kusema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Webabu

    Kiongozi wa Houth atoa takwimu ya meli walizozipiga na kusema wanakusudia kupanua wigo wa kuzuia meli za Israel zisipite bahari ya hindi yote

    Abdel-Malik al-Houthi ambaye ni kiongozi wa juu wa wapiganaji wa Houth wa Yemen amesema mpaka sasa wamefanikiwa kuzishambulia meli zenye mafungamano na Israel zipatazo 73 tanguj waanze operesheni yao ya kuwatetea watu wa Palestina. Kupitia televisheni inayomilikwa na wanamgambo hao Abdel Malik...
  2. P

    Mzee Makamba aliwaza nini kusema ''Watu wazuri hawafi''?

    Hivi aliyetoa hii kauli alimaanisha nini na kwa nini? Je, waliokufa kwenye familia yake au ukoo wake wote ni wabaya? Ingekuaje watu hawa wangepewa mamlaka ya kusimamia kugawa pumzi ya uzima na hewa safi tunayopumua kila siku?
  3. GENTAMYCINE

    Waswahili bwana yaani Treni ya SGR Dar hadi Moro ni masaa 2 na dakika 20 mnafurahi na kushangilia!

    Kwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya watu wenye akili na yaliyoendelea. Yaani Dar hadi Moro zimetumika Saa 2 na dakika 20 halafu mazuzu tokea jana na leo inashangilia tu wakati kwa wenye hizo Treni za SGR katika...
  4. Teko Modise

    Jeshi la polisi laanza operesheni ya kubandua namba za magari za 3D

    Kama utani operesheni ndio imeanza usije ukasema hujaambiwa
  5. Mwamuzi wa Tanzania

    Wanawake hamna maajabu, tunatumia pesa nyingi bure!

    Mimi kama kawaida, niko upande wa wanaume na katu siachi kuwasanua wanaume wenzangu juu ya utapeli wa kingono. Hakuna maajabu. Nimefanya tendo la ndoa na wanawake wengi nimegundua kuwa hakuna jipya, wanawake ni overrated. Ukimwaga ndio utajua hili ninalolisema. Tunatumia pesa nyingi kuwinda...
  6. Miss Zomboko

    Ni muhimu kumfundisha mtoto kuwa, kila mtu ana haki ya kusema ndio au hapana pale mtu akitaka kuvuka mipaka yake binafsi

    Kila mtu ana mipaka yake binafsi yaani kwa kimombo tungeweza sema personal boundaries, ikiwemo watoto. Kuelewa na kuheshimu mipaka hii ni muhimu sana kwa maendeleo ya watoto. Mipaka inaweza kuwawezesha watoto kujifunza kufanya maamuzi binafsi na sahihi, kujieleza, na kuwasiliana vizuri na...
  7. G

    Tusikimbilie kusema fulani hapendi ndugu kisa hawapi nafasi kwenye biashara yake ama kuwapa connection ofisi aliyomo, hizi ndizo sababu kuu/

    Kuna lawama baadhi ya watu huwa tunapewa kwamba tunataka kufanikiwa wenyewe, hatupendi ndugu wafanikiwe, anataka kuonekana peke yake ndie mwenye mafanikio kwao, n.k. ni kweli kuna baadhi ya watu hufanya hivi maksudi lakini sio wote. Mtu unakuta ana kampuni yake, biashara yake ama yupo shirika...
  8. Mjanja M1

    Kijana atoa ushuhuda na kusema hatoikaribia Betting tena

    Anaandika, Mimi ni kijana wa miaka 20s+ nilifundishwa kubeti mwishoni mwa mwaka 2014 Kama Sio mwanzoni mwa mwaka 2015 nikiwa bado nasoma secondary. Kabla sijajifunza kubeti nilikua kijana mwenye akili iliyotulia,mipango inayotekelezeka na mwenye future nzuri na yenye tumaini. Lakini kadri...
  9. Mmawia

    Pre GE2025 Kauli ya Lema, Mbunge wa zamani wa Arusha juu ya Makonda inafikirisha sana

    Mbunge wa zamani wa Arusha juu ya Makonda inafikirisha sana na kuogofya. Nafikiri mh Lema anajiamini sana kupitiliza kwenye taifa linalo on ongozwa na ccm. Naomba tumsikilize kwa makini alafu tujadili.
  10. G

    Mtu kusema umebarikiwa ni dhambi, tuache maana ni dhihaka, kebehi, kiburi cha ulichonacho kwa wasichonacho wengine

    Mtu ana pesa anajisifu - I am blessed, blessings upon blessings, n.k. hao masikikini je hawajawa blessed na Mungu huyo huyo unaeona ndie kakubless? Mtu ana mtoto mzuri anajisifu 0 i have a blessed son / daughter, wale wasio na watoto kabisa miaka na miaka wanatafuta pasipo mafanikio hawana...
  11. Lady Whistledown

    AirBnB zaruhusiwa kurekodi na kuzuia vitambulisho vya Wageni kwa Muda kutokana na kuzidi kwa Mauaji

