Baada ya Iran kuzima internet, Israel wanazidi kugeuzwa kuwa Gaza, ssbabu hii hapa…

Iran kama anajiamini awashe internet na usiku asizime taa😇 aone shughuli ya watoto wa nchi ya ahadi
Israel ya ahadi sio akina Netanyahu, ndio tatizo la kumpa mtoto wako apewe elimu na adui yako.

Kwa akili yako ndogo israel ya netanyahu nchi yenye miaka 77 inaweza ifuta Iran nchi yenye miaka zaidi ya 6000 ?
 
Ila hii vita inatumia akili mingi sana. Can you imagine Kenya wapigane na Malawi halafu mabomu yapite juu Tanzania, hahaha
Uwezo huo bado mkuu, kama navigation satellite tu kipengele, tutatumia GPS ya nani, mana Iran ana Mabomu yenye error ya 3 metre, yani likikosea kutua lilipodhamilia linakosea kwa mita tatu, sasa mita tatu ballistic missile hata ingekuwa ni mitre 50 nado ni lazima likuue.
 
awa israel wamekuwa washenzi sana acha saizi wachakazwe ipasavyo
Yaani mnaoichukoa Israel mna kazi sana. Yaani in short Iran lazima apigwe na kupigika, hii ni historia na maandiko! Mungu wa Israel ni Mkuu na ana nguvu. Poleni sana wenye huo upande wa mungu asiye na nguvu
 
Israel ya ahadi sio akina Netanyahu, ndio tatizo la kumpa mtoto wako apewe elimu na adui yako.

Kwa akili yako ndogo israel ya netanyahu nchi yenye miaka 77 inaweza ifuta Iran nchi yenye miaka zaidi ya 6000 ?
Hahahahahahaha,hata Iran yenye miaka 6000 Sio hiyo ya kina ayatollah Khomeini. Ukizungumzia historia Israel Haina miaka 66. Unless otherwise umesha pick upande na umeamua kuuudefend kwa nguvu zako zote
 
Screenshot_20250621_103611_Facebook.jpg
 
Yaani mnaoichukoa Israel mna kazi sana. Yaani in short Iran lazima apigwe na kupigika, hii ni historia na maandiko! Mungu wa Israel ni Mkuu na ana nguvu. Poleni sana wenye huo upande wa mungu asiye na nguvu
mi mkristo mzee ila israel raundi hii acha achakazwe
 
Hahahahahahaha,hata Iran yenye miaka 6000 Sio hiyo ya kina ayatollah Khomeini. Ukizungumzia historia Israel Haina miaka 66. Unless otherwise umesha pick upande na umeamua kuuudefend kwa nguvu zako zote
Gt9BFLoWAAAW6td.jpeg

Iran itaendelea kuwarudishia watu wenu, kwa njia yeyote
 
Imani ni kilevi, tumia akili yako kupima mambo, hata huyo Israeli anajilinda kwa Iron dome sio damu ya Yesu.
Ya kaisari mupe kaisari na ya Mungu mupe Mungu, ila sisi hii vita tumempa kaisari
 
Mbona ni afadhali aliyeleta hizo picha ana reference na source kuliko wewe unayeropoka tu ya moyoni mwako?
Ndio nyinyi vilaza kila kilicho wekwa mtandaoni mnaamini ukweli
Ushamba mzigo
Reference na Source ndio hizo picha ?
 
Nikisemaga wale sio waisraeli walioongelewa kwenye biblia watu wanakaza fuvu, taifa teule haliwezi kuua watoto wasio na hatia, Tena Bora waliokufa waliobaki yatima ndio wanatia huruma mtoto mdogo hajui hata kunawa uso, anaachwa peke yake.
Mi mkristo kwa dini ila sio Imani nasema wapigwe tu mpaka washike adabu, ili huko mbeleni watu wajue Myahudi wa kweli ni nani.
Iran yeye anaua miti na mapapai Israel?
Iran angekuwa ni mwema sana angekuwa anapiga pale Israel inapopiga yaani Israel yeye analipua vinu vya nyuklia, wanajeshi, makanda na makambi ya jeshi.
Kurusha makombora 100 kwenda Israel ni kwamba unataka uuwe mpaka watoto.
Iran akiua ameua makafiri, ni sawa kwa upande wa Quran ila Myahudi akiua, yeye kaua binadamu anayepaswa kuishi na ni bora kuliko wengine.
 
View attachment 3377168

Kwanza tuelewe kitu kimoja kuhusu PrSM (Precision strike Missile)
Israel aliua viongozi wa juu wa kijeshi wa iran na hii sio kitu cha ajabu mana ni mpango wa US,
kwanini nasema ni mpango wa US?

US huwa anaitisha makubaliano baina ya pande mbili, kama mna mzozo na pia upande ulio pamoja na US hutumia fursa hii kukushambulia kwasabu unakuwa umejisahau unaamini kuna makubaliano ya Amani,
hii ilianza kufanywa na Eukraine kupiga ndege za kivita za Russia baada ya US kuitisha mazungumzo.
Na ndivyo ilivyofanywa na israel kuua viongozi wa juu kijeshi wakati negotion zimekubalika kufanyika.
Israel aliua viongozi wa Iran from within, yaani mashambulizi mengi yalifanywa na mosad kutokea ndani ya iran mana walikuwa na kambi wanazotengeneza Kamikaze drones, na walifanikiwa.

