WANAWAKE MSIKUBALI KUGEUZWA SHAMBA LA BIBI!
Anaandika, Robert Heriel
Tuwaelimishe binti, Dada na Mama zetu ingawaje tunajua hakuna kazi ngumu kama kumuelimisha Mwanamke hasa katika kumwambia ukweli, kwani siku zote ukweli unauma. Wanawake wengi hawapendi ukweli Kwa sababu hawapendi kuumia...