kisasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Service UJENZI: Let us transform your design ideas into reality - Nile House designs

    UJENZI: Let us transform your design ideas into reality: NILE HOUSE DESIGNS (nilehousedesigns on instagram). Karibu tukutengenezee nyumba ya ndoto yako, tuambie unataka nini na sisi tutaboresha wazo lako. Kwa bei poa kabisa utapata design yako Baadhi ya kazi zetu Affordable price tupigie...
    $1,000.00 to $10,000.00
  2. Nini kimechochea wimbi la wanawake wa kisasa kuwa na vitambi?

    Vitambi kwa wanaume ni jambo ambalo linajulikana limekuwepo karne zote lakini wimbi la wanawake kuwa na vitambi kote duniani lilianza takribani miaka ya 2000's. Nini hasa imechochea wimbi kubwa la wanawake kuwa na vitambi mijini na vijijini?
  3. Pre GE2025 DC Ludewa agawa Mbegu bora na za kisasa za Mihogo kwa Wakulima

    Mkuu wa wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Olivanus Thomas amegawa mbegu Bora na za kisasa za mihogo zijulikanazo kaa jina la Chereko, Mkuranga 1 pamoja na Tarikass 2 ili kuleta tija katika uzalishaji zao hilo la wilayani humo. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila...
  4. Isiwe feki,yenye uwezo mkubwa na ya kisasa.....

    Wakuu swalamaa...... Nina mpango wa kuanza kutengeneza content (yaani kuwa content creator)mwishoni mwa mwaka huu 2025, yaani baada ya uchaguzi mkuu wa Tanzania. Je;ni SIMU aina gani itanifaa(kupiga picha,sauti na video) katika ubora wa hali ya juu. Kuhusu bajeti sio tatizo,maana nadunduliza...
  5. Naombeni msaada ramani nzuri ya kisasa chumba sebule jiko choo

    Wakuu jamii forum kisima Cha maarifa nataka nianze ujenzi nisaidieni ramani nzuri ya kisasa chumba sebule jiko choo ndani nitashukuru sana wakuu na ikipendeza kama mafundi mpo mpate na kazi kupitia huu Uzi
  6. HATUA ANAZOPITIA BINTI WA KISASA KUTOKEA USICHANA HADI UTU UZIMA

    Zifuatazo ni hatua ambazo mabinti wa kisasa a.k.a watoto wa 2000 wana possibility kubwa kupitia kwasababu hata dada zao watoto wa 1980’s na wa 1990’s wamepitia tayari na sasa wanalipia hesabu yao ya kukengeuka kama wendawazimu. UMRI KUANZIA MIAKA 16 HADI MIAKA 26. Hii ndio stage nyeti na...
  7. Maabara ya kisasa mpya kabisa inauzwa

    Wakuu, Nina ndugu yangu ana maabara yake ya kisasa kabisa anauza vitu vya ndani, vyote kama ilivyo, yani ni kuchukua na kuhamisha kila kitu, yeye amehamishwa kikazi. 1. Centrifuge 2. Water Bath 3. Microscope 4. HB Machine 5. BP Machine 6.Weighing Scale 7.Blood collection tubes 8.Autoclave...
  8. Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa Madale Flamingo

    Modern house for sale Madale flamingo 3 bedrooms house Area sqm. 600 Price 170 millions tsh Tittle deed availble 0742 892 195
  9. Ubunifu jiko la nje la kisasa

    Hizi ni dizaini za majiko ya nje kwa ambao wameshajipata au kwa ambao viwanja vyao ni vikubwa na wanapenda vitu vizuri Bar wanajenga heshima kama kawa lakini home nako hawakusahau Heshima juu ya heshima
  10. Picha mbali mbali za matunda ya kisasa

    Je haya ni bora kwa afya ?
  11. B

    Mabadiliko ya Kidigitali Sekta ya Utalii: Benki ya Exim Yazindua Suluhisho la Malipo ya Kisasa katika Z-Summit 2025

    Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Zanzibar, Mh. Mudrick Soraga (kulia), akimsikiliza Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim Tanzania, Shani Kinswaga, wakati wa kongamano la Z-Summit 2025 lililofanyika katika Chuo Kikuu cha SUZA, Zanzibar. Kongamano hilo la kila mwaka, lililofanyika kuanzia...
  12. Nyumba ya kisasa vyumba bitatu inauzwa madale flamingo

    Modern house for sale Madale flamingo 3bedrooms house Area sqm. 600 Price 170 millions tsh Tittle deed availble 0742 892 195
  13. Talaka Zimeongezeka – Je, Wanawake Ndio Tatizo?