    Kutokana na kuongezeka kwa ripoti za vitendo vya uhalifu ikiwa ni pamoja na kesi za mauaji, katika nyumba za makazi maarufu kama (AirBnB) na Hoteli Mamlaka ya Udhibiti wa Taarifa Binafsi imetoa maagizo yanayolenga kuzuia vitendo hivyo na kuhakikisha usalama wa wakazi na wageni Mamlaka hiyo...
  12. Nsanzagee

    Iran anachokifanya kwa nchi za Iraq na Pakistan, ni unafiki kusema kuna umoja wa nchi za Kiislamu

    Ujinga tupu kama nchi yako ikajiunga na kuwa miongoni mwa nchi za Kiislam! Aliyeikataa OIC nchini petu Tanzania, apewe mauwa yake. Kinachofanyika na kufanywa na nchi ya Kiislamu IRAN kwa nchi za kiisilamu nyenzake, ni uhuni na ulimbukeni kuendelea kuamini kwamba hili nalo ni taifa linalounga...
  13. MK254

    USA wapiga Houthi mabomu mengine tena na tena, magaidi yaanambulia kusema yatalipa kisasi

    Magaidi ya kidini yanaendelea kupigwa huku yaking'aka kwamba yatalipa kisasi...... The US military early Saturday struck another Houthi-controlled site in Yemen that it had determined was putting commercial vessels in the Red Sea at risk, a day after the US and Britain launched multiple...
  14. Nsanzagee

    Hakuna kosa wala dhambi kumkumbuka Magufuli, aliiweza nchi, kwa sasa kuwa na uhakika wa mambo ya kesho, haijulikani

    Ni ujinga kulazimishwa eti tusikumbuke uzuri wa ilivyokuwa awamu ya Magufuli Ni ujinga kuendelea kutiana moyo kwamba, eti tupo pazuri na tunaelekea pazuri zaidi hivi, Magufuli alitumia miujiza gani kwenye suala la Umeme na mgao kutokuwepo? Yeye alifanyeje kumeneji suala la mlipuko wa bei za...
  15. Allen Kilewella

    Gamond kusema ukweli kutakuponza

    Kocha wa simba Zoran Maki alipotua kwenye timu hiyo akaanza kuongea kama vile ameletwa kuongoza timu ya Ulaya. Akaanza kukosoa viwango vya wachezaji wa timu ya Simba na mifumo ya uchezaji wao. Tunaozijua timu za Kariakoo tukajua anajipiga ngwala mwenyewe. Siyo muda akatimuliwa na Dejan wake naye...
  16. Kididimo

    Mtaka hujui kusema Makonda yuko sahihi 100% kinakupunguzia ushawishi ndani na nje ya CCM? Ungekaa kimya ingefaa zaidi

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe, kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV, cha kila Jumatatu, kaonyesha misimamo yake. Kuwa, anapenda aone wananchi wana uelewa wa kutosha kuhusu maono ya Mama yetu Raisi. Na kuwa yeye (Mtaka) hukaa na viongozi wenzake kutafsiri na kutekeleza maono na matarajio ya Raisi kwa...
  17. Webabu

    Yahya Sinwar baada ya kuwaponyoka Israel aibuka na kusema Hamas imeshaua zaidi ya elfu askari wa IDF

    Kiongozi mkazi wa Hamas ndani ya Gaza ameibuka kwa mara ya mwanzo tangu mashambulizi ya oktoba 7 na kusema jeshi lake linapigana vita vikali na ambavyo havijawahi kutokea. Matamko yake hayo yamekuja kwa njia ya maandishi na kuonesha ni matamko ya muda unaoendelea ametoa matamko kuashiria...
  18. Analogia Malenga

    Maxence Melo ateuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Kufuatia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kumteua Balozi Adadi Mohammed Rajab kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, na Bi. Fatma Mohammed Ali kuwa Makamu Mwenyekiti, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  19. Nehemia Kilave

    Kama Biblia ilianza kuandikwa miaka ya 1513 Kabla ya Kristo, unawezaje kusema taifa la Israel lilianzishwa 1948?

    Habari jf , Vyanzo mbalimbali vinaonesha Biblia ilianza kuandikwa mwaka wa 1513 Kabla ya kristo na ilikamilishwa baada ya zaidi ya miaka 1,600, katika mwaka wa 98 wakati wa kristo. Vitabu vingi vinaelezea habari za uwepo wa Israel na mpaka Ramani ikiwekwa. Kwa haya mazingira Unawezaje kusema...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Kusema mtoto kulelewa na Bibi na Babu ataharibika ni Uongo kwa sababu tupo wengi ambao hatujaharibika

    KUSEMA MTOTO KULELEWA NA BIBI NA BABU ATAHARIBIKA NI UONGO KWA SABABU TUPO WENGI AMBAO HATUJAHARIBIKA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Katika vitu najivunia na kumshukuru Mungu katika maisha yangu ni kulelewa na Bibi na Babu. Kwa kweli Mungu kwa hili namshukuru sana. Ulikuwa mpango mzuri...
Back
Top Bottom