Imefichuliwa: CBC Inawataka Waandishi wa Habari Kutowaita (Terrorist)magaidi wa Hamas, Tahadhari dhidi ya Kusema 2005 Iliondoka ukanda wa Gaza
nada.
Imefichuliwa: CBC Inawataka Waandishi wa Habari Kutowaita (Terrorist)magaidi wa Hamas, Tahadhari dhidi ya Kusema 2005 Iliondoka ukanda wa Gaza...
Kwa kuwa Mungu alituumba na vingine vilivyomo akaona ni kheri atuepushe kula vitu visvyotufaa kama nzi, vyura, konokono, kenge, mbwa, nguruwe, panya, n.k.
Kwanini ilitumika nguvu ya ziada kutaka kuaminisha wasomaji wa biblia kwamba Yesu alipowatetea wanafunzi wake kula bila kunawa mikono...
Juzi kati nlikua baa moja ndogo kwenda kupata msosi wa jioni for 1 week mfululizo, sasa mm nikiwa kwenye kumbi za "starehe" hua napenda kuangalia inter gender interaction between male and females.. kuna kibinti ni baa medi anafanya kazi hapo ni mzuri wa kawaida, ana kaumbo kadogo na kashepu...
Hayati Shabaan Robert aliandika 'Kusadikika' na 'Kufikirika' ili kuisema Serikali ya Kikoloni ya Waingereza. Wakoloni hawakumkamata, badala yake aliendelea kufanya kazi katika Serikali ya Kikoloni.
Hayati Saadani Kandoro pia aliandika shairi liitwalo 'Siafu Wamekazana', katika shairi hilo...
Hatuwezi wote kwenda Ikulu na kuwa Maraisi na Mawaziri nk .
Ndiyo maana tumetengeneza taratibu (katiba na Sheria) za namna ya kuajiri wawakilishi kwa kuwapigia kura. Na hao wawakilishi wakisha patikana wanapaswa kufuata muongozo au utaratibu sisi wananchi tuliowaandalia kutekeleza mambo...
Mchengerwa ameyasema hayo akiwa Rufiji mkoa wa Pwani.
Swali.
Hivi nchi hii nani anataka kuvuruga amani?
Na Mchengerwa anadhani anatisha wengine yeye kama nani, yeye sio IGP, RPC wala sio waziri wa mambo ya Ndani.
Hii kibri anapata wapi?
"Yeyote atakayejaribu kuchezea serikali...
Nchi ya Morocco ambayo hivi sasa imekumbwa na Janga Kubwa la Tetemeko la Ardhi imesema ni nchi Nne tu ndizo wameruhusu Wawasaidie ambazo ni Hispania, Uingereza, Qatar na UAE.
Kuna Taifa moja Barani Afrika ( nimelisahau Jina ) lenyewe Uturuki ilipopatwa na Janga kama hili la Morocco ilikuwa na...
It’s a culture issue (watanzania tuna matatizo), kusema unampenda mwanamke wa mwenzako nchi za wenzetu it’s a very disrespectful situation.
Ni kwa sababu tunaishi Tanzania tu; nchi nyingine utaumizwa.
Halafu kuna watu wanasifia ujinga wa Harmonize; huwezi kumuimbia mapenzi mchumba wa mtu...
Kushindwa kupo tu, lakini si kwa awamu hii ya sita! Hii ndo imeshindwa kila kona kiasi cha kutia hasira ndugu zangu!
Mtu akiniambia kwamba, awamu hii ipo kwa ajili ya wananchi wote, nitamuona hana akili sawasawa,
Mpaka hapa tulipo, ni kwa lipi awamu hii imefanya hadi tuseme, oooh! Kweli bhana...
Asante sana Mwenyezi Mungu kwa kuendelea Kutujibia Sisi tusio na lolote, uwezo wowote na tusio na baya kwa Mtu huku Wema wetu na Roho Nzuri zetu zikiwa ndizo Fimbo za Kutuchapia, Kutunyanyasa, Kututesea na Kutusimangia hapa duniani.
Kama kuna Mtu yoyote unajua fika kuwa kwa Makusudi au kwa...
Hii ni maada kwajili ya wanaume ambao tayari wameanza kujipambania na wanajua hali ilivyo, wale ambao bado hamjaanza au mna shughuli zenu ila mnakaa kwa wazazi mpishe kidogo.
Wewe mwanaume ambae ni kichwa cha familia na unajua jinsi upambanaji ulivyo, umepambana kutafuta pesa ya chakula...
Hivi Kile kitendo cha Januari makamba kusaini mkataba wa matrilioni ya fweza kwaajili ya kukarabati miundombinu ya umeme ni mimi peke angu ninae kikumbuka?
Hakika kiwango hiki cha fweza ni kingi sana. Mama anaupiga mwingi sana. Hakuna kama mama kwenye mageuzi ya shirika la umeme.
Hakika mama...
KUUZA LANGO LA UCHUMI WA NCHI AU KUTAFUTA WANAHISA NI USALITI MKUBWA KATIKA KUVUNJA KATIBA YA NCHI: BANDARI NI MALI ZA WATANZANIA WOTE HATUNA WANAHISA (SHAREHOLDERS) NA HATUHITAJI WANAHISA.
WARAKA WA WAZI KWA WAHESHIMIWA WABUNGE
NAKALA KWA WAHESHIMIWA VIONGOZI WA DINI
NAKALA KWA TAASISI YA...
Ninachotaka kusema ni kwamba hawajali kabisa kuhusu Sisi,
(Usijali watu wanasema nini, Kwa sababu tunaujua ukweli)
Ninachotaka kusema ni kwamba hawajali kabisa kutuhusu,
(Inatosha sasa, upuuzi huu!),
Ninachotaka kusema ni kwamba hawajali kabisa kuhusu sisi,
Koras!
Vichwa Panzi,
Bongo lala...
Kama ni kusali nenda kasali ukipewa nafasi ya kusalimia waumini toa fungu la biblia au msitari wa Quran lkn ukianza kuongelea siasa au kuwananga wanasiasa kwenye kibweta na wewe unaingiza siasa kanisani. Nyerere kila Jumapili alikuwa anahudhuria misa St. Peter’s lkn ilikuwa nadra sana kupanda...
1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo!
Swali langu kwao, Ni jambo lipi nchi hii limewai kukubaliwa na asilimia 100 ya wananchi wote? Kwenye Mfumo wa vyama vingi, Mbona asilimia kubwa ya Wananchi walikataa mfumo huo ila Serikali...
Najiuliza hivi kwanini mtu akiwa shidani, wa ngozi nyeupe, ukimkwamua shidani mwake, atakushukuru sana na hatoona aibu kusema hadharani, fulani kanisaidia.
Lakini sasa sisi kina Mtokambali, ukisaidia na fulani, humtaji, hata ukiulizwa ile shida yako umeitatuaje? Unaishia kusema ni Mungu...
Tundu Lisu ana sifa moja kuu, anapenda kujenga hoja bila kuweka chuki au uadui. Hana adui wa kudumu na kutokuwa na adui hakujawahi kumfanya awe mnafiki kama walivyo wanasiasa na wanazuoni wengine.
Anapotamka wazi kwamba Magufuli hakuuza nchi kwa mikataba mibovu anasema ukweli. Anaposema Mkapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.