Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi bilioni 31.41 kwa ajili ya utekelezaji wa mpango wa matengenezo ya kilomita 66.5 za Barabara Kuu ya Gehandu–Babati, yenye urefu wa jumla wa kilomita 105.5. Barabara hiyo ni kiungo muhimu cha usafiri kati ya Mkoa wa...
Kuna sintofahamu imeibuka baada ya Greda la Manispaa ya Moshi alilokuwa akilitumia mbunge wa jimbo la Moshi mjini ,Ibrahim Mohamed Shayo kukarabati barabara za pembezoni mwa jimbo lake kudaiwa kuwa bovu hali ambayo imemfanya mbunge huyo kushindwa kuendelea na ukarabrati wa barabara hizo ...
Hii ni barabara inayounganisha Kata ya Kandawale na Njinjo na kuelekea Kilwa-masoko(wilayani).
Barabara hii inahudumiwa na TARURA lakini kwenye uhalisia haipati huduma ya kuboreshwa miaka 10's sasa mbali na mchango mkubwa wa mapato tunaochangia wananchi wa kata hii kupitia mazao tunayolima...
Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kutumia kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 30 kwa ajili ya ukarabati wa barabara muhimu za maeneo mbalimbali nchini zilizoharibiwa na mvua.
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametoa taarifa hiyo akiwa mkoani Morogoro alikoenda kwa dharura baada ya...
NAIBU WAZIRI KATIMBA: SERIKALI ITAENDELEA KUTENGA FEDHA YA KUKARABATI BARABARA KOROFI NCHINI
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali itaendelea kutenga fedha ya ukarabati wa barabara korofi nchini zilizoathiriwa na Mvua za El - Nino...
Wakuu salam,
Kila ikifika kipindi cha mvua ndio serikali huwa inashtuka kuanza kukarabati mitaro na njia na hapo ni baada ya kuwa mvua iliyoshinda siku mmoja imefanya mitaro ifurike na baadhi ya barabara kushindwa kufikika baada ya maji kujaa.
Pia soma: KERO - Shukran DAWASA kurekebisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.