Israel akadai ana Air superiority ndani ya iran.
Ikumbukwe Air superiority ni tofauti na Air Supremacy. kwa maana air supremacy ni kwamba adui yako hajiwezi kabisa in terms of air protection. ila superiority sio kwamba ni completely unacontrol anga la Adui.

Iran walipoa na wakahidi kisasi bila kujua Israel yuko juu kwenye spying and information gathering, kwakuwa israel ndio nchi inayomiliki Spying software kama vile pegasus ambayo ni zero click.

Pegasus ikiwa kwenye device yako inaweza toa location uliyopo nk lakini inahitaji real time feed ambazo zinatumia internet, kwahiyo baada ya Iran kuzima internet Israel akapoteza real time feed.

PrSM zinahitaji geolocation ya sehemu target ilipo kwa kutumia Military grade satellite, kwahiyo baada ya Iran kuzima internet, israel kapoteza uwezo wa kufanya geolocating, ili afanye precision strike mana anategemea GPS na Inertia sensors ambazo pia alikuwa anategemea Apps kama vile Whatsapp na instagram zimpe real time feed.

Leo hii Israel analia na anajutia kwa kujifanya daudi ampige Goliati.
Tunakoelekea ni kugumu mno bila karata ya trump ambae nae anataka ajichanganye.
1. Kuzima internet maana yake ni kichapo kimezidi ili wananchi wasitoe taarifa kinachoendelea au mashirika ya habari yasipate kinachoendelea Iran. Kwenye uchaguzi baadhi ya nchi huzima internet, maana yake unajua?
2. Wahusika wasipatikane maana njia ya habari kwa urahisi ni internet. Waliokwenye orodha ya kuuwawa ili wasipatikane.
Utazimaje internet?😁😁😁
Muisrael anapanda ndege, anaingia Iran inafanya mashambulizi halafu anarudi😁😁😁
Muiran yupo Iran, amejificha kwenye mapango huku amezima internet anabonyeza kitufe cha mabomu kuelekea Israel. 😁😁😁😁
Mtu anawezaje kuingia kwenye anga lako afanye anavyotaka? Unawezaje kuwa na akili ya kutengeneza mabomu halafu ndege ukashindwa kutengeneza? Hayo mabomu anayorusha Iran, unafikiri Israel hana? Kama ndege inaingia Iran, ushajiuliza Israel naye akarusha mabomu 100 kwenda Iran unategemea nini?
Israel yeye anataka kuuangusha utawala wa Iran na siyo kuua raia ndiyo ujue raia wa Gaza wanastahili wanachokipata
 
View attachment 3377168

Kwanza tuelewe kitu kimoja kuhusu PrSM (Precision strike Missile)
Israel aliua viongozi wa juu wa kijeshi wa iran na hii sio kitu cha ajabu mana ni mpango wa US,
kwanini nasema ni mpango wa US?

US huwa anaitisha makubaliano baina ya pande mbili, kama mna mzozo na pia upande ulio pamoja na US hutumia fursa hii kukushambulia kwasabu unakuwa umejisahau unaamini kuna makubaliano ya Amani,
hii ilianza kufanywa na Eukraine kupiga ndege za kivita za Russia baada ya US kuitisha mazungumzo.
Na ndivyo ilivyofanywa na israel kuua viongozi wa juu kijeshi wakati negotion zimekubalika kufanyika.
Israel aliua viongozi wa Iran from within, yaani mashambulizi mengi yalifanywa na mosad kutokea ndani ya iran mana walikuwa na kambi wanazotengeneza Kamikaze drones, na walifanikiwa.

Israel akadai ana Air superiority ndani ya iran.
Ikumbukwe Air superiority ni tofauti na Air Supremacy. kwa maana air supremacy ni kwamba adui yako hajiwezi kabisa in terms of air protection. ila superiority sio kwamba ni completely unacontrol anga la Adui.

Iran walipoa na wakahidi kisasi bila kujua Israel yuko juu kwenye spying and information gathering, kwakuwa israel ndio nchi inayomiliki Spying software kama vile pegasus ambayo ni zero click.

Pegasus ikiwa kwenye device yako inaweza toa location uliyopo nk lakini inahitaji real time feed ambazo zinatumia internet, kwahiyo baada ya Iran kuzima internet Israel akapoteza real time feed.

PrSM zinahitaji geolocation ya sehemu target ilipo kwa kutumia Military grade satellite, kwahiyo baada ya Iran kuzima internet, israel kapoteza uwezo wa kufanya geolocating, ili afanye precision strike mana anategemea GPS na Inertia sensors ambazo pia alikuwa anategemea Apps kama vile Whatsapp na instagram zimpe real time feed.

Leo hii Israel analia na anajutia kwa kujifanya daudi ampige Goliati.
Tunakoelekea ni kugumu mno bila karata ya trump ambae nae anataka ajichanganye.
Stori za vijiweni hizi.
 
Back
Top Bottom