kula

Kula - kitendo cha kuingiza kitu kinywani (hasa chakula) kwa lengo la kupoza njaa
  1. M

    Tabia ya viongozi wa CCM kuwahadaa wananchi kwq kula wali maharage ni ushamba wa kisiasa.

    Watanzania wapo kwenye umasikini mkubwa. Ufisadi umekithiri alafu mnajifanya kula wali maharage
  2. Nimechoka na ndoto za kula na kufanya mitihani

    Wakuu mimi ni 26 Me, mzaliwa wa kanda ya ziwa, taaluma yangu Medical doctor degree, nimeletwa na mambo mawili; Kwanza Naota nakula sana mara nyingi ni wali na matunda na muda mwingine unajaribu kukataa kabisa ila kuna mtu anakubembeleza. Hii ya leo nimeenda sokoni nikakuta matunda mfano wa...
  3. T

    Zifahamu faida za kula Parachichi

    FAIDA ZA PARACHICHI (Faida 20 za Kula Parachichi) Parachichi ni aina ya kipekee ya tunda. Matunda mengi kwa asili ni wanga lakini parachichi limejaa mafuta yenye manufaa makubwa kiafya. Tafiti mbalimbali zilizofanyika zimebaini kuwa tunda la parachichi limesheheni manufaa makubwa katika afya...
  4. Kijana wa miaka 15 aishi miezi 10 bila kula wala kunywa chochote

    Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firaoni. Kijana wa miaka 15 amekaa akifanya tahajudi kwa zaidi ya miezi kumi bila kula wala kunywa chochote. Kijana huyo ameendelea kuwa hai licha ya kutokula chochote kwa muda wote huo, na ameonekana mara kadhaa akitokwa na jasho jingi.
  5. B

    Serikali ya CCM na mwendo wa kula kwa urefu wa kamba zao

    Wananchi tunalalamika na mzigo wa kodi usio wa haki. Wanaanza kudai kodi ya pango day 1 umepangisha baada ya safari ndefu Isiyowahusu wao ya ujenzi wa nyumba. https://www.jamiiforums.com/threads/wizi-wa-tra-kupitia-kodi-ya-pango.2058986/ Wao Kodi hawalipi, ila sisi. Kulikoni bus hili la...
  6. Inashauriwa kutochanganya Maziwa na Ndizi au Mayai na Kitimoto wakati wa kula

    Wataalamu wa Lishe wanashauri kutokula Mayai na Kitimoto kwa pamoja kutokana na kuwa na wingi wa Virutubisho vya Protini ambavyo husababisha Tumbo kutumia muda mrefu kumeng'enya Chakula. Inapendekezwa kula Mayai kwanza na Nyama ifuate angalau baada ya nusu saa. Matumizi ya Matunda yenye Asidi...
  7. Fahamu chakula unachopaswa kula ukiwa na zaidi ya miaka 40

    Chakula ni kirutubisho muhimu sana kwa wanadamu na maisha hayangewezekana bila lishe bora. Hata hivyo licha ya umuhimu wa lishe kwa mwili wa mwanadamu, wataalamu mara nyingi huwa wanazingatia faida za lishe bora na kiwango cha chakula ambacho mtu anapaswa kula kwa ajili ya afya yake. Wataalamu...
  8. Leo nimemnywesha haja ndogo shemeji yenu mpenda kula

    Ukimchoka mwanamke kuna njia nyingi za kumuacha, hii imefanikiwa. Hanaga mambo mengi, ye akifika gheto huwa ni kuparamia kila kinacholiwa ndio mambo mengine yaendelee. Last time aliparamia kila kilichokuwa mbele yake kama msukule, mimi huwa sipendi kumsimanga mtu kuhusu vyakula ila niliona...
  9. Kwa nini maji yanakuwa na ladha chungu ukiyanywa baada ya kula nanasi?

