Rais Samia Suluhu Hassan amesema
kuwa moja ya matamanio yake makubwa ni kuufanya Mkoa wa Tanga kurejea kwenye hadhi yake ya zamani kama mkoa wa viwanda.
Akizungumza leo Ijumaa, Februari 28, 2025, katika Uwanja wa CCM Mkwakwani, alipohitimisha ziara yake ya siku sita, Rais Samia amesema kuwa...