kusema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Influenza

    Nape amung'unya majibu na kutupia lawama Chombo cha Habari. Ni baada ya kusema atawashughulikia wa mtandaoni kuhusu Makamu Rais

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari amesema yeye atawashughulikia wale waliotangaza Msiba mtandaoni wa Makamu wa Rais baada ya Makamu kutoonekana kwa muda Anadai sio kila jambo lazima lisemwe hivyo kwa wakati ule hakukuwa na sababu ya kusema alipo Makamu wa Rais. Anaendelea...
  2. F

    Ni sahihi kusema Talaka ya Malaya ni Makofi ?

    Habari wadau. Vijana wanasema talaka ya malaya ni makofi. Je wapo sahihi Nimeona tik tok vijana wanaimba na kucheza kwamba Talaka ya malaya ni makofi
  3. ChoiceVariable

    Watumishi TFS Manyara walitakiwa wawe nyuma ya nondo. Waligundua hatari wakakaa kimya hadi maafa yametokea

    Ukimsikiliza huyu Jamaa unaona kabisa anakera na kutia hasira na Yuko comfortable kabisa kusimulia ujinga. Yaani watu waligundua kabisa tena baada ya kupewa taarifa na wenyeji kwamba kuna hatari ya Maporomoko ya udongo Toka mwaka Jana ila wakakausha Hadi Maafa yametokea halafu ndio anasimulia...
  4. GENTAMYCINE

    Mnashangaa nini leo kuona CCM kumevurugika? Mimi si niliandika uzi hapa JF kuelezea mpasuko CCM mkanipuuza?

    Mkiambiwa kuwa kuna Watu wengine Mwenyezi Mungu katuumba na Tunu / Shani Kuu ya Kimaono na Upeo msiwe mnatubishia au mnapinga. Kwa taarifa nilizonazo na nilizozipata Kitambo tu mnachokiona sasa it is just a tip of an iceberg ndani ya Bahari Nyeusi na yenye Kina Kirefu na makubwa yanakuja. Kwa...
  5. The Burning Spear

    Kwanini Serikali ya CCM huwa haileti mrejesho juu ya tuhuma mbalimbali licha ya kusema wanafutilia

    CCM naona huwa wanatoa matamko tu ili jambo lipite. Waanajua watz ni watu wasahaulifu sana na hawafuatilii mambo. Mfano. 1. Tume za waziri mkuu kubusu kuungua masoko. 2. Tume za waziri mkuu uoigaji wa pesa za umma. 3. Madini ya ruby Dubai. 4. Nyara za serikali nchini Australia kutoka...
  6. Majok majok

    Niliwahi kusema hapa propaganda za viongozi wa Simba kuna siku wataumbuka na sasa arobaini zao zimefika!

    Viongozi wa Simba wamekuwa wakiishi kwenye tabia za ovyo sana kwenye kuendesha klabu yao, uongo uongo umekuwa sehemu ya maisha yao kwa muda mrefu wakiwadanganya wanachama wao mambo mengi na kwa bahati mbaya ni wanachama wachache wenye akili timamu waliokuwa wanagundua ilo jambo! Viongozi hawa...
  7. M

    Israel yakasirishwa na Uhispania na Ubelgiji baada ya nchi hizo mbili kusema zitatambua rasmi nchi huru ya Palestina

    Nov 25, 2023 11:03 UTC Netanyahu na mawaziri wakuu wa Uhispania na Ubelgiji Mvutano umepamba moto kati ya utawala haramu wa Israel na Uhispania na Ubelgiji, nchi mbili za Ulaya ambazo mawaziri wake wakuu wamelaani mashambulizi yaliyosababisha uharibifu mkubwa ya utawala huo dhidi ya watu wa...
  8. Pdidy

    Simba tuvae vitambaa vyeusi kichwani uwanjani kusema imetosha

    Kama tumewachoka viongozi basi hii njia itakuwa nzuri ziaidi, vaeni vitambaa vyeusi kichwani wote na wengine vaeni tshirt za maandishi kama mmewachoka viongozi. Hizi porojo za kila siku redioni hazina maana na hazotawasaidia kamwe. Nawarakia kipigo chema cha uhakika na heshima.
  9. Tlaatlaah

    Itoshe kusema CCM ni kisiki cha mpingo!

    Kwa siasa za Tanzania ni CCM pekee inayoaminika kwa uhakika kwa wananchi kisiasa, kijamii, kiuchumi, kiutamaduni, Sayansi na Techologia. Ndio chama pekee chenye viongozi mahiri wa chama, zaidi sana ndicho chama pekee chenye uwezo wakusimamisha wagombea sahihi sana na makini mno nyakati za...
  10. R

    Kwa namna Madeleka anavyomtukana Dr. Makakala mitandaoni, itoshe kusema Makakala ana roho ya uvumilivu. Uongozi ni Busara na hekima, hongera mama

    Mfumo wetu wa nchi kiongozi ni mfalme na yeyote atakayenyanyua mdomo atachukuliwa hatua. Mfumo wa majeshi ndiyo mbaya kabisa kwa sababu wanaamini kwamba wapo juu ya kila jambo. Dr. Makakala ni kiongozi wa taasisi ya usalama nchini anayepitia magumu kutoka kwa wale wanaotamani aondolewe kwenye...
  11. M

    Inabidi mtu awe mpumbavu kushawishika na kusema kuwa hakuna Mungu!

