kuingiza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baada ya Vyama vya Ukombozi kuziharibu nchi zao kwa kuingiza siasa kwenye Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Kagame avifundisha nini maana ya Uongozi!

    Kwa wataalam wa masuala ya Ulinzi na Usalama aibu waliyoipata SADC baada ya Mission yao kufeli nchini Congo DRC, sio jambo lililotokea kwa bahati mbaya. Baada ya kuingia siasa za ushindani kusini mwa Bara la Afrika, Vyama vinavyofahamika kama vyama vya ukombozi ambavyo vingi vinatawala nchi za...
  2. FIFA waifungie TFF kwa kuingiza siasa kwenye mpira

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kwa hakika, TFF ndio wanaoharibu mpira wa nchi hii kwa kuingiza siasa ndani yake. Kwa mujibu wa sheria za FIFA, ni marufuku mashirikisho ya mpira ambayo ni wanachama wa FIFA, ikiwemo TFF, kuingiza mambo ya siasa kwenye mpira. Kuna matukio kadhaa...
  3. K

    Naomba nifundishwe namna ya kuingiza pesa nikiwa na akaunti ya TikTok

    Naomba msaada wenu namna ya Kupata pesa kutokana na kuwa na acc. Ya TikTok pia umuhimu wa live chat.
  4. Tanzania namba 3 kuingiza nguo za mitumba Afrika, yatumia Sh379.9 bilioni

    Tanzania imetajwa kushika nafasi ya tatu ndani ya Bara la Afrika kwa kuingiza nguo za mitumba katika mwaka 2022, ripoti ya tovuti inayojihusisha na masuala ya biashara Observatory of Economic Complexity (OEC) inaeleza. Kwa mujibu wa tovuti hiyo, Tanzania ilitumia Sh379.921 bilioni kuingiza nguo...
  5. Jamaa kaniwahi kuingiza vocha yangu, hadi tumepigana

    Leo nipo zangu kwenye daladala na kavocha kangu ka 500 nimeshakwangua tayari kwa kuingiza. Wakati naingiza nilikuwa nahangaika maana kioo changu hakitachi vizuri. Jamaa wa jirani akawa anainakili fasta na kaiingiza. ilipokataa nikamdaka fasta meseji imeingia. Kwakifupi tumepigana, nimemng'oa...
  6. CAF yazuia Mashabiki Sfaxien Kwenye Mechi dhidi ya Simba

    Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa adhabu kwa klabu ya soka ya Sfaxien kufuatia vurugu zilizoibuka baada ya mchezo dhidi ya Simba. Pia, wameadhibiwa kwa kitendo cha mashabiki wao kutupa mafataki uwanjani kwenye mchezo dhidi ya Cs Constantine. Hivyo, watacheza mechi mbili za nyumbani bila...
  7. L

    Serikali iwe Makini Na Lissu ili Asije Fanya utakatishaji wa pesa na kuingiza Pesa Chafu Nchini Kwa ajili ya kuvuruga Amani ya Taifa letu

    Ndugu zangu Watanzania, Serikali yetu kupitia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kupitia idara zake zote za usalama.ziwe macho na kuwa karibu sana na lissu na kumfuatilia nyendo zake pamoja na Mambo yake yote. Kwa kuwa ni wazi lissu anatambua na kufahamu wazi kabisa hawezi kupita na...
  8. "Ball Boys" ni chaka jipya la kuingiza ushirikina viwanjani

    Kuna jambo limenishangaza jana la kitendo cha ball boys kuiba begi la golikipa wa TP Mazembe na kukimbia nalo. Kilichonishangaza zaidi ni kitendo cha Rais wa Yanga Hersi Said ambaye pia ni kiongozi anayetafuta heshima Afrika akiwa anashikilia cheo cha Mwenyekiti wa Taasisi ya Vilabu kuwapongeza...
  9. Nimempa mwanamke wangu mchongo wa kuingiza elfu 50 kila siku na bado ananiomba hela za matumizi

    Naona mahusiano haya yatanishinda, asubuhi kaamka anataka nimtumie hela anunue gesi, mchana kanitumia meseji tena anataka nimsaidie kulipa ada ya chuo saa hizi anataka hela ya kwenda kusuka Nimewaza na kuwazua sijamuelewa ikiwa kazi anafanya ya serikali na kuna mchongo nimemconnectia anapiga...
  10. Ni muda sasa BAKITA kuingiza neno "MBUSUSU" kwenye msamiati: Tumechoka kujieleza

    Kama ilivyojadi kwa manguli wa tasnia ya lugha mbalimbali ulimwenguni, ni kawaida kila mwisho wa mwaka kuingiza misamiati mipya katika lugha zao ili kuendelea kukuza na kuhuisha lugha zao asilia ili zisimezwe na lugha za kigeni. Ni muda sasa tuanze kuingiza misamiati kama Mbususu, Winga, Kwa...
  11. Je hii ni njia mpya ya kuingiza kipato? Makato ya kushtukiza katika simu

