Tanzania inalenga kuongeza usafirishaji wa mizigo kwa reli hadi kufikia kontena 1,500 kwa siku, hatua inayolenga kupunguza msongamano katika Bandari ya Dar es Salaam, kuharakisha usafirishaji wa mizigo na kupunguza gharama za usafirishaji kwa wafanyabiashara.
Mpango huo pia utaimarisha...