Shaloom Shaloom
Katika pitapita zangu kwenye barabara ya Morogoro nimekumbana na tatizo kubwa la foleni kutoka ubungo mpaka Kimara kuelekea Mbezi. Foleni ni kubwa na haisogei kutokana na shughuli za ujenzi na utanuzi wa hii barabara.
Je nini kifanyike kupunguza msongamano mkubwa wa foleni...