Katika siasa kuna ishara pia kama ulimwengu wa imani ulivyo, tofauti na ishara za kiimani ambazo ni za kiroho zaidi hivyo kufanya kuwa ' unpredictable' ila ishara za kisiasa ni 'predictable' kwa sababu zinasomeka kupitia mtiririko wa matukio( trend reading)
Kitendo cha Rais ambaye ni mamlaka ya...
Maendeleo ya nchi yoyote hutegemea human resource au rasilimari watu kwanza, aridhi na mitaji, ila kwa Tanzania naona kuna ukakasi mkubwa katika rasilimari watu ya nchi hii.
Sometime na jiuliza who is behind kwa hu uchizi wa watanzania wa arika zote kua na ushabiki ulio pindukia, kuna mkono wa...
Yaani misukosuko ya kukaa rumande iwe sababu ya kuwasaliti watanzania waliojitoa kwa ajili ya upinzamni?
Wale waliomwaga damu zao kwenye mabu ya Arusha, waliouwawaa huko Morogoro.
Daudi Mwangosi?
Kisa tu asali za kuzaliti mapambano.
Alipozungumza kwenye mkutano wa rais amesema Rais ameleta utulivu wa kisiasa kwa nchi yetu hasa baada ya kuunda kikosi kazi.
Amesema Rais Samia ana dhamira ya dhati ya kufanya mambo makubwa kwa taifa letu, akiwaomba wananchi wampokee na kumuunga mkono.
---
"Rais wetu ana dhamira njema sana...
Nasema hivo kwa kuwa tokea aingie kinachofaanyika ni ujuaji na kubishana tu na watendaji wenzake!
Mosi! Mfano mzuri ni ujenzi wa jengo la uwanja wa ndege MWANZA maana mkuu wa mkoa amesikika akibishana na TAA ambayo imepanga kuanza ujenzi wa jengo kubwa ambayo itaaccomodate abiaria wa...
Uhusiano na ushirikiano kati ya vyama vya siasa vya China na Afrika ulianza kitambo sana yaani kabla ya nchi nyingi za Afrika kujipatia uhuru wake. Uhusiano huu umekuwa ukiendelezwa siku hadi siku yaani tangu China ilipokuwa Jamhuri mwaka 1949 wakati wa utawala wa Mwenyekiti Mao Zedong hadi...
Ripoti mpya kuhusu Mtazamo wa Uchumi wa Afrika Mashariki, iliyotolewa na Deloitte imesema Ukuaji wa Uchumi utashuka hadi 5.3% ikilinganishwa na 6.4% ya mwaka 2021 ambayo ni ongezeko la 3.1% kutoka mwaka 2020.
Utafiti huo uliohusisha nchi za Kenya, Ethiopia, Tanzania, Uganda na Rwanda umetaja...
Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kwa kushirikiana na Ubalozi wa Uholanzi na JamiiForums kinazindua Mradi wa Kuimarisha Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Kisiasa na Chaguzi.
Bernadetha Kafuko, Mkurugenzi Mtendaji TCD
Vijana wetu ni nguzo yetu, tuna wajibu wa kuwaandaa. Kipaji lazima...
Kwa mambo yanavyoendelea nchini Tanzania hasa hasa baada ya tarehe 17 Machi, 2022 kuna Chama na Kiongozi wake Tanzania imeshawashinda kiasi kwamba wengine wanatamani tu Tukio lolote litokee ( hasa Ulaya ) ili wakapumzishe Kwanza Akili kwani walichokitegemea sicho.
CHADEMA nilidhani Kipindi hiki...
Kwenye nchi za Ulaya na Marekani ni rahisi sana kuona Waafrika (Siyo wamarekani weusi) wasio na historia na nchi za Ulaya ama Marekani wanapata nafasi za kisiasa kwenye nchi hizo. Lakini mpaka Mzungu achaguliwe Afrika kuwa Kiongozi, huwa ni shida sana.
Je, sisi waafrika linapokuja suala la...
Aliyefukuzwa TRC apekuliwa na polisi
Summary
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanya upekuzi nyumbani kwa aliyekuwa Meneja
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanya upekuzi nyumbani kwa aliyekuwa Meneja wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Kanda ya...
Huu ni utabiri anaye taka abishe anaye kubali akubali.
Yapo mambo mawili makubwa yatatokea kwenye kipindi cha miaka 50 kutoka sasa.
Jambo la kwanza ambalo tutaliona ktk kipindi cha miaka 50 kutoka sasa litategemea na utashi wa kisiasa chini ya serikali ya ccm.
Ikiwa ccm atakuwa na ndoto...
Mwanafunzi ahaha kulipa deni la Sh9 milioni Mloganzila
Rombo. Mwanafunzi wa Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI), Hombolo mkoani Dodoma, Lightness Shirima (22) amesema anahangaika kulipa deni la matibabu la Sh9 milioni aliloliacha baba yake aliyefariki dunia Hospitali ya Mloganzila ili apatiwe...
28 July 2022
Ukerewe, Mwanza
MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA KTK KESI No. 171 OF 2021, YAWAACHIA HURU WANACHAMA WA CHADEMA
Waliokuwa wagombea udiwani kupitia chama cha CHADEMA washinda rufaa yao na kuachiwa huru. Mzizi wa Hii kesi ilitokea wakati wa kurudisha fomu za udiwani, walipigwa risasi...
Google na kampuni nyingine za teknolojia zimeshutumiwa kukiuka kanuni za ulinzi wa taarifa za Ulaya(GDPR) ambapo wanatoa taarifa za watumiaji kwa mamia ya watangazaji.
Wadai wamefungua madai hayo kwa mamlaka za Uingereza na Ireland kwa niaba ya Brave na Open Rights Group.
Brave inadai...
Kitabu hiki kinaitwa PROPAGANDA kiliandikwa 1928 na Edward Bernays Baba wa masuala ya Kijamii na Propaganda.
Kwa kifupi propaganda ni Taarifa ya kiupendeleo au taarifa yenye lengo la kupotosha jamii juu ya jambo au mtu/watu fulani.
Lengo kuu la mwandishi kwenye hiki kitabu lilikuwa ni kuelezea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.