kula nauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke ahukumiwa kwa kula nauli ya mwanaume, Nigeria

    Mahakama ya Mwanzo jijini Lagos nchini Nigeria, imemhukumu Mwanamke anayefahamika kwa jina la Jennifer kulipa faini ya ₦450,000 sawa na zaidi ya Shilingi laki 730,000 za Kitanzania baada ya kupatikana na hatia ya kupokea fedha kwa udanganyifu. Kwa mujibu wa kumbukumbu za Mahakama, Jennifer...
  2. JamiiForums Tanzania Mapenzi niue: Yule Jennifer aliyekula nauli ya Emmanuel, ahukumiwa Miaka 7 Jela

    Mwanamke mmoja wa Nigeria anayeenda kwa jina la Jennifer, amehukumiwa kifungo cha miaka 7 jela au kulipa kiasi cha 420,000 pesa za Nigeria kwa kosa la kula nauli ya mwanaume Emmanuel 30,000 ambayo alitumiwa kisha hakwenda eneoo la tukio kuonana na mwanamume huyo. Jen haamini macho yake 🤣...
  3. JamiiForums Tanzania Ahukumiwa miaka 7 jela Kwa kula nauli ya mwanaume!

    Mwanamke mmoja wa Nigeria amehukumiwa kifungo cha miaka 7 jela au kulipa kiasi cha 420,000 pesa za Nigeria kwa kosa la kula nauli ya mwanaume 30,000 ambayo alitumiwa na mwanaume Emmanuel kisha hakwenda kwa mwanamume huyo. Mwanamke huyo alishtakiwa na mwanaume ambae alituma nauli hiyo kwa kusema...
  4. JamiiForums Tanzania Ujue Mkoa ambao Wanaume wake wanaongozwa kutuma Nauli kwa Wanawake na hawaendi na Mkoa unaongoza kwa Wanawake kula Nauli walizotumiwa na Wanaume

    Wanaume wa Mkoa wa Mwanza wanaongoza kwa kuliwa Pesa za Nauli wanazowatumia Wanawake pale wanapowatongoza au kuwahitaji Kimapenzi na Wanawake wa Mkoa wa Kilimanjaro ndoyo Wanaongoza kwa kula Nauli wanazotumiwa na Wanaume ambao Wamewatongoza au wanawahiotajio Kimapenzi. Hii ni kwa mujibu wa...
  5. JamiiForums Tanzania Natumia mbinu gani kuzuia mtu asile nauli au kuuza tiketi?

    wakuu,, Kuna manzi inasema niitumie nauli ije kutoka mko x! Nawasiwasi isije nizima. Mbinu gan nitumie asile nauli wala nikimkatia tiket asiuze
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…