Jamaa zetu Chadema wanakasumba mbaya sana. Walishazoea siasa za kubebwa. Wakikutana na mtu anayejua kuwabana kisiasa kama Paulo Makonda au Mwita Waitara wao huwa wanaleta chuki zisizo na mashiko.
Mtu hata kama hana hatia za ujambazi watafurahi tu aingie lupango kisa tu wameshamchukia.
Tuweke...
Rais wa Togo Faure Gnassingbe amekubali kuwa mpatanishi katika mzozo wa kisiasa wa Mali huku serikali ya kijeshi ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi ikikabiliwa na shinikizo la kurudisha utawala wa kiraia, mawaziri wao wa mambo ya nje wamesema.
Tangu Agosti 2020 wakati jeshi lilipochukua mamlaka...
Mamlaka ya Misri imemwachilia mwanaharakati mashuhuri wa kisiasa anayetumikia kifungo cha miaka minne kwa tuhuma za ugaidi ambazo watetezi wa haki wameziona hazina msingi. Kuachiliwa kwa Hossam Monis kulikuja baada ya kuachiliwa kwa wafungwa kadhaa wa hadhi ya juu, siku chache kabla ya mwisho wa...
Tuwakatae Mamluki waliojikusanya Katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani; ni kikundi cha wahuni kinachotumika na wanaharakati
Na;
Tanzania Diaspora waishio Marekani (USA)
Yanayoitwa maandamano ya kudai katiba mpya katika mitandao ya kijamii kwamba yalifanywa na Watanzania waishio Marekani...
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tawi la Sokoni Kata ya Sirari Wilayaní Tarime Mkoaní Mara, Moshi Sayi Maduhu, ameuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali kifuani karibu na shingoni baada ya kutokea ubishi wa kisiasa kati yake na mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Magufuli alikuwa na wafuasi wengi sana. Mama ntilie, machinga, wakulima na watu wa hali ya chini. Yeye aliwaita wanyonge. Hawa ndio mtaji wetu kwa sasa. Tuwatafute na kuwavuta Chadema maana CCM ya sasa imewakataa na imerudi kwa mafisadi.
Tuwapange vizuri na ikifika mwaka 2025 huu ndio mtaji...
Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.
Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa.
Sasa mwenye ushahidi wa Makonda kupanga njama na kushiriki atuwekee hapa...
Hawa vijana waliondoka CHADEMA wenyewe kwa kununuliwa baada ya kushawishiwa , huku wengine wakihamia ccm baada ya vitisho, yeyote anayeogopa vitisho vya watawala hafai kwenye siasa za upinzani.
Ninatambua msululu wa wasaliti wanaoomba kurejea CHADEMA, wakiwemo Wakuu wa Wilaya wawili ambao wako...
Unaweza kujiuliza maswali mengi kwa kauli ya mwenyekiti wa CCM ambaye ametoa kauli yenye kuleta maswali kuhusu mfumo wa kisiasa uliopo sasa hapa nchini. Hebu tuangalie kwanza.
1. Nani mshauri wa mwenyekiti wa CCM na rais wa nchi yetu?
Ni mshauri pekee anayeweza kuona toafuti ya mifumo ya...
Mhe. Rais wewe ni mzoefu kwenye siasa za Tanzania. Kwa sasa ni kama unatafuta huruma ya wapinzani na unafanya vya kuwafurahisha lakin jua hii kitu itakugharimu
Kuachiwa kwa Mbowe, kukutana na Lisu ubeligiji, kujipanga kuruhusu mikutano ya kisiasa nk yote unatafuta kuonekana unajali ila ujue...
Bei za bidhaa za kilimo zimekuwa zikifuata mwelekeo wa kupanda kwa sababu ya mwitikio wa serikali duniani dhini ya Covid-19. Bei hizo zilipanda kutokana na vikwazo vya kuuza chakula nje kwa baadhi ya nchi.
Lakini mzozo wa sasa kati ya Urusi na Ukraine umepeleka bei kwenye viwango vipya na vya...
“Mimi sina chama chochote, naomba niiweke hii sawa tangu Septemba 1, 2015 nilipojiuzulu ukatibu mkuu wa Chadema, lakini niliweka wazi kuwa katika masuala ya kitaifa, nitatoa kauli yangu, nitafanya hivyo bila uwonga wowote,”
Balozi Dkt. Wilbroad Slaa, amesema hayo katika Kongamano la...
Ni muhimu kuwepo sheria ya uchaguzi ambayo itakataza Rais wa nchi ya Tanzania asiwe Mwenyekiti wa chama chochote Cha siasa wakati anagombea na wakati akiwa madarakani. Hii itasaidia Rais kujiweka asilimia Mia moja kwenye Mambo ya serikali na sio chama. Pia itamsaidia Rais kutokupendelea chama...
Sakata la Steve Nyerere kuibua zengwe baada ya kuteuliwa kuwa Msemaji wa Shirikisho la Muziki nyuma yake kuna siasa ambayo inaendelea kuutafuna mgogoro huo.
Hii hapa ni video jinsi ambavyo Bushoke ameonyesha wazi kuna tatizo kubwa la kisiasa katika suala hilo.
Video: Global TV
Sisi viongozi wa Dini wa Mkoa wa Kilimanjaro tumeshangazwa na ujumbe unaosambazwa mitandaoni kwamba tutahusika na mapokezi ya Kiongozi wa Kisiasa .
Tunatambua kwamba ujumbe huo ni wa Wanasiasa na wala haujatoka kwetu sisi viongozi wa Dini. Sisi kama viongozi wenu wa Dini tunaendelea kujikita...
Huku pazia la Mkutano wa 5 wa Baraza la 13 la Mashauriano ya Kisiasa la China likishuka kuashiria mwisho wa mikutano miwili, dunia imeendelea kutambua jinsi vikao hivyo vimekuwa kipimo cha kukabili changamoto za kijamii, kiuchumi na kisiasa, na pia janga la COVID-19 ambalo halijawahi kutokea...
Ushiriki wa umma katika masuala ya kisiasa na kidemokrasia hauishii kwenye kufahamu tu yanayoendelea, bali wanaoathiriwa na maamuzi wana haki ya kushirikishwa kisawasawa katika mchakato wa kufanya maamuzi hayo. Ushiriki huu ni sehemu muhimu ya utawala wa kidemokrasia.
Lengo kuu la...
Msamaha ni jambo jema sana kama binadamu na pia ni sehemu ya ibada. Kitabu kitakatifu cha biblia tunasoma maandiko yakisema samehe saba mara sabini ikiwa na maana kwamba msamaha hauna kikomo.
Vile vile kitabu hicho kinasema kwamba tuheshimu mamlaka iliyowekwa na Mungu na ya Kaisari tumpe...
Wakuu Kwema!
Wangapi mnamkumbuka Venance Shitindi?
Huyu jamaa alikuwa Kiboko, watu wengi walikuwa wakimkubali Sana Kwa misimamo yake isiyoyumbishwa, alitetea wanyonge wasinyongwe, alijihatarisha masomo yake Kwa ajili ya watu.
Taikon nilikuwa navutiwa na Siasa za huyu jamaa kipindi tunasoma...
Kuna jambo limenistua kidogo japo linaonekana la kawaida lakini ni kubwa sana katika siasa na uadilifu,
Huyu Mwenezi wa CCM Bwana Hamdu Shaka, ana role gani kwenye ziara ya Rais huko Dubai katika mkutano huu wa kibiashara?
Mlinzi?
Mwekezaji?
Mfanyabiashara?
Mjasiliamali?
Machinga?
Kangomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.