Wakuu, hivi sasa BBC Swahili inaadhimisha miaka kama sikosei 67 ya kuanzishwa kwake. Tatizo nimeliona ni mtangazaji aliyejikita Zanzibar akisema Kiswahili ndipo kilipoanzia.
Mie, natambua Kiswahili chimbuko lake ni Lamu nchini Kenya sasa kama ni mwendelezo wa upotoshaji unaoendelea ni hatari...