kimara

Kimara is an administrative ward in the Ubungo district of the Dar es Salaam's central business district, east of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 66,288.

View More On Wikipedia.org
  1. Dar es Salaam: Mtu mmoja afariki Dunia kwa kupigwa na Radi Kimara

    Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha Dar es Salaam, mtu mmoja amefariki Dunia kwa kupigwa na radi maeneo ya Kimara. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Kamishna Msaidizi (ACP) Mtatiro Kitinkwi amethibitisha kutoka kwa tukio hilo katika mvua iliyonyesha juzi Machi 22, 2023, taarifa...
  2. Gharama za ujenzi wa Barabara ya Njia 8 Kimara - Kibaha zapanda kutoka Bilioni 141 hadi Bilioni 218

    Wakati Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) ukieleza sababu ya ujenzi wa barabara njia nane kutoka Kimara jijini Dar es Salaam hadi Kibaha mkoani Pwani kuchelewa, ujenzi huo unatarajiwa kukamilika Aprili 15 mwaka huu. Ujenzi wa barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 19.2 unaofanywa na kampuni...
  3. Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa kipo kimara suka

    Kiwanja nikizur Sana Kinauzwa kipo kimara suka Ukubwa ni mita 20 kwa 22 Kimepimwa na serikali yamtaa bado Hati. Bei milioni 👉 12 maongezi yapo Usafili upo mwingi tu bajaji Tsh. 700 Pkpk Tsh. 1000 Barabara safi. 📞 📲 call/whatsapp: 0689859495 no cheni namaliza biashara
  4. Muda muafaka mchungaji Mastahi kuhamishwa KKKT Kimara

    Viongozi wa kanisa kama mlivyofanya kwa mchungaji Kimaro fanyeni na kwa mchungaji Wilbroad Mastahi wa kimara KKKT. Huyu mchungaji anaonekana ana ushawishi na ni mpenda naendeleo, amepadilisha sana Kimara, sasa ni muda muafaka kutumia uzoefu wake wa kimara kuboost makanisa mengine. Mpelekeni...
  5. Waziri wa Kilimo nini kipo nyuma ya pazia? Mbezi ya Kimara maharage kilo 2000, unga 2000, mchele 2900

    Kichwa cha habari kipo wazi tunataka kujua vitu vinapanda bei chanzo ni Nini aise? Mwendo kasi nao umepanda ingawa sio wizara yako, jaman!
  6. H

    Vifaa vya saloon vinauzwa

    Habarini ndugu zangu. Kuna saloon inauzwa ipo Kimara B Kwa Komba (karibu na Stopover), kama huitaji kununua saloon yote then unaweza kununua kitu utakachohtaji. Kinyozi wangu aliekua hasumbui kweny hesabu amehamia mkoani ili kuwa karbu aweze kumuuguza mama yake, namm pia nahamia mkoani kikazi...
  7. H

    House4Rent Nyumba inatafuta mpangaji Kimara stopover

    Habari ndugu zangu, Nyumba inatafuta mpangaji, mpangaji amehama jana tar 04/Dec/2022. Location-Kimara stopover Kodi-450K per month Ulipaji-Kila baada ya Miezi 6 Vyumba vi3 (Kimoja masters) Sebule kubwa Room moja ya jiko Public toilet (Ipo ndani ya nyumba) Ipo ndani ya fence, na kuna...
  8. Kwanini Kituo cha mafuta 'Rupeez Oil' kimejengwa kwenye hifadhi ya barabara Kimara Stop Over?

    Ukistaajabu ya Musa, Katika hali ya kushangaza sana kuna kituo kipya cha mafuta kinajengwa kando ya barabara maeneo ya Stop over Kimara. Hii imekuja baada ya vituo vingine vyote kufungwa kwa sababu ileile ya kuwa vipo ndani ya hifadhi ya barabara, ila cha ajabu hiki kituo kipya kinachoitwa...
  9. G

    Foleni usiku huu Morogoro Road Ubungo - Kimara

    Hii foleni sijawahi ishuhidia kabisa, kama upo mjini sasa hivi na unampango wa kwenda Mbezi au Kimara basi endelea kuagiza bia maana hutoboi. Au kama uko vyema chukuwa boda boda au kama umenasa katika foleni shuka tu tafuta namna nyingine, kamba imeanzia Kimara stendi hadi Ubungo mataa na...
  10. Mbezi ya Kimara hakuna mgao wa maji, maji hakuna kabisa!

    wakuu nipo maeneo ya Mbezi Makabe, yaani huku hakuna mgao wa maji ila tumenyimwa kabisa. wahusika kama hawatuoni!
  11. M

    Naomba kufahamu chimbo la wale wauza viatu vya kike simple jion mbezi mwisho na kimara kwa 5k na 6k wanazitoa wapi?

