kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Kitendo cha Profesa Muhongo kusema hatupo tena uchumi wa kati na Waziri Mwigulu kupinga huku Rais akikubali ni ishara kiimani na kisiasa

    Katika siasa kuna ishara pia kama ulimwengu wa imani ulivyo, tofauti na ishara za kiimani ambazo ni za kiroho zaidi hivyo kufanya kuwa ' unpredictable' ila ishara za kisiasa ni 'predictable' kwa sababu zinasomeka kupitia mtiririko wa matukio( trend reading) Kitendo cha Rais ambaye ni mamlaka ya...
  2. C

    Kwa ushabiki huu uliopindukia Tanzania inaweza 'kutoboa' kisiasa na kiuchumi?

    Maendeleo ya nchi yoyote hutegemea human resource au rasilimari watu kwanza, aridhi na mitaji, ila kwa Tanzania naona kuna ukakasi mkubwa katika rasilimari watu ya nchi hii. Sometime na jiuliza who is behind kwa hu uchizi wa watanzania wa arika zote kua na ushabiki ulio pindukia, kuna mkono wa...
  3. Mbowe ni zaidi ya msaliti na laghai wa kisiasa. Mimi nilitarajia awe Ngangari kama Lipumba wa CUF

    Yaani misukosuko ya kukaa rumande iwe sababu ya kuwasaliti watanzania waliojitoa kwa ajili ya upinzamni? Wale waliomwaga damu zao kwenye mabu ya Arusha, waliouwawaa huko Morogoro. Daudi Mwangosi? Kisa tu asali za kuzaliti mapambano.
  4. Baada ya Act wazalendo kuwapiga bao Chadema kisiasa. Chadema wanaeneza uongo kuwa wamejenga ofisi mikoani.

    Jiwe la msingi limeandikwa kwa mark pen. Jengo ambalo ni duka la wananzengo. Huu ni utapeli mkubwa sana wa kisiasa.
  5. T

    Zitto Kabwe: Nakushukuru Rais Samia kwa kudumisha utulivu wa kisiasa kwenye taifa letu

    Alipozungumza kwenye mkutano wa rais amesema Rais ameleta utulivu wa kisiasa kwa nchi yetu hasa baada ya kuunda kikosi kazi. Amesema Rais Samia ana dhamira ya dhati ya kufanya mambo makubwa kwa taifa letu, akiwaomba wananchi wampokee na kumuunga mkono. --- "Rais wetu ana dhamira njema sana...
  6. S

    MWANZA: Hivi RC Adam Malima kaletwa kwa kuwa ana uwezo au mkakati tu wa kisiasa?

    Nasema hivo kwa kuwa tokea aingie kinachofaanyika ni ujuaji na kubishana tu na watendaji wenzake! Mosi! Mfano mzuri ni ujenzi wa jengo la uwanja wa ndege MWANZA maana mkuu wa mkoa amesikika akibishana na TAA ambayo imepanga kuanza ujenzi wa jengo kubwa ambayo itaaccomodate abiaria wa...
  7. L

    Uhusiano baina ya Chama cha Kikomunisti cha China na vyama mbalimbali vya kisiasa vya Afrika waendelea kupaa juu zaidi

    Uhusiano na ushirikiano kati ya vyama vya siasa vya China na Afrika ulianza kitambo sana yaani kabla ya nchi nyingi za Afrika kujipatia uhuru wake. Uhusiano huu umekuwa ukiendelezwa siku hadi siku yaani tangu China ilipokuwa Jamhuri mwaka 1949 wakati wa utawala wa Mwenyekiti Mao Zedong hadi...
  8. Kama kweli mikutano ya kisiasa ya hadhara imezuiliwa Mbona Ado Shaibu wa ACT Wazalendo anafanya mikutano ya hadhara? Au CCM inabagua?

    Ingekuwa sisi CHADEMA tungepata tabu kwa kufanya mikutano ya hadhara. Ila hawa jamaa wanaruhusiwa tu. Huu ni ubaguzi.
  9. RIPOTI: Uchumi wa Afrika Mashariki utashuka kwa sababu za Kisiasa na Ukame

    Ripoti mpya kuhusu Mtazamo wa Uchumi wa Afrika Mashariki, iliyotolewa na Deloitte imesema Ukuaji wa Uchumi utashuka hadi 5.3% ikilinganishwa na 6.4% ya mwaka 2021 ambayo ni ongezeko la 3.1% kutoka mwaka 2020. Utafiti huo uliohusisha nchi za Kenya, Ethiopia, Tanzania, Uganda na Rwanda umetaja...
  10. Uzinduzi wa Mradi wa Kuimarisha Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Kisiasa na Chaguzi, Septemba 19, 2022

    Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kwa kushirikiana na Ubalozi wa Uholanzi na JamiiForums kinazindua Mradi wa Kuimarisha Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Kisiasa na Chaguzi. Bernadetha Kafuko, Mkurugenzi Mtendaji TCD Vijana wetu ni nguzo yetu, tuna wajibu wa kuwaandaa. Kipaji lazima...
  11. CHADEMA ni Watani zangu Kisiasa na Marafiki, ila mnatuangusha mno Watanzania hadi kuhisi Mmeshanunuliwa kwa Bei rahisi

    Kwa mambo yanavyoendelea nchini Tanzania hasa hasa baada ya tarehe 17 Machi, 2022 kuna Chama na Kiongozi wake Tanzania imeshawashinda kiasi kwamba wengine wanatamani tu Tukio lolote litokee ( hasa Ulaya ) ili wakapumzishe Kwanza Akili kwani walichokitegemea sicho. CHADEMA nilidhani Kipindi hiki...
  12. Kisiasa sisi ni wabaguzi kuliko Wazungu?

    Kwenye nchi za Ulaya na Marekani ni rahisi sana kuona Waafrika (Siyo wamarekani weusi) wasio na historia na nchi za Ulaya ama Marekani wanapata nafasi za kisiasa kwenye nchi hizo. Lakini mpaka Mzungu achaguliwe Afrika kuwa Kiongozi, huwa ni shida sana. Je, sisi waafrika linapokuja suala la...
  13. Polisi Tanzania mtaacha lini kufanya kazi kisiasa?

    Aliyefukuzwa TRC apekuliwa na polisi Summary Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanya upekuzi nyumbani kwa aliyekuwa Meneja Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanya upekuzi nyumbani kwa aliyekuwa Meneja wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Kanda ya...
  14. T

    Je, umewahi kujiuliza Tanzania itakuwa wapi kisiasa na kiuchumi miaka 50 ijayo?

    Huu ni utabiri anaye taka abishe anaye kubali akubali. Yapo mambo mawili makubwa yatatokea kwenye kipindi cha miaka 50 kutoka sasa. Jambo la kwanza ambalo tutaliona ktk kipindi cha miaka 50 kutoka sasa litategemea na utashi wa kisiasa chini ya serikali ya ccm. Ikiwa ccm atakuwa na ndoto...
  15. M

    Kama Watanzania wengi hawana uwezo wa kumudu matibabu, basi yawe bure

    Mwanafunzi ahaha kulipa deni la Sh9 milioni Mloganzila Rombo. Mwanafunzi wa Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI), Hombolo mkoani Dodoma, Lightness Shirima (22) amesema anahangaika kulipa deni la matibabu la Sh9 milioni aliloliacha baba yake aliyefariki dunia Hospitali ya Mloganzila ili apatiwe...
  16. B

    Wafungwa wa kisiasa kutoka jimbo la Ukerewe washinda rufaa yao na kuachiwa huru

    28 July 2022 Ukerewe, Mwanza MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA KTK KESI No. 171 OF 2021, YAWAACHIA HURU WANACHAMA WA CHADEMA Waliokuwa wagombea udiwani kupitia chama cha CHADEMA washinda rufaa yao na kuachiwa huru. Mzizi wa Hii kesi ilitokea wakati wa kurudisha fomu za udiwani, walipigwa risasi...
  17. Ally Happi unakumbuka maneno yako haya kuhusu wazee wastaafu?

    Video inajieleza
  18. Google yatuhumiwa kuuza taarifa za watumiaji wake kama mitazamo yao ya kisiasa na jinsi wanazopenda

    Google na kampuni nyingine za teknolojia zimeshutumiwa kukiuka kanuni za ulinzi wa taarifa za Ulaya(GDPR) ambapo wanatoa taarifa za watumiaji kwa mamia ya watangazaji. Wadai wamefungua madai hayo kwa mamlaka za Uingereza na Ireland kwa niaba ya Brave na Open Rights Group. Brave inadai...
  19. 'PROPAGANDA' ni kitabu kizuri kwa wale wafuatiliji wa Masuala ya Siasa

    Kitabu hiki kinaitwa PROPAGANDA kiliandikwa 1928 na Edward Bernays Baba wa masuala ya Kijamii na Propaganda. Kwa kifupi propaganda ni Taarifa ya kiupendeleo au taarifa yenye lengo la kupotosha jamii juu ya jambo au mtu/watu fulani. Lengo kuu la mwandishi kwenye hiki kitabu lilikuwa ni kuelezea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…