Nauza kiwanja changu maeneo ya Mvuti (kina msingi mkubwa wa nyumba ya vyumba vinne; viwili master, dining pamoja na jiko).
Kama unatoka Chamazi kipo mkono wa kushoto, ukiwa unatoka Chanika Kipo mkono wa kulia na kina ukubwa wa miguu 23 urefu kwa miguu 18 upana, ni kiwanja kwa ajili ya makazi...