Baada ya Iran kuzima internet, Israel wanazidi kugeuzwa kuwa Gaza, ssbabu hii hapa…

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,523
Reaction score
2,165
images (22).jpeg

Kwanza tuelewe kitu kimoja kuhusu PrSM (Precision strike Missile)
Israel aliua viongozi wa juu wa kijeshi wa iran na hii sio kitu cha ajabu mana ni mpango wa US,
kwanini nasema ni mpango wa US?

US huwa anaitisha makubaliano baina ya pande mbili, kama mna mzozo na pia upande ulio pamoja na US hutumia fursa hii kukushambulia kwasabu unakuwa umejisahau unaamini kuna makubaliano ya Amani,
hii ilianza kufanywa na Eukraine kupiga ndege za kivita za Russia baada ya US kuitisha mazungumzo.
Na ndivyo ilivyofanywa na israel kuua viongozi wa juu kijeshi wakati negotion zimekubalika kufanyika.
Israel aliua viongozi wa Iran from within, yaani mashambulizi mengi yalifanywa na mosad kutokea ndani ya iran mana walikuwa na kambi wanazotengeneza Kamikaze drones, na walifanikiwa.

Israel akadai ana Air superiority ndani ya iran.
Ikumbukwe Air superiority ni tofauti na Air Supremacy. kwa maana air supremacy ni kwamba adui yako hajiwezi kabisa in terms of air protection. ila superiority sio kwamba ni completely unacontrol anga la Adui.

Iran walipoa na wakahidi kisasi bila kujua Israel yuko juu kwenye spying and information gathering, kwakuwa israel ndio nchi inayomiliki Spying software kama vile pegasus ambayo ni zero click.

Pegasus ikiwa kwenye device yako inaweza toa location uliyopo nk lakini inahitaji real time feed ambazo zinatumia internet, kwahiyo baada ya Iran kuzima internet Israel akapoteza real time feed.

PrSM zinahitaji geolocation ya sehemu target ilipo kwa kutumia Military grade satellite, kwahiyo baada ya Iran kuzima internet, israel kapoteza uwezo wa kufanya geolocating, ili afanye precision strike mana anategemea GPS na Inertia sensors ambazo pia alikuwa anategemea Apps kama vile Whatsapp na instagram zimpe real time feed.

Leo hii Israel analia na anajutia kwa kujifanya daudi ampige Goliati.
Tunakoelekea ni kugumu mno bila karata ya trump ambae nae anataka ajichanganye.
 
Attachments

  • images (22).jpeg
    images (22).jpeg
    27.3 KB · Views: 32
Ila hii vita inatumia akili mingi sana. Can you imagine Kenya wapigane na Malawi halafu mabomu yapite juu Tanzania, hahaha
Vita ni fupi mno kwa iran, mana wasunni na Shia wote wameungana, ndiomana israel anawajaza uongo Gen Z wa Iran, ili afanye kama walichofanya NATO kule Libya kwa Gadafi ambao hii leo wanajutia,.

Netanyau ni war criminal and Corrupted Israel ikipoa Netanyau ana Kesi za kusikilizwa kwahiyo unafuu wake ni vita, ili kesi zake za corruption zisisikilizwe.
 
Sema tatizo haya ni mambo ya kihistoria zaidi. Israel LAZIMA ashinde!
 
Historia gani unazungumzia wewe?
ile ya wakristo na israel?
na israel ni myahudi haamini katika Yesu wa bk maria.

Yani israel ya sasa sio ya kwenye bible, yani ni sawa na mwanangu mimi nimpe jina Jesus au Yesu, je mtamwamini?
Ndio hapo tunapokosea Israel anaamini mtoto wake ni mtoto ila mtoto wako sio mtoto, ndiomana kaua watoto zaidi ya 5000 kule Gaza, ila yeye watoto wake wameguswa kidogo analia mpaka Geneva
 
View attachment 3377168

Kwanza tuelewe kitu kimoja kuhusu PrSM (Precision strike Missile)
Israel aliua viongozi wa juu wa kijeshi wa iran na hii sio kitu cha ajabu mana ni mpango wa US,
kwanini nasema ni mpango wa US?

US huwa anaitisha makubaliano baina ya pande mbili, kama mna mzozo na pia upande ulio pamoja na US hutumia fursa hii kukushambulia kwasabu unakuwa umejisahau unaamini kuna makubaliano ya Amani,
hii ilianza kufanywa na Eukraine kupiga ndege za kivita za Russia baada ya US kuitisha mazungumzo.
Na ndivyo ilivyofanywa na israel kuua viongozi wa juu kijeshi wakati negotion zimekubalika kufanyika.
Israel aliua viongozi wa Iran from within, yaani mashambulizi mengi yalifanywa na mosad kutokea ndani ya iran mana walikuwa na kambi wanazotengeneza Kamikaze drones, na walifanikiwa.

