Jaman marafiki zangu, nilikutana na habari sijui ni za kweli au uongo kwamba Rais amezungumzia CM trading kwa kuinvest laki 7 sawa na dollar 300.
Nikaingia kwenye website nikajaribu kufanya usajili, basi nikapigiwa simu kutoka SA. Kumbe zile information walikuwa wanaziona. Yule mtu alitaka...