kupigwa risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sweden: Aliyechoma moto Quran auawa kwa kupigwa risasi

    Amani kwenu wakuu Watu wameona kuendelea kumwachia MUNGU haiwezekan wameamua watende wenyewe, maana wameona MUNGU mwenyewe hampi ukichaa yule jamaa aliye choma Quran bali anazidi kudunda na kunenepa kila siku ================== Mwanaharakati anayeupinga Uislamu Salwan Momika amepigwa risasi na...
  2. Kaka wa Tundu Lissu aibua masikitiko juu ya ukimya wa uchunguzi wa tukio la kupigwa risasi (Lissu) Dodoma

    Alute Munghwai, Kaka wa mwanasiasa maarufu wa upinzani, Tundu Lissu, ameonyesha masikitiko makubwa kuhusu ukosefu wa maendeleo katika uchunguzi wa tukio la kupigwa risasi kwa ndugu yake jijini Dodoma miaka saba iliyopita.. Akizungumza kwa masikitiko makubwa, amesema: “Ukumbuke alivyoshambuliwa...
  3. Golikipa afariki kwa kupigwa risasi akiamulia ugomvi wa mama yake

    Tukio la kusikitisha lililotokea Desemba 25 mwaka huu siku ya sherehe za Krismasi, linamuhusisha mwanasoka mdogo mwenye umri wa miaka 14, Geral Froste kupigwa risasi na kufariki. Imeripotiwa kwamba, risasi iliyokatisha ndoto za Geral Froste, ambaye alikuwa golikipa wa timu ya Montevideo City...
  4. LGE2024 Manyoni: George Juma Mohamed, Mgombea wa CHADEMA auawa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia tar 27, 11, 2024

    Mgombea kupitia Chadema wa Kitongoji cha Stand, kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni Mashariki George Juma Mohamed ameuwawa kwa kupigwa risasi ya kiuno usiku wa kuamkia leo tarehe 27 Novemba 2024, majira ya saa saba usiku nyumbani kwake. Mwili wa marehemu upo hospitali ya wilaya ya Manyoni. Pia...
  5. CCM: Tumepokea kwa mstuko mkubwa taarifa za kifo cha Christina Kibiki aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiyojulikana

    CHAMA CHA MAPINDUZI TAARIFA KWA UMMA Dodoma, Tanzania Chama cha Mapinduzi, kimepokea kwa mstuko mkubwa taarifa za kifo cha Katibu wa CCM Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa, Bi Christina Kibiki aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiyojulikana. Marehemu alikuwa anajindaa kuhudhuria Semina...
  6. Mwenyekiti wa CCM akielezea tukio la Vijana waliodaiwa kupigwa risasi na Askari Zanzibar

    Mwenyekiti wa CCM, Jimbo la Nungwi, Ali Adibu Mbwana Pia Polisi walisema gari lilikuwa halina Plate Number, mzigo huu hapa Pia soma: ~ Zanzibar: Vijana wawili wauawa na wengine 2 kuumizwa vibaya. ACT yataka Jeshi na Polisi kufanyiwa mabadiliko Kimuundo na Kiutendaji ~ Jeshi la Polisi kuunda...
  7. H

    Watu 23 wa Israel wameuawa kufuatiwa kupigwa risasi na raia wawili wa Palestina

    Raia wawili wenye silaha wanaodaiwa kuwa wametoka Palestina wamewapiga Risasi watu 23 raia wa Israel apo Jana usiku kati kati ya mji mkuu wa Israel Tel Aviv. Vyombo vya habari vya Israel vimethibitisha. Wakati huo huo Iran imerusha makombora aina ya ballastic yapatayo 300 leo usiku kama...
  8. Kesi ya Michael Clifford dhidi ya Tigo ni mkakati, kuna jambo zito ndani yake

    Kuibuka kwa suala la Tundu Lissu kupigwa risasi siku moja baada ya kuzimwa kwa maandamano ya Chadema kumetajwa kwamba ni sehemu ya njama chafu zinazofanywa na mabeberu na vibaraka wao kuleta machafuko na kuvuruga amani ili nchi isitawalike. Habari za uchunguzi zinasema, kufunguliwa kwa kesi ya...
  9. Binafsi sishangai kwa Tundu Lissu kuwa tracked, kinachonisikitisha na kunishangaza ni kwanini alipigwa risasi

    Notorious BIG aliwahi sema maneno yenye maana ifuatayo juu ya kifo cha 2pac “Sure we had our hardships, but I would never wish death upon no one. There's no coming back from that.” RIP Biggie and 2 Pac Hayo maneno haya yamebabe sababu kubwa sana kwanini hutakiwi kuua au kuombea kifo mtu yeyote...
  10. Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka

    Katika mashauri yaliyosikilizwa katika Mahakama ya ajira ya London, Uingereza, imeibuka taarifa kwamba kampuni ya mawasiliano ya Tigo ilihusika katika kutoa taarifa za simu za mwanasiasa maarufu wa Tanzania, Tundu Lissu, kwa mamlaka za serikali kabla ya jaribio la mauaji dhidi yake mwaka 2017...
  11. Mwandishi wa Jambo TV afokewa vikali kisa kuliza swali tukio la kupigwa risasi Lissu