    Habari zenu jf Km kichwa habari hapo juu knavyojieleza naomba kufahamishwa tafadhali
  12. Barabara ya Kimara mpaka Kibaha itazamwe upya, vifo vya watu kutokana na kugongwa na magari vimekuwa vingi sana

    Naanza kwa kuwasalimia wakuu. Hapa ntaongelea matukio mawili niliyoyashuhudia kwa macho yangu.. Pia ntaongelea matukio machache niliyoyasikia. Mwezi mmoja uliopita mida ya saa 11 alfajiri nikiwa napita maeneo ya Mbezi mwisho jirani na stendi ya mabasi ya Magufuli nilishuhudia mwili wa mwanamke...
  13. Mwaka wa pili sasa barabara ya Mbezi-Kimara haijakamilika

    Wazee wa kuupiga mwingi naombeni muwakumbushe wahusika kuwa barabara ya Mbezi hadi Kimara ambayo ilijengwa kwa kasi sana awamu iliyopita haijakamilika hadi leo. Inasikitisha mno mno mno mno kuona hata street lights tu hawajaweka ni giza mwanzo mwisho. Tunaomba muwakumbushe wanaoupiga mwingi...
  14. Kimara Resort pana mapango ya Panya Road na Polisi hawafanyi kitu

    Tukisema mnashirikiana nao mnabisha na kutoa statement ndefu na waraka, mnataka kusema hamjui kuna mapango ya Panya Road na vibaka hapa Kimara Resort upande wa Theofil Ngowi Sec? Yaani mtu unatoka kazini unaona jamaa wanatoka na mapanga marungu visu bisibisi na wameshajeruhi raia kadhaa na...
  15. V

    House4Rent Nyumba inapangishwa Kimara Temboni DSM

    Ina Chumba na Sebule na Jiko plus Choo Ipo karbu kabsa na Morogoro Road bei 120,000/= *Maji *Parking Space 0753595520
  16. Network mtandao wa Tigo unasumbua maeneo ya Kimara a hakuna kitu mnafanya

    Yaani nikiwapigia watu simu inakata Napigiwa na watu simu inakata Nilijiunga na bando ka Home internet gb 40 nimeshindwa kabisa kufanya chochote Yaani ningekuwa naweza ningewashitaki huu mtandao😡
  17. Daladala lateketea kwa moto Kimara, Dar

    Za asubuhi ndugu zangu, inasemekana kuna daladala linawaka moto sasa hivi mitaa ya Kimara baruti, jijini Dar es Salaam. Chanzo cha moto hakijajulikana, ila taarifa kamili itapopatikana tutajulishana kwa kadri iwezekanavyo. ===== Daladala inayofanya kazi njia ya Temeke Mbezi imeteketea kwa moto...
  18. Wakazi Kimara, Mbezi ‘walia’ kutohesabiwa sensa

    Zikiwa zimesalia siku chache kuhitimishwa kwa sensa ya watu na makazi ilioanza Agosti 23, 2022, wakazi wa baadhi ya mitaa iliyopo Kimara na Mbezi katika Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam wamedai kutohesabiwa hadi sasa. Hali hiyo imewafanya baadhi yao kudai kukata tamaa ya kushiriki katika...
  19. E

    SoC02 Vijana na tatizo la ajira

    NAOGOPA Kijana Elli akiamshwa na king’ora cha simu alichotega kabla ya kujilaza kitandani kwake huko Kimara Dar es Salaam, anakoishi kwa wazazi wake. Ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Anaamka na kujiandaa Kwenda kutafuta kitu chochote ili kuburudisha tumbo lake. Anarudi chumbani kwake na...
  20. Giza totoro kituo cha mabasi ya mwendo kasi Kimara, je serikali imeshindwa kuweka backup power?

    Muda huu giza limetamalaki kwenye kituo cha mabasi ya mwendo kasi Kimara. Msongamano wa abiria ni mkubwa mno, magari ni kama vile yamegoma. Hii ni aibu kwa taifa , yaani mama aite wageni wake kupitia Royal Tour, halafu wageni wapande mwendo kasi uliojaa kunguni na huduma mbovu, sijui kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…