Israel akadai ana Air superiority ndani ya iran.
Ikumbukwe Air superiority ni tofauti na Air Supremacy. kwa maana air supremacy ni kwamba adui yako hajiwezi kabisa in terms of air protection. ila superiority sio kwamba ni completely unacontrol anga la Adui.

Iran walipoa na wakahidi kisasi bila kujua Israel yuko juu kwenye spying and information gathering, kwakuwa israel ndio nchi inayomiliki Spying software kama vile pegasus ambayo ni zero click.

Pegasus ikiwa kwenye device yako inaweza toa location uliyopo nk lakini inahitaji real time feed ambazo zinatumia internet, kwahiyo baada ya Iran kuzima internet Israel akapoteza real time feed.

PrSM zinahitaji geolocation ya sehemu target ilipo kwa kutumia Military grade satellite, kwahiyo baada ya Iran kuzima internet, israel kapoteza uwezo wa kufanya geolocating, ili afanye precision strike mana anategemea GPS na Inertia sensors ambazo pia alikuwa anategemea Apps kama vile Whatsapp na instagram zimpe real time feed.

Leo hii Israel analia na anajutia kwa kujifanya daudi ampige Goliati.
Tunakoelekea ni kugumu mno bila karata ya trump ambae nae anataka ajichanganye.

Screenshot_2025-06-20-04-20-12-942_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-20-04-18-28-684_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-19-20-10-48-445_com.instagram.android~2.jpg
Screenshot_2025-06-19-20-11-56-665_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-18-13-57-10-133_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-18-22-53-21-076_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-18-23-17-56-597_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-18-23-26-53-005_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-19-05-36-49-551_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-19-05-39-49-484_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-19-05-40-37-612_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-19-05-42-21-645_com.instagram.android.jpg
 
Ndio nyinyi mbulula mnaokata kila pumba kwa vile iko mitandaoni mnaamini, sasa nini hii unaleta hapa....
Hizi ni dalili za kenge mmoja anatengeza upupu na kilaptop chake chumbani na anasahau kufuta upupu wake mwingine kutuma, halafu mnaokota na kuleta hapa....
1750452308399.png
 
View attachment 3377168

Kwanza tuelewe kitu kimoja kuhusu PrSM (Precision strike Missile)
Israel aliua viongozi wa juu wa kijeshi wa iran na hii sio kitu cha ajabu mana ni mpango wa US,
kwanini nasema ni mpango wa US?

US huwa anaitisha makubaliano baina ya pande mbili, kama mna mzozo na pia upande ulio pamoja na US hutumia fursa hii kukushambulia kwasabu unakuwa umejisahau unaamini kuna makubaliano ya Amani,
hii ilianza kufanywa na Eukraine kupiga ndege za kivita za Russia baada ya US kuitisha mazungumzo.
Na ndivyo ilivyofanywa na israel kuua viongozi wa juu kijeshi wakati negotion zimekubalika kufanyika.
Israel aliua viongozi wa Iran from within, yaani mashambulizi mengi yalifanywa na mosad kutokea ndani ya iran mana walikuwa na kambi wanazotengeneza Kamikaze drones, na walifanikiwa.

Israel akadai ana Air superiority ndani ya iran.
Ikumbukwe Air superiority ni tofauti na Air Supremacy. kwa maana air supremacy ni kwamba adui yako hajiwezi kabisa in terms of air protection. ila superiority sio kwamba ni completely unacontrol anga la Adui.

Iran walipoa na wakahidi kisasi bila kujua Israel yuko juu kwenye spying and information gathering, kwakuwa israel ndio nchi inayomiliki Spying software kama vile pegasus ambayo ni zero click.

Pegasus ikiwa kwenye device yako inaweza toa location uliyopo nk lakini inahitaji real time feed ambazo zinatumia internet, kwahiyo baada ya Iran kuzima internet Israel akapoteza real time feed.

PrSM zinahitaji geolocation ya sehemu target ilipo kwa kutumia Military grade satellite, kwahiyo baada ya Iran kuzima internet, israel kapoteza uwezo wa kufanya geolocating, ili afanye precision strike mana anategemea GPS na Inertia sensors ambazo pia alikuwa anategemea Apps kama vile Whatsapp na instagram zimpe real time feed.

Leo hii Israel analia na anajutia kwa kujifanya daudi ampige Goliati.
Tunakoelekea ni kugumu mno bila karata ya trump ambae nae anataka ajichanganye.
Waangamie tu, Israel ni magaidi wakubwa hapa duniani wakitumiwa na Marekani.
 
