kuona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Aliyegundua kwamba pakiti ya condom zikae tatu nani? Nafanya utafiti wangu hapa kuona kama moja inaweza tumika bao zote

    Leo nimeamua kuendeleza utafti wangu kuchunguza nani aliyegundua kwamba lazima pakiti ya condom zikae tatu. Nahisi utafiti wake umepitwa na wakati. Kwanza Mimi mwenyewe tangu nizijue condom zijawahi kuzimaliza zote tatu. Kwanza malengo ya huyu mtu nahisi ilikuwa ni kuuwa fikra za vijana wa...
  2. AMUZZ, hii bar ambayo ipo Moshi, Kilimanjaro imenikosha sijawai kuona shangwe kama hili

    Kumbe Moshi, Kilimanjaro ndio kumewaka namna hii hakika hakuna mpinzani nimejaribu kutupia hapa vibweka vyake uploading imeshindikana ni hatari sana labda mnaweza kuchungulia insta, mimi ni mpenzi wa viwanja lakini cha namna. hata vilivyopo hapa Dar, havikamati hili shangwe! WASALAAM.
  3. Je, ni sahihi kwa mtoto mdogo kuona tupu za mzazi/wazazi wake?

    Kwa mazingira yeyote je, ni sahihi kwa "mtoto mdogo" kuona tupu za wazazi wake? Unaweza kuwa uko chumbani unavaa alafu mwanao mdogo akaingia chumbani, au unaweza kukaa bila nguo mbele ya mtoto wako mdogo? Najua kila mtu ana ufafanuzi wake kuhusu mtoto, niseme chini ya miaka 5.
  4. Kenya 2022 Kwa kawaida ya Raila Odinga,he may double-check kuona kama ameshindwa

    Tayari Raila Odinga ameanza kuongea kuhusu kwenda Mahakamani. (In fact, na majaji watakaosikiliza hiyo kesi ,ikihitajika,wametajwa) Last time Odinga aliposhindwa na Uhuru, alikwenda Uhuru Park, Nairobi,kutangazwa serikali ya wananchi. Nilikuwa nawasikia Radio One , Daressalaam,jana usiku...
  5. Manara aunga mkono Barbra wa Simba kuhudhuria mikutano ya CAF, awaambia Yanga waache kuona wivu

  6. Nafurahi kuona ligi ya Tanzania ikikua kwa kasi lakini...

    Karibuni kwenye huu mjadala. Kwa miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia kuona ligi ya Tanzania ikikua kwa kasi saaana, yote ikichagizwa na azam media kongole kwao kwa udhamini mnono. Tumeshuhudia timu Kama Simba, Yanga, Azam wakiwa na uwezo wa kung'oa wachezaji tokea mataifa makubwa tena wakiwa...
  7. Nimefanikiwa kuona jezi mpya za Simba, wameua...

    Ni jezi kali sana, nimetamani kuiweka hapa jukwaani ila maadili hayaniruhusu. Hakika Fred Vunjabei umejua kuwakosha wanasimba.
  8. KWA WAHENGA TU: Mara ya kwanza kuona TV/ Video/ Sinema ilikuwa mwaka gani na ulijisikiaje?

    Binafsi nakumbuka mara ya kwanza kuona video ilikuwa ni Late 1980"s na ilikuwa ni Sinema. Walikuja uwanjani kijijini kwetu wakihamasisha maendeleo. Waliwasha Sinema na Waliweka wimbo wa "Remmy Ongala" sikumbuki Jina ila Binafsi sikuwa najua tofauti ya Sinema na Muziki. Nikawa nacheza nikiamini...
  9. Sijawahi kuona haya mashirika ya umma yakitangaza kazi

    Hivi haya mashirika ya umma huwa yanawapataje watumishi wake, au huko kwenye hayo mashirika huwa hakuna watu wanaostaafu au kufa ili nafasi zibaki wazi?maana sijawahi kukutana na matangazo yao ya kazi kabisa 1. NSSF 2. NHIF 3. PSSSF 4. TCRA 5. WCF 6. MSD 7. TPDC 8. TIC 9. NGORONGORO CONSERVATION...
  10. M

    Kama unafanya kazi na hujawahi kuona tajiri ndani ya Tanzania achana nayo haraka tafuta kazi nyingine

    Ni kweli kabisa sifa na utu wa mtu upo kwenye kufanya kazi, lakini si kweli kila kazi inalipa , kazi nyingine zinakupotezea muda tu. Kila kazi unayoifanya jitahidi sana kuifanyia tathimini inakupa nini kwenye maisha yako. Je, inakupa pesa inayoendana na kasi na mabadiliko ya maisha duniani na...
  11. Changamoto ya kuona majina ya Sensa kwenye mitandao yetu nini tatizo?

