kuimarisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanzania na Ireland kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na maendeleo

    Tanzania na Ireland zimeazimia kuimarisha ushirikiano katika nyanja mbalimbali za maendeleo na uchumi ili kukuza uhusiano wa kidiplomasia, biashara, na uwekezaji kati ya Nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa mazungumzo rasmi kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
  2. Tanzania na EU kuendelea kushirikiana kuimarisha amani na usalama Maziwa Makuu

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Ulaya katika Ukanda wa Maziwa Makuu, Bw. Johan Borgstam, katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam. Katika mazungmzo yao Viongozi...
  3. ACT yaitaka serikali kuimarisha utoaji wa mikopo kwa walemavu

    Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuhakikisha kuwa utoaji wa mikopo kwa wananchi unazingatia makundi yote, hususan watu wenye ulemavu, bila ubaguzi. Kauli hiyo imetolewa siku ya Alhamisi na Katibu Mkuu wa ACT...
  4. Tanzania na Vietnam kuimarisha ushirikiano kwenye biashara, kilimo na uwekezaji

    Tanzania na Vietnam kuimarisha ushirikiano kwenye biashara, kilimo na uwekezaji Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Viet Nam, Mhe. Le Thi Thu Hang...
  5. Watuamiaji wengi hapa bongo wa viagra wanadhani kuwa itawasaidia kuchelewa kumwaga na kuimarisha munkali lakini inaboresha uwezo wa mtalimbo kusimama

    Unapaswa kujua kwamba Viagra haiongezei libido au kushughulikia sababu za kisaikolojia zinazokusababishia uwezo mdogo wa kudinda. Viagra (sildenafil) haikufanyi "udumu zaidi" moja kwa moja kwa maana ya kuchelewesha kumwaga au kuongeza muda wa kujamiiana. Kazi yake ya msingi ni kuwasaidia...
  6. Napendekeza njia hii itumike ili kuimarisha maadili mema nchini

    Badala ya kuotesha majani halafu tuzuie mbuzi wasile ni bora tusioteshe majani ili hao mbuzi wasipate pakula Badala ya kuweka mianya ya rushwa kupitia katiba halafu tuzuie viongozi wasile rushwa ni bora tukaziba mianya ili hao viongozi wasipate pakulia hiyo rushwa Badala ya kuingiza mitumba...
  7. Tanzania na Hungary kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati

    Tanzania na Hungary kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ametembelea Wizara ya Nishati ya Hungary na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo anayeshughulikia pia masuala ya...
  8. J

    Tanzania na Hungary kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati itokanayo na Rasimali Maji.

    . Tanzania na Hungary kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati itokanayo na Rasimali Maji. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ametembelea Wizara ya Nishati ya Hungary na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo...
  9. Wanawake Viongozi wa Simiyu Wapatiwa Mafunzo Kuimarisha Utawala Bora

    📍 WANAWAKE VIONGOZI WA SIMIYU WAPATIWA MAFUNZO KUIMARISHA UTAWALA BORA 📅 19 February 2024 | Simiyu, Bariadi – Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mery Pius Chatanda, ameongoza ufunguzi wa mafunzo maalumu kwa wenyeviti wa mitaa, vijiji na vitongoji kutoka mkoa wa...
  10. Haya sasa Wacha niwafundishe chap jinsi ya kuimarisha na kupandisha " Nyota" za watoto WENU kuanzia wakiwa wadogo

    Ukienda kwenye vilinge vya waganga wa kienyeji, vibaraza vya maostaz, na makanisa ya mitume na manabii utakutana na idadi kubwa sana ya watanzania wanaenda kusafisha, kupandisha, kufufua, kufungua nyota zao etc, whichever come first . Ukichunguza vizuri nini kimewafanya waone kwamba " nyota"...
  11. Pre GE2025 Balozi Nchimbi: CCM kuendelea kuimarisha ushirikiano wa ndani na nje

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesisitiza dhamira yake ya kuendeleza na kuimarisha ushirikiano wa ndani na kimataifa chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. CCM ambacho ni chama tawala nchini kimeeleza kuwa kitasimamia Serikali...
  12. Namna Ya Kuimarisha Mapenzi Katika Urafiki Wa Kawaida