Nikisemaga wale sio waisraeli walioongelewa kwenye biblia watu wanakaza fuvu, taifa teule haliwezi kuua watoto wasio na hatia, Tena Bora waliokufa waliobaki yatima ndio wanatia huruma mtoto mdogo hajui hata kunawa uso, anaachwa peke yake.
Mi mkristo kwa dini ila sio Imani nasema wapigwe tu mpaka washike adabu, ili huko mbeleni watu wajue Myahudi wa kweli ni nani.
 
Attachments

  • Screenshot_2025-06-20-23-55-52-851_com.instagram.android.jpg
    Screenshot_2025-06-20-23-55-52-851_com.instagram.android.jpg
    325.3 KB · Views: 36
  • Screenshot_2025-06-21-00-00-44-301_com.instagram.android.jpg
    Screenshot_2025-06-21-00-00-44-301_com.instagram.android.jpg
    308.5 KB · Views: 39
Nikisemaga wale sio waisraeli walioongelewa kwenye biblia watu wanakaza fuvu, taifa teule haliwezi kuua watoto wasio na hatia, Tena Bora waliokufa waliobaki yatima ndio wanatia huruma mtoto mdogo hajui hata kunawa uso, anaachwa peke yake.
Mi mkristo kwa dini ila sio Imani nasema wapigwe tu mpaka washike adabu, ili huko mbeleni watu wajue Myahudi wa kweli ni nani.
Hamna mtu anapenda watoto wauwawe wala wanawake.
Ila vita inatabia moja, kokote ilipo vita lazima kuna collateral samages ambazo hazikwepeki, vigo vya watoto na wanawake

Tembea somalia, congo, ukraine-russia, na kwingine kwenye conflict , kilio ni kile kile
 
Ndio nyinyi mbulula mnaokata kila pumba kwa vile iko mitandaoni mnaamini, sasa nini hii unaleta hapa....
Hizi ni dalili za kenge mmoja anatengeza upupu na kilaptop chake chumbani na anasahau kufuta upupu wake mwingine kutuma, halafu mnaokota na kuleta hapa....
View attachment 3377196

Mbona ni afadhali aliyeleta hizo picha ana reference na source kuliko wewe unayeropoka tu ya moyoni mwako?
 
View attachment 3377168

Kwanza tuelewe kitu kimoja kuhusu PrSM (Precision strike Missile)
Israel aliua viongozi wa juu wa kijeshi wa iran na hii sio kitu cha ajabu mana ni mpango wa US,
kwanini nasema ni mpango wa US?

US huwa anaitisha makubaliano baina ya pande mbili, kama mna mzozo na pia upande ulio pamoja na US hutumia fursa hii kukushambulia kwasabu unakuwa umejisahau unaamini kuna makubaliano ya Amani,
hii ilianza kufanywa na Eukraine kupiga ndege za kivita za Russia baada ya US kuitisha mazungumzo.
Na ndivyo ilivyofanywa na israel kuua viongozi wa juu kijeshi wakati negotion zimekubalika kufanyika.
Israel aliua viongozi wa Iran from within, yaani mashambulizi mengi yalifanywa na mosad kutokea ndani ya iran mana walikuwa na kambi wanazotengeneza Kamikaze drones, na walifanikiwa.

Israel akadai ana Air superiority ndani ya iran.
Ikumbukwe Air superiority ni tofauti na Air Supremacy. kwa maana air supremacy ni kwamba adui yako hajiwezi kabisa in terms of air protection. ila superiority sio kwamba ni completely unacontrol anga la Adui.

Iran walipoa na wakahidi kisasi bila kujua Israel yuko juu kwenye spying and information gathering, kwakuwa israel ndio nchi inayomiliki Spying software kama vile pegasus ambayo ni zero click.

Pegasus ikiwa kwenye device yako inaweza toa location uliyopo nk lakini inahitaji real time feed ambazo zinatumia internet, kwahiyo baada ya Iran kuzima internet Israel akapoteza real time feed.

PrSM zinahitaji geolocation ya sehemu target ilipo kwa kutumia Military grade satellite, kwahiyo baada ya Iran kuzima internet, israel kapoteza uwezo wa kufanya geolocating, ili afanye precision strike mana anategemea GPS na Inertia sensors ambazo pia alikuwa anategemea Apps kama vile Whatsapp na instagram zimpe real time feed.

Leo hii Israel analia na anajutia kwa kujifanya daudi ampige Goliati.
Tunakoelekea ni kugumu mno bila karata ya trump ambae nae anataka ajichanganye.
Hizi ni kelele kama zilivyo kelele nyingine. Maana hakuna chochote ulichokiandika kilicho na ushahidi wa uhalisia.
 
Iran kama anajiamini awashe internet na usiku asizime taa😇 aone shughuli ya watoto wa nchi ya ahadi
 
Back
Top Bottom