    Biblia inasema kwenye Zaburi 24:1. "Mpumbavu amesema moyoni mwake hakuna Mungu .........". Kuna watu wanaamini kabisa kuwa hakuna Mungu!! Wanashawishika kwa mioyo yao yote kuwa hakuna Mungu!! Ukimwuliza kwa nini vitu vilivyopo ulimwenguni huitwa VIUMBE? Maana yake vimeumbwa, je muumbaji ni...
  12. Nehemia Kilave

    Kwa wale wataalamu wa Body language Unawezaje kusema Hayati Magufuli hakuwa anamaanisha haya aliyo kuwa anazungumza ?

    Nimepita mitaa fulani huko nimesikia kuna watu wanasema hayati JPM ukali wote ule ila alikuwa hamaanishi alivyokuwa akizungumza . Binafsi nimepitia video chache nikaona hayo madai hayana ukweli wowote na alikuwa na nia nzuri na hili Taifa . Kuna wale wataalamu wa body language mnasemaje ...
  13. R

    Mbunge Kuchauka: Waziri akichaguliwa leo anakuta wizarani kuna watu ni 'mama wa wizara', ili aweze kudumu kwenye wizara anaungana nao!

    Mbunge Kachauka anasema anaona Wakurugenzi wanatumbukizwa kwenye bwawa lenye mamba kwasababu kuna mhasibu, mkaguzi wa ndani, afisa masuuli kwenye halmashauri ambao wana uzoefu mkubwa kuliko yeye. Kumpeleka mtu aliyekuwa mwalimu akagombea ubunge na kupelekwa pale kama Mkurugenzi je salama yake...
  14. Chizi Maarifa

    Hii tabia imekuwa sugu; mtu anaamua tu aje Dar kukusalimia na afikie kwako

    Hii tabia imekuwa sugu. Yaani mtu anakaa tu na halmashauri ya kichwa chake anaamua kuwa nimpigie jamaa yangu yupo Dar nikafikie kwake. Mi nipo zangu home jana inaingia simu ya Abouu. Ananiuliza maisha vipi namwambia safi tunalisongesha. Maneno maneno mengi mwisho anasema nipo Dar nataka nije...
  15. carnage21

    Sidhani kama simba wamefanya sahihi kwenye hili!!

    Zimepita siku kadhaa, Simba SC walitangaza Jezi ambazo watazitumia kwa ajiri ya Michezo ya AFRICAN Football League ambazo Zilitakiwa kuwa na Logo za Wadhamini wa Mashindano na Logo ya shindano lenyewe. Lakini Cha Kushangaza Katika Mchezo Wa marudiano hapo Jana Dhidi ya Al Alhly, Simba SC...
  16. Sildenafil Citrate

    Rais Samia amteua Sophia Mjema kuwa Mshauri wake kwenye masuala ya wanawake na makundi maalum

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua ndugu Sophia Edward Mjema kuwa Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum. Kabla ya uteuzi huu Bi. Sophia alikuwa Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM.
  17. Mhaya

    Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

    Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo anasema Ibrahimu alikuwa Muisrael, na kizazi chake ndio cha Wayahudi. Sasa mimi najiuliza Ibrahim...
  18. 2019

    Kusema Israel ni taifa teule ni kumtukana Mungu wa kweli

    Hii dhana inaitesa sana dunia, mpaka karne hii kuna wapumbavu wanamini Israel ni taifa Mungu!! 🤔 ni uongo mkubwa sana. Mungu gani mbaguzi? Je, Mungu anapenda wanavyoua raia wasio na hatia? Mungu anawachukia wapalestina? Kama sio wazungu Israel isingekuepo leo hii. Hata Misri tu inatosha...
  19. Webabu

    Viongozi wa Saudia na Iran wajadili vita na kusema wako pamoja na Palestina

    Mwana mfalame wa Saudia Mohammed Salman na raisi wa Iran Brahimi RAaisi wamezungumza kwa simu kwa mara ya mwanzo hapo juzi na kukubaiana kuiunga mkono Palestina katika madai yao. Mohammad Jamshidi amabaye ni naibu wa masuala ya mambo ya nje aliandika kwenye akaunti yake ya X kuwa mazungumzo...
  20. Mhafidhina07

    South Afrika inaishi miaka 200 mbele ya nchi nyengine za afrika,ambazo zinaishi katika giza totoro!hatuna la kusema.

    Nimeshuhudia mara nyingi katika bara la Afrika ukiwatoa waarabu na nchi ya kusini mwa afrika zikitoa maonyo,msimamo na ushauri katika kila jambo(matukio) yanaloendelea katika baadhi ya nchi mfano vita ya GAZA na hiyo ndiyo maana ya diplomasia(sio kutafuta wawekezaji tu) lazima tulaani na...
Back
Top Bottom