    Hapa nazungumzia kuimarisha mapenzi katika mahusiano ya kawaida au kwa namna nyingine mahusiano ambayo sio ya kimapenzi Kwanza ni kuonyesha unavutiwa na mambo ya rafiki zako au watu ambao huwa mnakuwa pamoja,nikwambie kitu expert? Hakuna watu ambao hawapendi kujua kwamba upo interested na...
  13. “Klabu ya Uzalendo: Daraja la Kuimarisha Maadili, Mshikamano, na Uongozi wa Kesho”

    Ndugu wanajamii, Katika mazingira ya sasa, uzalendo na maadili ya Taifa yamekuwa masuala muhimu sana yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa bidii, hasa miongoni mwa vijana. Kama taifa, tunahitaji kizazi kinachothamini maadili, mshikamano, na uwajibikaji kwa maendeleo ya jamii. Kutokana na hali hii...
  14. Klabu ya Uzalendo: Daraja la Kuimarisha Maadili, Mshikamano, na Uongozi wa Kesho

    Ndugu wanajamii, Katika mazingira ya sasa, uzalendo na maadili ya taifa yamekuwa masuala muhimu sana yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa bidii, hasa miongoni mwa vijana. Kama taifa, tunahitaji kizazi kinachothamini maadili, mshikamano, na uwajibikaji kwa maendeleo ya jamii. Kutokana na hali hii...
  15. Uhasama wa kisiasa, kugawanyika na kusambaratika kwa CHADEMA kutaimarisha vyama vingine vya siasa nchini

    Ni wazi matokeo yoyote ya ushindani, minyukano na uhasama wa kisiasa baina ya viongozi wanao gombea nafasi ya uenyekiti wa Chadema Taifa, kutaidhoofisha chadema yenyewe na kuimarisha vyama vingine vya siasa nchini, ikiwa ni pamoja na chama tawala. Hakuna atakaeshinda uongozi wa chadema Taifa...
  16. Unadhani ni kwanini uchaguzi wa chadema wa mwaka huu ni baina ya wanaokusudia kuibomoa chadema dhidi ya wanaokusudia kuijenga na kuimarisha chadema?

    Ni wazi kuelekea uchaguzi wa chadema ngazi ya Taifa, kuna wagombea wasio wazalendo, makuwadi wa mabenyenye ya magharibi, wanaokusudia kuigawanya, kuisabaratisha na kuipoteza kabisa chadema kwenye medani ya siasa kwa makusudi, kwasababu za tamaa zao, ubinafsi, uchu wa madaraka na vyeo, unafiki na...
  17. Gissima Nyamo-Hanga: Gridi za Tanzania na Kenya kuimarisha upatikanaji wa umeme nchini

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Gissima Nyamo-Hanga amesema kuimarika kwa mfumo wa Gridi za Umeme za Tanzania na Kenya kutasaidia kuimarisha upatikanaji wa umeme katika ukanda wa Kaskazini Mashariki mwa Afrika . Gissima ameyasema hayo Desemba 20,2024 wakati wa Ziara...
  18. Jenista Mhagama & NHS ya Uingereza Wajadili Namna Bora ya Utoaji Bima ya Afya kwa Wote Nchini

    Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama akiambatana na ujumbe wake kutoka Tanzania akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bw. Ismail Rumatila, Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu pamoja na wataalam wengine wamekutana na uongozi wa 'National Health Services' (NHS) ikiwa ni muendelezo wa...
  19. S

    Habari Njema: TRC wanapanga kuweka injini za Diesel kuimarisha huduma

    Habari wanajamvi, Natumaini mmeamka salama na wenye afya tele. Ijumaa hii na iwe mbaraka kwako. Jumatano mbili zilizopita nilitoka dar-es-salaam kuja Moro. Sasa, siku kabla treni iliniacha. Nilichelewa kwa dakika mbili (treni ilipaswa kuondoka saa 10 kamili. Nlifika 9.57, nkakuta milango ya...
  20. LGE2024 Mwanza: Askari wa Jeshi la Polisi Wafanya doria kuimarisha Usalama wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu Hizi ni picha mbalimbali zikiwaonyesha askari wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza wakifanya doria katika maeneo mbalimbali ikiwa ni kuimarisha hali ya ulinzi na usalama mkoani humo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…