    Eti wakuu, kwa nini hili hutokea?
  10. Faida 13 za kula Machungwa

    Inawezekana pia hata kwa wale wanaokula, japo kidogo, hula kama kiburudisho tu bila kujua faida zake mwilini. Katika makala ya leo nitakujuza faida 13 unazoweza kuzipata unapokula chungwa, ambalo limesheheni virutubisho kibao. Kumbuka kuwa hata chungwa moja tu ukila lina kidhi yale mahitaji...
  11. Watu wa kanda ya ziwa ni warefu sababu ya kula dagaa

    Habarini. Dagaa ni chakula kimoja kinadharaurika sana na kuonekana cha kimasikini, lakini ni moja ya vyakula bora kabisa duniani. Ni hivi, mifupa ya mtu hujengwa kwa sehemu kubwa kwa Calcium. Sasa, ukiondoa maziwa, chakula kinachofuatia kwa kuwa na calcium kwa wingi ni samaki wanaoliwa na...
  12. Namna ya kula embe dodo kistaarabu

    Embe dodo ni aina ya maembe ambayo ni matamu sana. Watu wengi hawajui namna ya kula tunda hili kwa raha na kistaarabu. Leo katika uzi huu nitaeleza namna ya kula embe hili. UTANGULIZI Embe dodo linaweza kuliwa likiwa limeiva au likiwa bichi. Na wakati mwingine embe dodo likiwa bado changa...
  13. Kula matunda tu usiku ni formular ambayo haiko applicable kwa hapa kwetu Afrika

    Nilihudhuria darasa flani la mambo ya afya coz niliona mwili wangu umekua mkubwa mno so nilitaka darasa la namna ya kupunguza, moja ya masomo ilikuwa ni kula matunda tu usiku. Nimejaribu jana ila leo nimeshindwa, nimekula matunda saa 1 na nusu nikapanda bed kulala ila sasa hivi saa 3 naskia...
  14. Bajeti ya kula mbususu

    Habari zenu wakuu, naombeni mchanganuo wa bajeti ya kula mbususu kwa mwaka 2023. Kawaida bajeti yangu huwa kama ifuatavyo; 1. Kama nitaila nyumbani basi ntaiandalia zawadi ya 20,000 - 200,000 kutegemeana na uzuri wa mtoto na mnato wa mbususu. 2. Kama ntalia lodge basi hapo itaongezeka 25,000...
  15. Senegal: Mwandishi anayeshikiliwa, afya yake yawa tete baada ya kugoma kula

    Pape Ale Niang, ambaye anajulikana kwa kuandika maandiko yanayoikosoa Serikali amekimbizwa hospili kutokana na kuweka mgomo wa kula akipiga mashtaka dhidi yake. Niang alikamatwa Novemba 6, 2022 akidaiwa ‘kufichua habari zinazoweza kudhuru ulinzi wa taifa’. Alifanya mgomo wa kula Decemba 2, 2022...
  16. M

    Nataka kuwa Mtanzania wa kwanza kula nyama kwa Salt Bae

    Nataka kuweka rekodi ya kipekee ya kuwa mtanzania wa kwanza kula nyama choma kwa mchoma nyama maarufu duniani mturuki Salt Bae. Hii ni fursa ya kipekee ya kuitangaza taifa letu kimataifa. Nataka kuungana na watu maarufu duniani ambao walipata hii fursa ya kipekee na adim kula nyama choma kutoka...
  17. Kula kwa urefu wa kamba yako,hili daraja limejengwa kwa billion 31

    Daraja la kitengule ambalo linaunganisha misenyi na biharamulo ujenzi wake umegharibu billion 31 za kitanzania. Naamini hizi zitakuwa bil 31 za Zimbabwe
  18. M

    Video: Maulid Kitenge yuko Qatar kikazi ama kula bata?

    Nauliza tu yuko Qatar kikazi ama kuponda raha? Na nani anagharamikia hizi anasa? Isije kuwa tu ni kodi zetu.
  19. Hii ni kawaida kwa RAV 4 old cc 1990 kula mafuta? Naomba msaada wenu

    Yaani lita moja kwenye rough road inatembea km 5 tu, je hii ni kawaida? Pia ina tatizo la kuchelewa kubadili gia, natamani kuwapatia mafundi waicheck gear box ila wasiwasi wangu wasije wakaiua kabisa
  20. Kwanini zamani wazazi walikuwa wakitukataza kuongea wakati wa kula?

    Siku hizi Utaratibu huu naona umepotea kabisa au labda umebaki kwa Familia chache sana. Familia za sasa mkiwa Mezani mnakula ni mwendo wa kupepeta stori mpaka Msosi unaisha. Kwanini zamani hii ilionekana kuwa tabia mbaya? Nini kimebadilika?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…