    Kulikuwa na wakati ambapo ndoa ilikuwa zaidi ya sherehe ya wawili waliopendana; ilikuwa taasisi yenye mizizi katika jamii, iliyozingatia heshima, uvumilivu, na mshikamano wa kifamilia. Ilikuwa ni ahadi isiyovunjika kirahisi—zaidi ya mkataba wa mapenzi, bali ngome ya maisha ya pamoja. Lakini leo...
  14. Serikali itwae ardhi kubwa kigamboni iwe na hotel za kisasa na kumbi kubwa za mikutano, itasaidia kuondoa kero ya kufunga barabara

    Kigamboni ni eneo potential ambalo kama serikali ikiamua kutengeneza conference facility ya kimataifa, itaondoa kero ya kufanyia mikutano katikati ya jiji na kuathiri shughuli za kijamii. Kigamboni ni mini Zanzibar na I na utulivu mkubwa na beach safi
  15. Fundi wa kujenga chemba za kisasa

    Habari naitwa James Ni fundi wa kujenga chemba za kisasa za kuvutia karibu 0743257669 Tupo banana ukonga
  16. Wanajeshi 1000 wa Korea Kaskazin wameuawa mpaka sasa. Wanakosa mbinu za Kisasa

    Takriban wanajeshi 1,000 wa Korea Kaskazini wameuawa na 3,000 kujeruhiwa wakati wa vita vya Urusi dhidi ya Ukraine katika kipindi cha miezi mitatu. Korea Kaskazini inaaminika kutuma wanajeshi 11,000 kusaidia jeshi la Urusi kuwaondoa wanajeshi wa Ukraine walioko eneo la Kursk kusini magharibi...
  17. Uteuzi wa Dkt. Emanuel Nchimbi kama mgombea mwenza urais wa CCM uchaguzi mkuu wa OCT.2025, ni wa kisayansi katika siasa za kisasa.

    Kwanza umefanyika kimkakati, lakini pia umefanyika kwa muda muafaka kama surprise, lakini kwa kuzingatia sheria na katiba ya CCM, bila kuathiri kwa namna yoyote ile sheria na katiba ya nchi kuhusiana na masuala ya uteuzi wa wagombea uongozi na uchaguzi wenyewe. Azimio la kumuidhinisha Dr...
  18. Natafuta kazi ya kuhudumia na kutunza kuku wa kisasa.

    Natafuta kazi ya kuhudumia na kutunza kuku hasa kuku wa nyama, Nina uzoefu wa kutosha wa kazi hii kwa miaka mitano sasa.. Kwa yoyote anayehitaji kijana anitafute WhatsApp kwa namba hii 0788109052.
  19. S

    Kenya yageukia Falme za Kiarabu kwa ajili ya kupata fedha za kukamilisha ujenzi wa reli ya kisasa

    Kenya imeanza mazungumzo na Umoja wa falme za kiarabu ( UAE) kwa ajili ya kupata fedha za kukamilisha ujenzi wa reli ya kisasa ( SGR). Kenya imeamua kuigeukia UAE baada ya China iliyokuwa ikitoa fedha kwa ajili ya mradi huo kuamua kujitoa. Ujenzi wa reli ya kisasa inayokusudiwa kuunganisha...
  20. Fundi kupaua mapaa ya kisasa nipo hapa 0743257669

    Hii ni nyumba ya ya vyumba 3 vya kulala Mbao za 2/2 mbao 130 Mbao za 2/4 mbao 150 Misumali kg 45 ya inch 4 Mbao za fisherboard 18 Rangi sado 1 Kofia 26 Valley 18 Misumali ya bati pakt 30. Bati 140 Nipigie au nichek Whatsapp 0743257669 tufanye kazi Tunapatikana ukonga dsm
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…