Kwa siasa za Tanzania ni CCM pekee inayoaminika kwa uhakika kwa wananchi kisiasa, kijamii, kiuchumi, kiutamaduni, Sayansi na Techologia.
Ndio chama pekee chenye viongozi mahiri wa chama, zaidi sana ndicho chama pekee chenye uwezo wakusimamisha wagombea sahihi sana na makini mno nyakati za...