    Habari zenu? Natumaini wote mko salama. Je, hii ni njia mpya ya kutengeneza kipato? Is this a new hustle? Mara kadhaa imewahi kunitokea katika simu nakuta hela inakatwa, kama vile nimeongeza vocha halafu nataka kuunga kifurushi naambiwa salio halitoshi. Kipindi cha nyuma nilikuwa nasamehe...
  12. G

    Gharama nafuu sio unafuu wa maisha, heri mji wenye gharama kubwa utazoweza kumudu kuliko mji wenye gharama nafuu utazosota kumudu

    Kigezo cha kusema kwamba sehemu ina maisha nafuu kwasababu vitu vyake ni gharama nafuu ni dhaifu with a few exceptions. Kila mkoa / nchi ina system yake kwenye matumizi na kipato, ni jambo la kuzingatia sana hasa kwa wale wanaojitafuta. Unaweza kuwa sehemu kama Mbeya, ni mkoa unaosifika kwa...
  13. Mbinu mpya ya CCM kuingiza kura fake vituoni ni kutumia Plice na magari yao.

    CCM ni sawa na yale magenge ya Madawa za kulevya kule Mexco, ambako kila mbinu ikijulikana huingia chimbo na baadae kuja na mbinu mpya ya kusafirisha Dawa za kulevya. CCM baad ya kugundua mbinu nyingi za wao kuiba kura hasa kura fake zinajulikana now day sana wanatumia police hao hao kuiba...
  14. Umechoka Kuajiriwa? Hizi Ndo Njia za Kuingiza Pesa Ukiacha Kazi

    Watu wengi wanapata changamoto kubwa kwenye kazi zao za kuajiriwa — presha nyingi, malipo yasiyokidhi mahitaji, au kukosa muda wa kufurahia maisha yao. Umefikia hatua ambapo kila siku ya Jumatatu unahisi uzito wa kuamka, unaishi kwa kusubiri weekend, na unaota kuhusu siku moja kuacha kazi na...
  15. Geita: Anthony Mavunde aahidi kuingiza Tsh. Trilioni 1 Katika Mfuko wa Serikali kutoka Sekta ya Madini

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amezungumza mbele ya Rais Dkt. Samia Suluhu kwenye ufunguzi wa Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji katika Sekta ya Madini leo tarehe 13 Oktoba, 2024, mkoani Geita. amesema kuwa Wizara ya Madini imejipanga kuingiza Tsh. trilioni 1 kwenye mfuko wa...
  16. I

    Naomba Ushauri: Nifanye nini niweze kuingiza Pesa kwa kutumia huduma za Intaneti? Isiwe Betting au Forex

    Wakuu. Natamani kuingiza hela kwa upande wa internet naombeni msaada kwa wabobevu hata elfu 5 kwa siku Toa Forex, betting
  17. Israeli yatangaza rasmi kuingiza majeshi nchini Lebanon upande ya kusini. Nini kitajiri baada ya hatua hii ngumu ya Israeli?

    Marjayoun- Lebanon. Kifaru cha jeshi la Israeli kilifanya doria kwenye mpaka wa Israeli na Lebanon mapema leo asubuhi. Picha na Aya Margolin wa Flash90 Israeli imetangaza kuingiza majeshi yake upande wa kusini mwa Lebanon na kuliweka eneo hilo chini ya jeshi la IDF yaani "military Zone". Hatua...
  18. Nawezaje kuingiza pesa kwa kuwa na muandishi wa habari wa kujitegemea

    Mdogo wangu ni muandishi wa habari wa kujitegemea, ana online TV, YouTube channel Anawezaje kutengeneza pesa kwa kutumia karama yake ya uandishi wa habari wa kujitegemea. Wenye ABC naomba....
  19. Msaada kwenye tuta: Naomba Kujua software inayotumika kuingiza maneno ( KUTAFSIRI) video iliyo kwenye lugha nyingine inaitwaje?!

    Kichwa Cha habari hapo wakuu kinajieleza nataka Kujua Hawa wakina Mpemba og, side kama side Huwa wanatumia software gani kuingiza maneno Yao ?!? Nawasilisha swali na kama hujui kama Mimi Kaa kimya .
  20. Sasa unaweza kuingiza kipato kwa kufanya tasks ndogo itakayo kugarimu dk 2 pekee kukamilisha approximately 50$-500$

    Tarehe 14 mwez huu ndo ile siku ya kuvuna tulichopanda. Siku zimebaki chache usiache fursa hii ikupite ni rahisi sana huhitaji pesa wala hakuna atakaekuomba pesa Mahitaji Telegram Muda wako Dk 2 tu kufanya task ndogo Then subiri tarehe 14 August tufurahi pamoja. Nitakupa link lakin kabla...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…