    Mfano Majina ya Sensa yametoka kila Mkoa na wilaya na Halimashauri zake. lakini ukifungua yanakataa. Wataalamu tunaomba msaada wenu na majibu Yenu kitaalamu.
  12. Sijawahi kuona nchini yenye amani na usalama kama Zambia

    Habari zenu wana JF wenzangu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Katika zunguka zunguka yangu yote katika nchi mbali mbali nikianza na nyumbani Tanzania, kwa kweli sijawahi kuona nchi yenye amani na usalama wa hali ya juu kama Zambia. Kwa wale wenzangu waliowahi kuikanyaga nchi...
  13. M

    Injinia Hersi Said tunataka kuona 'Walk the Talk' yako katika Kuiendeleza Yanga SC yako na siyo 'Talk the Walk' tulioizoea mkiomba Kura

    Uko vizuri sana kwenye Kuzungumza, Kujisifia Kwingi na kuegemea zaidi katika 'Engineering Theories' zako ila sina uhakika kama utaweza hata kufanya 25% ya Uliyojimwambafai nayo katika Interview yako na Sports Extra ya Clouds FM jana Usiku. Kitu pekee ambacho Injinia Hersi Said umekisahau ni...
  14. Rais wa TFF Karia umefanya Kosa Kubwa kuonana na Manara na akifungiwa tegemea kuona Unafiki wake na atakavyokuchafua na TFF yako

    Rais wa TFF Wallace Karia hata kama Mhamasishaji wa Yanga SC Haji Manara aliomba 'audince' nawe ili Kukuomba Msamaha akisindikizwa na Injinia Hersi Said ulichotakiwa kufanya ni Kumkwepa 'Kidiplomasia' ila siyo kukubali Kukutana nae. Kitendo cha Haji Manara Kukaririwa tena akijigamba kabisa kuwa...
  15. Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

    Uchawi upo ndugu zangu. Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anagombea kiwanja cha babu yake yeye na mjomba wake, dogo babu yake alimkatia eneo kubwa tu na akafanikiwa kujenga. Mjomba wake akajiapiza wewe dogo si babu yako anakupenda sana sasa utaona. Hivi sasa dogo ni kichaa dah, yaani...
  16. Sakata la Wamasai Ngorongoro; Tuisaidie Serikali kuona 'Alternatives'

    Hello Great Thinkers.. HIli sakata limenisikitisha sana, Kuona Mzee mtu mzima akipigwa kwa sababu tu anatetea ardhi yake, sehemu aliyokulia na kuipenda Maisha yake yote, his livelihood kisa tu serikali imeona pana potential ya kutengeneza income is not right.. Nimeandika topic hii ili kama...
  17. J

    Nafurahi kuona kitu pekee ambacho CCM , CHADEMA, ACT Wazalendo wanakubaliana ni kuwa Magufuli hakufaa kuwa Rais wa hii nchi

    Hili lipo wazi japo CCM wamekuwa hawalisemi sana hadharani, lakini unaona marekebisho yanayofanyika na ndipo hapa ninapojivunia kuwa mtanzania, wote hatujakubali uhayawani wa yule mtu na tulifurahi sana Mungu alivyoamua kesi na bahari imetulia Pengine hata sio ndani ya Tanzania tu, nchi jirani...
  18. Nimeshangaa sana kuona mchezaji wa Wydad Casablanca anaitwa Allah

    Kumbe hili jina linaweza kutumiwa na muumini kama jina lake? Huyu ni mwenyeji wa Morocco. Na leo kwenye fainali namuona hapa. Muongozo tafadhali FaizaFoxy adriz Kisai
  19. S

    Sijawahi kuona promosheni ya safari lager hii bia ni big brand inajiuza bila kutegemea promo

    Hayo ma castle lite serengeti lite kinachowasaidia ni promosheni utakuta unaambiwa elfu 10 bia nane Safari haitegemei promo wala kushusha bei ni big brand
  20. S

    Mtazamo: Baada ya mishahara na posho za wafanyakazi kuongezwa, sitashangaa kuona mishahara na posho za wabunge nazo zikiongezwa

    Wakati mishahara na posho za watumishi wa umma zikiongezwa, akili yangu inaniambia wakati wowote sasa au baade kidogo, tutanza kuona au kusikia habari ya wabunge kuogezewa posho na mishahara.. Hoja inaweza kuanzishwa na wabunge wenyewe au serikali yenyewe ndio ikfanya hivyo na hii itakuwa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…