    Mwandishi wa Jambo TV amejikuta kwenye wakati mgumu alipokuwa akimuhoji Katibu Mkuu wa Chama cha DP Abdul Mluya, muda mfupi baada ya Mluya ambaye pia ni Mwenyekiti wa umoja wa vyama 13 vilivyotoa tamko la kupinga maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA kumaliza kuzungumza na wanahabari Septemba 17...
  12. Muliro: Aelezea tukio la mhalifu kujeruhiwa kwa risasi maeneo ya Tanganyika Packers

    Kamanda wa Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam, SACP Muliro Jumanne amesema Askari wa Jeshi hilo wamemjeruhi Mtu mmoja kwa risasi katika eneo la Tanganyika Packers wakati alipokuwa eneo hilo na mwenzake wakiwapora na kuwatishia Maisha Watu waliokuwa wakipita eneo hilo kwa kutumia mapanga.
  13. Aysenur Ezgi, Mmarekani, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi kichwani na Wanajeshi wa Israel

    Wanakumbi. Aysenur Ezgi, Mmarekani mwenye hadhi ya Uturuki, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi kichwani na wanajeshi wa Israel katika mji wa Beita. Aysenur alipigwa risasi kichwani alipokuwa akishiriki maandamano ya kupinga upanuzi wa makazi. Je Joebiden ataitisha mkutano wa baraza la...
  14. Bobi Wine atoka Hospitali baada ya madai ya kupigwa Risasi katika mzozo na Maofisa wa Usalama Kampala

    Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine ameruhusiwa kutoka hospitali baada ya jana kudaiwa kupigwa risasi katika mzozano na maofisa wa usalama Mji Mkuu wa Kampala. Bobi Wine aliyekuwa amelazwa Hospitali ya Nsambya ameruhusiwa kutoka leo Jumatano Septemba 4, 2024...
  15. L

    Donald Trump Pamoja na kupigwa Risasi na Kujeruhiwa lakini hapiti kwenye vyombo vya habari kuichafua Marekani kama alivyofanya Lissu kwa Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Tuna mengi sana ya kujifunza katika tukio la kupigwa Risasi na Kujeruhiwa kwa Mheshimiwa Donald Trump,Rais Mstaafu wa Marekani na mgombea Urais kupitia chama cha Republican mwishoni mwa Mwaka huu. Imeonyesha namna wenzetu walivyo wazalendo kwa nchi zao,kukomaa...
  16. Walinzi walivyoitikia tukio la kupigwa risasi Rais Ronald Reagan wa Marekani, linganisha na tukio la Trump

    Rais wa 40 wa Marekani Ronald Reagan naye aliwahi kushambuliwa na risasi mwaka 1981, angalia secret service wake walivyo react halafu ulinganishe na hawa wa Trump waliokuwa wanaambiwa na Trump wasubiri apige picha na wao kweli wakamwachia awe exposed kichwani kupata picha tu!
  17. L

    Watanzania tumejifunza nini kupigwa Risasi na kujeruhiwa kwa Donald Trump?

    Ndugu zangu Watanzania, Sote naamini tunaendelea kufuatilia taarifa ambayo imeisimamisha Dunia nzima na kuitikisa pamoja na kuteka vyombo vyote vya habari na mitandao ya kijamii ulimwenguni kwote kunakotokana na kupigwa risasi na kujeruhiwa kwa Donald Trump Rais mstaafu wa Marekani na mgombea...
  18. USA miaka ya nyuma niliwahi kunusurika kupigwa risasi na Polisi wa Chicago

    Mnaokwenda ughaibuni nawapa muongozo usije kuwa marehemu huko. Miaka 2004 katika utafutaji wangu wa kusafiri niliingia jiji la Chicago nikiwa maeneo ya Northbrook. Kutokana na umiliki silaha kuwa mkubwa basi polisi wengi kumuamini mtu yoyote ni ngumu yaani polisi akikusimamisha na kama wewe...
  19. TANZIA Beki wa Kaizer Chiefs afariki dunia baada ya kupigwa risasi

    PICHA KUONESHA ALIYEKUWA BEKI WA KAIZER CHIEF Beki wa Kaizer Chiefs Luke Fleurs amefariki dunia kwa kusikitisha baada ya kupigwa risasi wakati wa utekaji nyara. Siwezi kuamini hili baada ya kumuona siku chache zilizopita, wakati wa huzuni ya ajabu, rambirambi zangu za dhati kwa wapendwa wake...
  20. Tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu lingefanywa na mtu wa kawaida angekuwa kashakamatwa

    Polisi ni rahisi kujua wahusika kwa haraka na wale wakongwe wa kazi za kuvunja sheria. Tuulizane sisi wana JF tukifanya matukio ambayo kama kumtoa mtu uhai siku mbili si nyingi kukamatwa ila lilofanyika pale tena sehemu za serikali mpaka leo hakuna lolote. Nafahamu maganda ya risasi yana namba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…