Jana nilikuwa Safarini kutoka Moshi Dodoma, nilipanda Bus ya Shabiby, tulipofika Babati tukashuka kula, nilipofika eneo la kuchukua chakula nikagundua Siku tatu mfulizo nimekula chipsi so siwezi kula tena chipsi nikasogea kwenye wali na Samaki nikavutiwa, nilipochukua msosi nikawaza kuchukua...