kukarabati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unaidhinisha zaidi ya Bilioni 30 kukarabati uwanja alafu haufuatilii unaendelea na shughuli zako.Huyo ndiye Mgombea anayeomba kurudi ikulu

    Watanzania wanakabwa kulipa kodi kila sehemu kodi, Ukigeuka kushoto kodi, Kulia kodi mpaka vichwa vinawauma! Wamam wajane, masikini waliofutiwa bima ya afya kwa watoto wao, Walionyimwa madawati na elimu bora kwa watoto wao. Wakulima wanaotozwa kodi na ushuru wa kila aina wanaposafirisha na...
  2. Unaidhinisha zaidi ya Bilioni 30 kukarabati uwanja alafu haufuatilii unaendelea na shughuli zako.Huyo ndiye Mgombea anayeomba kurudi ikulu

    Watanzania wanakabwa kulipa kodi kila sehemu kodi, Ukigeuka kushoto kodi, Kulia kodi mpaka vichwa vinawauma! Wamam wajane, masikini waliofutiwa bima ya afya kwa watoto wao, Walionyimwa madawati na elimu bora kwa watoto wao. Wakulima wanaotozwa kodi na ushuru wa kila aina wanaposafirisha na...
  3. TANROADS yaagizwa kusimamia Wakandarasi wanaojenga na kukarabati Miradi ya Maendeleo kwa Jamii (CSR) kujenga kwa kiwango

    Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ameuagiza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuwasimamia Wakandarasi wote wanaojenga na kukarabati miradi ya maendeleo kwa jamii (CSR) hapa nchini ili iweze kukamilika kwa ubora. Mhandisi Kasekenya, ametoa agizo hilo Mkoani Kigoma leo...
  4. Kwa jinsi Rwanda anavyojenga na kukarabati kwa kasi viwanja vyake vya mpira wa miguu, ni kama kuna kitu wanajua kitatokea kuelekea AFCON 2027

    Rwanda nadhani kuna nchi wameisoma inaweza kutema au kutemeshwa tenda ya AFCON 2027. Rwanda wanakarabati na kujenga viwanja kwa kasi kubwa sana. Juzi ninemsikia Waziri wa Michezo Mh. Ndumbaro, sikumuelewa, anasema iwanja wa taifa unaingiza watu karibu 60,000, lakini anasema wameagiza viti...
  5. Zainab Katimba: Serikali Itaendelea Kukarabati Shule Kongwa

    MHE. KATIMBA - SERIKALI ITAENDELEA KUKARABATI SHULE KONGWE Serikali imeendelea kutenga fedha za ukarabati wa shule chakavu nchini zikiwemo shule za msingi katika Vijiji vya Kalundi, Lyapinda na Londokazi kadri ya upatikanaji wa fedha. Hayo yamesemwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi...
  6. Mabilioni yaliyomwagwa kukarabati uwanja wa Mkapa mbona bado uwanja mbovu?

    Zaidi ya mwaka sasa umepita, Tangu uwanja wa Mkapa ulipoanza kufungiwa mara kwa mara kwa ajili ya marekebisho na kupelekea baadhi ya mechi muhimu kuahirishwa kwa zaidi ya mwaka sasa. Kwa kipindi chote hicho, na kwa mabilioni yaliyomwagwa pale, Tulitarajia uwanja angalau uwe Pitch yenye quality...
  7. Naibu Waziri Katimba: Serikali Itaendelea Kutenga Fedha ya Kukarabati Barabara Korofi Nchini

    NAIBU WAZIRI KATIMBA: SERIKALI ITAENDELEA KUTENGA FEDHA YA KUKARABATI BARABARA KOROFI NCHINI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali itaendelea kutenga fedha ya ukarabati wa barabara korofi nchini zilizoathiriwa na Mvua za El - Nino...
  8. Serikali Kukarabati Madaraja Yaliyoharibiwa na Mvua

    SERIKALI KUKARABATI MADARAJA YALIYOHARIBIWA NA MVUA. Naibu Waziri, Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa -TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali inatambua umuhimu wa miundombinu ya Madaraja na inaendelea na urekebishaji wa madaraja yote ambayo yaliharibiwa na mvua...
  9. Bilioni 19.7 kukarabati uwanja wa Uhuru

    Zoezi la utiaji saini mkataba wa kukarabati uwanja wa Uhuru uliopo Dar es Salaam baina ya serikali na mkandarasi kutoka China. Ukarabati huu unatarajiwa kufanyika kwa muda wa miezi 12 na utagharimu kiasi cha shilingi bilioni 19.7.
  10. Rais Samia Anaendelea Kuwezesha Fedha za Dharura Kukarabati Barabara Zilizoharibiwa

