Kwa wengine inawezekana ni mazoea tu. Lakini kwa upande wangu mimi, ni kwa sababu za kiusafi.
Leo, nikiwa mji fulani, niliingia kwenye mghahawa mmoja ambao kwa mji huo, ni miongoni mwa mighahawa ya hadhi, kwa ajili ya mlo wa Mchana. Mwonekano wake, huduma, bei na wateja wake inaakisi...