kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mtwa mkulu

    Fahamu Mauaji ya Kisiasa ya Watu Maarufu

    Mauaji ya kisiasa ya watu maarufu katika historia Katika historia, dunia imeshuhudia mauaji mengi ya kisiasa, ambayo yana sababu na nia tofauti. Baadhi yamesababisha vita vya umwagaji damu na uharibifu mkubwa na mengine yamebadilisha mkondo wa historia. Kwa ufupi haya ni baadhi ya mauaji ya...
  2. E

    Wanawake wanaonyanyaswa kisiasa na wanaume

    Halima mdee na wenzie 18, ni wanawake wanao nyanyaswa na wanaume kisiasa, hawa wanawake kuna genge la wanaume limekomaa kuwanyanyasa na kuwadhalilisha kisiasa. Hawa wanaume wanaofungua mikesi kila siku na kupeleka malalamiko isiyokuwa na maana bungeni sio waathirika na hatakama halima na...
  3. M

    Siku mkifanya mabadiliko ya ya kweli na Chadema ikarudi mikononi kwa wanancho ndio mtapevuka kisiasa na kuwa na waelewa.

    Mnaburuzwa hovyo. Mnapelekwa hovyo. Mnapayuka hovyo. Mbona mnashindwa kutambua kuwa hiki chama ni mali ya mtu binafsi. Ninyi ni kama wasindikizaji tu na hamna lolote. Family business at hand. Ndio maana mnachezewa akili kama watoto.
  4. M

    CCM haihitaji Katiba Mpya hata kidogo inahadaa umma ili kuusahaulisha na mambo ya Loliondo

    Kwanza naomba kuweka tahadhali kuwa upumbavu sio tusi bali ni hali ya kutokumia akili ili kug'amua na kufanya maamuzi sahihi. Mdee na wenzake wamepigwa chini kwenye ombi lao sasa ndio nini? Mnapiga mayowee kama vile hamna akili? Mnasahau kuwa katiba ya nchi inasiginwa kila siku? Very stupid...
  5. Erythrocyte

    Ole Sabaya bado hali ngumu: DPP amkatia rufaa kwenye kesi ya kwanza

    Hii ndio taarifa ya leo iliyoripotiwa na gazeti la Raia Mwema , ni kwamba DPP ameamua kukata rufaa kwa ile kesi ya kwanza iliyowashangaza wengi ambayo pamoja na Sabaya kufungwa miaka 30 Jela , lakini aliachiwa huru katika mazingira ya kutatanisha , baada ya kukata rufaa na kushinda . Tuendelee...
  6. Nyankurungu2020

    Hakuna mkimbizi wa kisiasa aliyekimbia utawala wa Magufuli

    Ni wazi kuwa hayati JPM hakuwa amezungukwa na wanaCCM wema. Na walikuwa wakimchukia huku wakimkenulia meno. Huyu Godbless Lema akikuwepo hapa nchini na alikuwa mbunge huko Arusha na hakuwahi kukimbia nchi mpaka alipokosa ubunge. Tundu Lissu pamoja na kupata matatizo ya kuvamiwa na bad...
  7. Jidu La Mabambasi

    Hongera Rais Samia kwa kujitahidi kuondoa ukakasi wa uadui wa kisiasa nchini

    Makamba na Kinana wamerudishiwa heshima zao. Membe karudi CCM alikofukuzwa. Mashitaka ya Mbowe yakafutwa. Waliokuwa lupango kwa kesi za kubambikwa wameachiwa. Mikutano ya kisiasa imerudi upya. Polisi wameanza kuwaheshimu wananchi wa itikadi tofauti na chama tawala Tundu Lissu alionana na...
  8. S

    Naungana na watanzania wengi wanaomlaani Dk. Kigwangalla kutafuta umaarufu wa kisiasa kwa kumchafua Mo Dewji

  9. Idugunde

    BAVICHA acheni utapeli wa kisiasa. Mnazindua jengo sio mali yenu? Jiwe la msingi mnaandika kwa mark pen inayofutika ili mfute baadae. Huu ni utapeli

    Mnatapeli ili iweje? Mnataka kuonyesha kuwa mnakubalika? Kwa nini jiwe la msingi mnaandika kwa peni inayofutika? Sababu mnataka kudanganya. Hili jengo ni mali yenu? Huko misungwi? Semeni kweli tusijetukawaumbua acheni uongo
  10. Idugunde

    Kiundwe chama kipya kuwakomboa watanzania kiuchumi na kisiasa. Vilivyopo havina nia thabiti. CCM na wapinzani wanacollude kuwahadaa Watanzania

    Haiwezekani hali ilivyongumu alafu watu wanachukulia mzaa maisha ya watanzania. Taifa lina rasilimali lukuki lakini umaskini umetamalaki kila kona ya Tanzania. Watu wanaishi maisha ya kubangaiza kula kwa tabu, kuvaa kwa tabu hata kulala kwa tabu. Leo hii ni siasa za unafiki zinaendelea tu na...
  11. JanguKamaJangu

    Absalom Kibanda awakosoa vikali CHADEMA, asema "Ukishakula nyama ya mtu huachi", Lema amjibu

