Wiki iliyopita, tarehe 7, Januari 2025, akiwa Mar a Lago, Rais Trump alichimba biti.
Alisema kwamba ifikapo tarehe 20 mwezi hao mateka wa Hamas hawajaachiwa, basi huko Mashariki ya Kati patachimbika.
Mapema leo/ jana, imetangazwa kuwa Israel na Hamas wamefikia makubaliano ya kusitisha mapigano...