    RAIS SAMIA ANAENDELEA KUWEZESHA FEDHA ZA DHARURA KUKARABATI BARABARA ZILIZOHARIBIWA. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuipatia Wizara ya Ujenzi fedha za dharura ili kusaidia kufanya...
  11. Naibu Waziri Dkt. Dugange: Milioni 900 Kukarabati Hospitali ya Wilaya ya Mbozi

    NAIBU Waziri anayeshughulikia Afya Ofisi ya Rais-TAMISEMI , Mhe Dkt. Festo Dugange amesema Serikali katika mwaka wa fedha wa 2023/24 imetenga kiasi cha Sh Milioni 900 kwa ajili ya ukarabati wa Hospitali Kongwe ya Mbozi. Mhe. Dkt Dugange ameyasema hayo leo bungeni jijini Dodoma wakati akijibu...
  12. Halmashauri ya Jiji la Arusha Yatenga Milioni 380 Kukarabati Maeneo Yaliyoharibiwa na Mvua

    Halmashauri ya Jiji la Arusha imetenga kiasi cha Sh milioni 380 ili kurudisha miundombinu ambayo imeanza kuharibika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Arusha. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jij la Arusha, Juma Hamsini alisema hayo juzi wakati akizungumza katika mkutano wa madiwani...
  13. Serikali yasaini mkataba wa Bilioni 30 kukarabati Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Said Yakubu amesema Serikali ya [emoji1241] imetoa Tsh 30 π˜½π™„π™‡π™‡π™„π™Šπ™‰ kwa ajili ya kuufanyia ukarabati uwanja wa Mkapa. Amesema maboresho hayo yatafanyika katika maeneo ya kuchezea, vyumba vya wachezaji na kutoa viti vyote vya uwanja huo. Uwanja...
  14. Hivi Bajeti ya kukarabati viwanja vitano vya michezo tuliyopewa kwenye bajeti ya mwaka wa fedha 22/23 iliishia wapi?

    Salaam ndugu zangu, Katika bajeti ya Wizara ya Michezo mwaka jana walieleza kuwapo kwa mpango wa kuboresha viwanja vikubwa vitano vya michezo kwa kuviwekea nyasi bandia. Soma: Dkt. Mwigulu Nchemba: Viwanja vitano vya michezo vitawekwa nyasi bandia Jambo hili limeishia wapi? Au ndiyo mambo ya...
  15. DOKEZO Moshi: Wanufaika wa TASAF wanyimwa malipo yao kwa muda wa miezi mitano, watakiwa kukarabati barabara hadi zikamilike

    Wanufaika wa TASAF kutoka katika baadhi ya Kata za Machame Mashariki, pia baadhi ya kata zilizopo katika Wilaya ya Moshi na Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro wamekosa malipo yao tangu kuanza kwa mwaka huu Januari hadi sasa Mei 2023. Ndani ya hiyo kata hiyo kuna Kijiji kadhaa vikiwemo Narumu...
  16. Singida: TAKUKURU kuchunguza Ubadhirifu wa TSH. Milioni 800 za UVIKO katika kukarabati Chuo cha Ufundi Stadi Sabasaba

    Waziri Ndalichako ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kufanya uchunguzi katika chuo hicho kuangalia matumizi ya zaidi ya Sh. milioni 800 zilizotolewa kwa ajili ya ukarabati wa chuo. Ubadhirifu alioubaini ni katika ununuzi wa vifaa vya ujenzi ambavyo vimenunuliwa kwa...
  17. Q

    CHADEMA yapinga Serikali kutumia fedha za umma kukarabati viwanja vya CCM

    Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema amesema; "Tunapinga kitendo cha Serikali kutumia fedha za umma kukarabati viwanja vya michezo vinavyomilikiwa na CCM, huu ni ubadhirifu wa Fedha za umma." "CCM kama wemeshindwa kuendesha viwanja ambavyo walivipora kutoka kwenye...
  18. RC Makalla: Rais Samia atoa Tsh bilioni 28 kukarabati soko la Kariakoo

    RC MAKALLA: UKARABATI NA UJENZI SOKO JIPYA KARIAKOO KUANZA WIKI IJAYO. - Ampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutenga fedha Biloni 28 na kuwajali Wafanyabiashara - Asema Wahanga wa soko la Kariakoo Na soko Dogo watapewa kipaumbele kurejea soko litakapokamilika. - Asema Mkandarasi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…