    Mwanahabari mkongwe na Mchambuzi wa siasa Absalom Kibanda amekosoa maamuzi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwafukuza uanachama Halima Mdee na wenzake 18. “Ni kweli Mdee na wenzake 18 walikosea. Msingi wa makosa yao ni kupinga ubabe wa kihistoria wa viongozi wenzao na kudai kwao...
  12. M

    Sakata la Halima Mdee na Wenzake ni fundisho tosha kwa ambao hawana uchungu na taifa lao. Ikipendeza wapiga kazi mpaka 2025

    Hivi inakuwaje unakuwa na uchungu Mdee na kundi lake la wanadada 19 kuwa wabunge hata kama wanazama mjengoni kimazabe? Hii ndio sababu ya kukupain mpaka mshipa wa koo unataka kukukatika! Mbona mnashabikia upuuzi usio na tija yaani bil 11 na ushee zinatumika kushuti filamu ya kawaida kabisa...
  13. chiembe

    Mahakama itende haki, haiwezekani ndugu zetu tangu 2016 wako rumande, lakini kesi za kisiasa zinamalizwa haraka haraka, first in first out!

    Haki ionekane pande zote, masheikh walikaa rumande miaka tele, hata Sasa tunapoongea ndugu zetu wanaozea rumande, kesi hizi za kisiasa zinapangwa tarehe za karibu. Mahakama mnakwama wapi? First in first out. Haki ni kwa wote. Tunatarajia kesi hiyo ya akina Mdee na yenyewe ipangiwe miezi...
  14. AbuuMaryam

    Usimuamini Mwanasiasa hata siku moja: Hili kuongeza mshahara lipo kisiasa sana

    Mwanasiasa akiingia ndani na akakwambia nje mvua inanyesha toka kahakikishe... Mwanasiasa akisema anakupenda... Geuza kwa upande wake kinyume... Akisema amekufanyia hivi au vile... Chunguza vizuri.. Kuna nini baadae... Mkikaa baadae mkatulia kwenye akili zenu mtajua tumepigwa changa la...
  15. T

    Kisiasa na Kimuungano hili linaelewekaje?

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lina kamati mbalimbali huwa wanazunguka kila mkoa,Ila sijawahisikia wakikagua miradi ya Zanzibar. Hili ni Bunge la Tanganyika? Kichwa kinauma sana kufanya utafiti wakujua ni Bunge la Jamhuri au la Tanganyika. Nini kazi ya wabunge wanaotoka visiwani...
  16. Idugunde

    Ni wazi kuwa hawakuwa na uhalali wa kuwa wabunge. Hakuna credit ya kisiasa mliyopata kwa kuwafukuza. Uraiani kuna political gain yoyote mtaambulia?

    Ili chama chochote kipate nguvu ya kisiasa ni lazima kipate sapoti ya umma. Umma ndio wananchi wenyewe. Pamoja na kuwa mmewatimua akina Mdee na wenzake lakini ukweli utabaki palepale kuwa mlishapoteza trust kwa wananchi wa kawaida. Mlishakuwa na tuhuma mbaya za ufisadi, nepotism na kuwa...
  17. chiembe

    Baada ya Mbowe kuzuia Siasa za matusi, Lema, Lissu, Mdude, Maranja Masese, na vijana wengi wanaweza kufa kisiasa!

    Jana katika hotuba ya Mbowe, alizuia Siasa za matusi zonazofanywa na wanasiasa waandamizi wa chadema. Kimsingi, wanachadema hutumia matusi, kejeli na dharau kubwa dhidi ya wanaowapinga, ili wapate uhalali kisiasa. Hii tabia ni sawa na udikteta, ila unajificha tu katika kutukana na kushambulia...
  18. M

    Wananchi walishawapuuza. Mnatwanga maji kwenye kinu kufanya usanii wa kiaiasa. Ninyi ni matapeli wa kisiasa mlishashutukiwa

    Mbowe ni kibaraka wa CCM na watu walishampuuza kabisa. Wananchi sasa wapo serious kupambana na maisha magumu hivyo hawataki usanii wa kipuuzi juu ya hatima maisha yao. Kujifanya wajanja ili muchezee akili za wananchi wao walishashutuka ipo siku mtapigwa mawe hadharani. Huu sio wakati wa Mbowe...
  19. U

    Kisiasa Bi Sara alifanya kosa kubwa la kimkakati na aliponzwa na Moyo wake huruma

    Wadau hamjamboni Ni hoja ya Kisiasa ukiamua kuijadili hivyo Ni hoja ya kidini ukiamua kuijadili hivyo Ni hoja mchanganyiko pia ukiamua iwe hivyo Ni mada inayomuhumu Bi Sara mamake na Isaka Kwangu Mimi naileta kama hoja ya Kisiasa Uamuzi wa Sara uliompatia haki Mumewe ya Kufanya kile...
  20. M

    Maandamano kupongeza Royal tour ni upuuzi wa kisiasa utaloligharimu taifa letu. Ndio maana hatutoboi

    Kwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana? Rais akinunua ndege mtaandamana? Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi. What is Royal tour by the way mpaka muandamane?
Back
Top Bottom