sana. Mnataka tufe na njaa au? Niko Dodoma mjini. Hata kama wataka kupikiwa nyumbani kwako...
  8. Anastasia21

    Nahitaj ajira au kibarua au kazi

    Habari Wana jf mm ni kijana mwenye umri wa miaka 23(ke) nahitaj ajira ambazo zipo au kwa wale wanaohitaj wafanyakazi kazi yoyote nafanya na elimu ya form 4 tusaidiane ntashukuru kwa muajir ikifanikiwa No;0750302068
  9. DR HAYA LAND

    Mungu hufanya kazi kupitia watu na hao watu waweza usiwafahamu ila wapo i call them God's messenger.

    Ijumaa Kareem Unaweza kuwa karibu na watu wenye kila aina ya fursa ,mawazo chanya, kujitoa , Ila wasifanikiwe kukupa hayo mawazo chanya, wala kujitoa kwako wala kukupa fursa. Kuna wakati Mungu Anasema na wewe Ila kupitia watu wengine na sio hao ambao wapo karibu yako. Mwaka Jana nilienda...
  10. Sam Richards

    Wengi hawajui maana ya CHATGPT na inavyofanya kazi. Soma hapa

    CHATGPT inasimama kwa "Chat Generative Pre-trained Transformer." Hii ni teknolojia ya akili bandia inayotumika kutoa majibu ya mazungumzo, kama vile tunavyozungumza sasa. Inategemea mafunzo yaliyofanywa kwenye data nyingi za maandiko ili kujua jinsi ya kujibu maswali na kujenga mazungumzo ya...
  11. F

    Nafasi za kazi: Sales and marketing Associate

    We are a building material company supplying high quality building materials Role Description This is a contract hybrid role for a Sales Associate . The Sales Associate will be responsible for day-to-day sales tasks, including prospecting, client meetings, and closing deals. The role is for...
  12. Makungu charles

    Je wajua kuhusu Super charge na turbo charge jinsi zinavyofanya kazi

    Super charge ni kifaa kinachofungwa kwenye exhaust manifold kwa ajiri ya kuongeza nguvu ya utoaji wa hewa chafu nje ya injini baada ya kuunguzwa kwa mchanganyiko wa hewa na mafuta.Lakini Turbo charge ni kifaa kinachofungwa kwenye intake manifold kwa ajiri ya kuongeza nguvu ya uingizaji wa hewa...
  13. Satirical Yet Awesome

    Hizi Settings za 'Status Privacy' za Whatsapp zinafanya kazi kweli?

    Habari 👋 Moja kwa moja kweny mada. Aisee, Leo nimeyakoroga, leo majira ya mchana kabla ya kuweka status kuna mtu nilim-hide kweny option settings za "status privacy", then nikapost, alaf nikazima data nikaendelea na shughuli zangu. Asaiv nimerudi home nimewasha data nakuta message kibao za...
  14. Trubarg

    Kufanya biashara na wajasiriamali ni kazi ngumu sana

    Hizi ndo hints; 1. Wengi wao wanahali mbaya 2. Wengi wao hawana ela 3. Wengi wao huwa wanahisi wanataka kuibiwa muda wote ingawa hawana cha kuibiwa 4. Wengi wao ni walalamishi. 5. Wengi wao mpaka anunue kwako ujue wamekosa mwingine, yaani wamehangaika Sana. MTU yupo radhi aagize kitu china ili...
  15. Roving Journalist

    TRA: Tumepokea maoni kuhusu changamoto za Mfumo wa TANCIS, yanafanyiwa kazi

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa maoni kuwa Tovuti mpya ya mfumo wa TANCIS unasumbua tangu ulipozinduliwa Januari 20, 2025, maoni hayo yamepokelewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). TRA ilizinduwa mfumo huo na kueleza una maboresho na utakaosaidia kurahisisha uondoshaji wa Hivi...
  16. Optimists

    Karibuni kwenye Kazi ya ualimu, lakini usiwe na matarajio makubwa

    Naongea kutokana na uzoefu kidogo, nineona kwenye interview vijana wakipanga mistari mirefu kupambania ugali wao, wengine wamekaa mtaani zaidi ya miaka 10, na bado wapo wanapambana kwenye usahili, Utakapo pata nafasi ya kuingia kwenye ajira, Moja Kwa Moja na utakutana na watu uko kazini wakiwa...
  17. Pascal Mayalla

    Live From Ukumbi wa FCC Dar es Salaam: Kikao Kazi cha Baraza la Ushindani, FCC na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF

    Wanabodi Niko hapa Ukumbi wa FCC jijini Dar es Salaam, kuwaletea live ya Kikao Kazi cha Baraza la Ushindani, FCC na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF. Hivi sasa Mkurugenzi Mkuu wa FCC, William Erio, anazungumza Karibuni sana. Paskali
  18. Manfried

    Hawa wabongo ndugu zetu waliokuwa wanalipwa dola na kutembelea DFP ulikuwa ukimuomba kazi anakuletea dharau sasa kiko wapi?

    Kuna Dada mmoja wa JF alikuwa anjiita HR nilimuomba E-mail kipindi nipo chuo mwaka 2010 nilikuwa namalizia diploma Alinikazia na kuninyima sasa huwa namsalimia Mara Kwa Mara Baada ya zuio la trump amekuwa mpole Sana . So acheni hizo nyie waswahili Leo mnarudi mtaani Kuwa jobless Kiko wapi
  19. Kalamu Nzito

    Nina shahada ya sheria, natafuta kazi.

    Habari wana JF Nimesugua benchi kwa muda sasa. Natafuta ajira. Elimu yangu ni shahada ya sheria. Kazi sio lazima iwe ya kisheria. Tafadhali mwenye kuguswa naomba tuwasiliane kwa email moderncentury5@gmail.com kwaajili ya CV yangu. Asanteni sana!
  20. Shooter Again

    Mungu ni mwema hatimae nimemaliza kazi salama

    Nashukuru wanajamii forum Kwa kuniombea nimemaliza kazi salama nimeona kweli hii forum ni kama familia asanteni sana wakuu tuendelee kupendana humu milele hatujuani Kwa sura ila tuendeleze upendo ndugu zangu
Back
Top Bottom